vijana

  1. stineriga

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi vijana wawili form four na wanojua kutumia computer

    NAFASI ZA KAZI Posts: 2 -Elimu kuanzia form four -Uwe unajua kutumia computer, nb kama hujui computer usiombe plz -Ukiwa na certificate ya computer ni kigezo cha nyongeza -Kama una degree au diploma hatukuhitaji usiombe plz -Location ya kazi ni Dar es salaam -Jinsia ya kiume tu -Umri...
  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Serious talk: Je, kubeti kunaweza kuendesha maisha walau kwa vijana hata wawili kati ya kumi wanaobeti?

    Yes nimeahi sikia kwamba kuna watu wamepiga mshindo kwenye betting lakini hao watu ni nadra sana wanaweza kuwa katika kipimo cha mtu 1 kati 100 ya wale wanaobeti. Ili kitu kiwe na uhakika wa kitu flani kuweza kuendesha maisha ya mtu kiuchumi basi walau huwa kuna kipimo angalau hata watu wawili...
  3. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jukwaa kama hili hakuna wazee wa busara maana uku kuna vijana wa ovyo, malezi zero

    Mambo yanabadilika kila kukicha kuhusu malezi, mpaka malezi kubadilika kuna sababu. ..Kipindi cha nyuma malezi yalikuwa bora tena sana japo watoto watukutu hawakukosekana. 👇 Lakini ukichunguza vizuri hao watoto watukutu wanatokea familia za aina gani ? utagundua familia hizo ni za walevi au...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Vijana wamekopeshwa Shilingi Bilioni 1.88

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali kupitia mfuko wa maendeleo ya vijana imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.88 kwa ajili ya kuwezesha miradi 85 ya vijana katika sekta za kilimo, viwanda na biashara kwenye halmashauri 28. Ameyasema hayo Aprili 16, 2023, wakati...
  5. willpower

    JamiiForums Tanzania Vipindi hatari katika Uchumba/Mahusiano ya Vijana

    Kwa wadogo zangu: Leo nina muda kidogo wa kuandika, nikakumbuka maisha yangu binafsi na misukosuko ya kimahusiano; nikaona nije na huu uzi; vipindi hatari kwa uchumba/mahusiano ya vijana wengi. Hivi ndio vipindi ambavyo mahusiano mengi hufikia tamati na kuacha aidha uchungu ama fadhaa kwenye...
  6. EBENEZER S MATHEW

    JamiiForums Tanzania Tunakwenda wapi? Tujiangalie vijana

    Ni usiku sana ninapoandika ujumbe huu. Usingizi umepaa, amani nimekosa, moyo umekataa kutulia. NINAOGOPA. Napata uoga kila ninapotaza hali ya vijana wa leo. Vijana wenzangu. Nguvu kazi, watu wa muhimu kuelekea maendeleo ya taifa. Napata mashaka ninapofikiri kuwa vijana hawa ndio wanaopaswa...
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana wa Tanzania: Mkiwa katika usingizi wa pono wao wanajichotea nyama zote

    Ebu kuweni makini huko serikalini watu wanajipakulia Nyama zote huku nyie mkiwa katika usingizi wa pono na mkiaminishwa kuwa ushoga ndo habari ya kufatilia hii ni spinning ili wao wajichotee Nyama zote. Mkija Kupata ufahamu mtajikuta mmechelewa hakuna Mtu ambaye hajui kuwa ushoga ulikuepo hapa...
  8. G Jonathan Kamenge

    JamiiForums Tanzania Je, CCM Inapaswa Kulaumiwa kwa Vijana Kupoteza ari ya Siasa nchini? Tafakari Kuhusu Elimu ya Siasa Tanzania

    Uko msamiati miongoni mwa wanazuoni wa Kikoloni kuelezea mtu ambaye kwa juhudi na maarifa yake pekee, bila usaidizi wa mtu ama mifumo au jamii fulani ya watu, huweza kufanikisha ama kufanikiwa kuinua maisha yake kwa viwango vya kushangaza. Hili laweza kuwa katika biashara, siasa na kadhalika, na...
  9. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Maisha yamefanya Vijana wanaokaa vijiweni kupotea

    Kipindi cha nyuma kidogo ilikuwa ni kawaida sana kukuta vijana wamekaa vijiweni wanapiga soga asubuh hadi jioni,. Lakini siku hizi mambo ni tofauti na zamani ni nadra kukuta vijana wamekaa kaa hovyo bila shughuli maalum. Picha kwa hisani ya mtandao.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wajipanga kufanya Maandamano ya Amani kumpongeza Rais Samia kwa kutoa Maelfu ya Ajira

