Wakuu kwema wanahitajika vijana kwa ajili ya kufanya delivery katika jiji la Dar es Salaam umri ni kuanzia miaka 20 mpaka miaka 27 na lazima wawe na ujuzi wa kuendesha pikipiki
Kwa mawasiliano piga namba 0652111609
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, mpango wa kuwawezesha vijana kwa kuwapa ujuzi na mahitaji ya kuwawezesha kuanza shughuli za kilimo unakwenda kubadili hostoria ya Afrika.
Kupitia mpango huu wa BBT, kila kijana anapata fursa ya kuijenga kesho yake iliyo bora. Wakati suala la ajira likiwa changamoto...
Jeshi la Polisi mkoa wa Manyara kwa kushirikiana na TAWA limewakamata watu wawili waliotambulika kwa majina ya Richard Paulo (Miaka 23) na Masiaya Lais (Miaka 19) katika kijiji cha Minjingu katika hifadhi ya Jamii ya Burunge wilayani Babati wakiwa nyara za serikali ambazo ni nyama ya Twiga...
Elon Musk Jana amenipa hasira Sana ,yani kumbe sio wakina Diamond tu ,mo nawengine wengi kumbe mpaka majuu aisee punguzeni dozi hii matajiri mtatuua na mawazo
Hii topic ni ya mahusiano, suitable for MMU.
Ulimwengu na Taifa letu Kwa ujumla linapitia katika transformation kubwa ambayo ina athari kubwa sana, Sasa Kwa ambao at least tumezaliwa miaka ya 70's au nyuma zaidi tuna wajibu wa kushare experience na kuwapa muongozo vijana wa leo.
Nimewiwa...
Kampuni ya SMAI Group Limited ambayo ni wamilikiwa SMAI Express na SMAI Delivery, wanahitaji vijana wasiopungua kumi kwa ajiri ya internship kwa kipindi hiki cha miezi mitatu ambayo wamezindua huduma mpya ya usafirishaji wa mizigo kutoka Dar kwenda nchi nzima na nchi jirani, pia Wamefungua...
Ninawaza ni jinsi gani maisha yamebadilika na kwa jinsi ninavyokaa na vijana kuwasikiliza mawazo yao, ninapata majibu kuwa miaka 10 ijayo kutakuwa na ongezeko kubwa la watoto wa mitaani na vifo kutokana na changamoto ya Afya ya akili vitaongezeka sana.
Kiukweli hapo awali nilikuwa nikijua kuwa vijana wa Kisukuma ni washamba, kiukweli ni washamba lakini uzuri wao wanapenda kuelekezwa na kujifunza na kujikubali pia.
Lakini sasa katika uchunguzi wangu nimekuja kugundua vijana wa Arusha ndio washamba na ni wajinga zaidi kwa sababu;
1. Ni...
Nawaunga mkono wanaokataa ndoa, ndoa kwa sasa ni utapeli hususani kwa vijana wa kiume na wanaume.
Kijana wa kiume ukishindwa kabisa kujizuia kutoishi na mwanamke basi tafuta mwanamke atakayekuwa jirani na wewe ambaye atakusaidia mambo fulani yaende.
Usifunge ndoa, Ishi naye akiwa hajui kama...
Nipo Dar es Salaam ni wiki ya pili sasa toka nimetoka Dodoma kuja huku Dar es Salaam kushughulikia mambo yangu ya kikazi.
Nimefuatilia na kuchunguza kusema ukweli vijana wengi wanapoteza muda, vibarua wanavyofanya wanaishia kulipwa 4,500 mpaka 7,000 na hapo ale chakula avae apendeze na...
Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba ni moja wa MaDr wakubwa wa uchumi tulio nao hapa nchini. Tunajivunia.
Bahati nzuri kwake yupo kabisa kwenye 'core system' yaani ni policy maker mwenyewe hivyo hana cha kusingizia.
Je, kwa uwezo wake wa kitaaluma kwenye masuala ya kiuchumi, imekuaje...
Wakati mwingine kuwa mzalendo ni kuvisaidia vyombo kuzima uhalifu kabla haujamature.
Kumekuwa na ongezeko la panya road hasa dar es salaam.
Sasa tutumie uzi huu kutaja machimbo yote na mitaa yote inayolea vijana wahalifu na wavuta bangi popote walipo Tanzania.
Taja mkoa wilaya kata mtaa na...
Mughonile!
Habari za siku nyingi Wakubwa Kwa wadogo. Mzee Bikra nimerejea.... nitaanza na hawa viumbe wakataa Ndoa.
Ninyi mnaokataa ndoa, Oeni Wanawake Bikra.
Kama kuna Mwanamke Bikra na anataka kuolewa, muoe. MTU akikuuliza Kwa nini hauoi mwambie bado haujapata Mwanamke Bikra. Mwanamke...
Kwa siku kadhaa hapa JF pametokea na wimbi la vijana wakija na mtazamo wa kwamba ndoa si muhimu na haina umuhimu hivyo hawaoni haja ya kuoa.
Nimekuja hapa kuwaambia neno moja tu kwamba wasijifiche kwenye shamba la karanga wakifikiri hatuwaoni. Tunajua wankwepa majukumu ili waendelee kulelewa na...
Usikae tu home na vijiwe viisvyo maana.
Hata kama sio Mlevi, Toka nenda Kiwanja ambacho unajua wastaarabu wanakaa.
Huko ukutane na RC, DC, RAS, DAS, DED na Ma CEO mbalimbali. Hawa watu typically ni Walevi, ni wanywaji Pombe haswaa, nahuko Niko wanakutana kupeana michongo.
Sio lazima unywe...
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limesikitishwa na taarifa iliyosambaa mitandaoni kwamba vijana wake 147 wana maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) na kuambatanishwa na picha za vijana wengine wanaohudhuria mafunzo ya JKT makambini.
Taarifa ya Kamati ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi kwa kipindi cha...
Kuwa mkweli ndugu katibu. Betting ipo halali kisheria.
CcM ilipitisha sheria inayoruhusu michezo ya kamari ya kubahatisha.
CcM haina sera nzuri za kulinda na kutengeneza ajira mahususi kwa vijana. Hata kama wakimaliza Veta. Sasa unategemea nini? Biashara zinakufa tu.
Acha vijana wabeti
Inapotokea kwenye mahusiano kuna sintofahamu ya aina yoyote, hapo ndio strength ya bond huwa inapimwa. Mengi hutokea, usaliti, dharau, uongo n.k ambavyo vinaweza pelekea uhusiano kuvunjika.
Na panapotokea mgogoro mzito sana, yule aliyekosewa huwa na option mbili, asamehe au achukue hamsini...
Ilibainisha hayo jana bungeni ilipowasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli zake, taarifa hiyo ilisomwa na mjumbe Yahaya Masare kwa niaba ya mwenyekiti wa kamati.
Masare, Mbunge wa Manyoni Magharibi, alisema JKT hupokea vijana ambao wamehitimu kidato cha sita ambao huripoti kambini kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.