    Ndugu zangu Watanzania, Vijana kwa umoja wao na kwa kujitambua pasipo kushinikizwa na mtu wanapanga mikakati ya kufanya maandamano ya Amani Nchi nzima Kumpongeza Rais wetu mama Samia suluhu Hassani kwa namna alivyo fanya kazi kubwa ya kutengeneza na kutoa maelfu ya ajira kwa vijana ndani ya...
  11. Dkisaka

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Billion 94 zimetoka kwa Vijana, Wanawake na Walemavu. Mijadala bado inaendelea mitaani, twitter na JF kuhusu maisha magumu kwa Vijana

    Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu sana wa mada mbali mbali hususani JF na Twitter. Vijana wengi wamekuwa wanalalamika sana kushindwa kuanzisha biashara za kujikimu kimaisha (Malazi & Chakula) I've been wondering kuona hili bado ni Tatizo kubwa kwa Vijana wengi ambao in reality wengi wako tired na...
  12. NetMaster

    JamiiForums Tanzania vijana wengi wakristo kuogopa na kuchelewa kuoa hadi wafike 30+, zinaa inaepukika ?

    Bila shaka tunajionea vijana wengi wa kikristo hasa waliosoma vyuoni kwa sasa suala la ndoa limekuwa ni dilemna, wengi huwa wana mahusiano na hata kuwa na watoto lakini inakuwa nje ya ndoa. Sababu za kuogopa ndoa zikiwa kama; Mahari kuwa kubwa na sherehe kuwa ghali. Kwenye ndoa za kikristo ni...
  13. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kishki/Alhikma Foundation Kuwalipia mahari vijana 50 na kuwaozesha

    Shekh kishki Leo dar es Salam kwenye mashindano ya Quran Africa anasema Alhikma foundation itawalipia mahari vijana 50 wa kiislamu na kuwaozesha Ndoa Ya pamoja. Mashallah hii ni habari njema kwa ndugu zangu waislamu. Wale vijana mliopanga kuoa mwaka huu hii ni fursa kwenu inshallah 🙏 NB...
  14. Wansakieki

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la kucheleweshwa kwa 'placements' ni hili

    Habari za uzima wadau? Bila kupoteza muda naomba niende kwenye maada directly. Hili suala la ucheleweshwaji wa placements, hakika limekua tatizo kubwa sana ambalo moja kwa moja wanaoathirika ni vijana(job seekers). Hivyo basi napendekeza hili lifanyike from now. Napendekeza Kutolewa majibu ya...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Vijana Tutumie Fursa za Asili Zilizopo Kwenye Kata Zetu

    MBUNGE NGASSA: "VIJANA TUTUMIE FURSA ZA ASILI ZILIZOPO KWENYE KATA ZETU" "...Vijana wenzagu nimerudi Jimboni kwa ajili ya kuhudhuria Kikao cha Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri yetu, nilipokuwa naelekea Halmashauri Viongozi wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Wilaya wakaniambia kuna...
  16. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Wastani wa shilingi milioni 423 zimepigwa na kila halimashauri nchini zikiwa ni pesa za mikopo kwa vijana.

    Hii ni kwa mujibu wa riport ya CAG. Ambapo kiasi cha shilingi bilioni 80 hazionekani zilipo, pesa ambazo ukizigawa kwa halimashauri zote 187 nchini ni kila halimashauri imepoteza milioni 420. Hii haiingii akilini kabisa, iweje pesa ndefu kama hiyo wadaiwa waingie mitini. Maafisa maendeleo wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ubadhilifu wa fedha za vijana, walemavu na wanawake ni lawama kubwa kwa isiyokwepeka kwa ccm

    Tumesikia kiasi kikubwa cha fedha zilizotengwa kwa vijana, walemavu na wanawake zikiwa zimetafunwa ktka halmashauri, na hili limekuwa likifanyika waziwazi kwa makada wa chama kukopeshana kwa kigezo cha vyama badala ya uwezo wa kibiashara. Leo hii ni deni hili linalowalemea Wananchi. Ccm walipe...
  18. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana wa Tanzania

    Zama hizi ukitaka kufa kwa Msongo wa Mawazo basi hakikisha hauna fani yoyote. Fani ni muhimu, kama hauna ujuzi unategemea cheti chako cha chuo kikuu basi kazi unayo. Hakikisha unajitofautisha, usiwasubiri wanasiasa waje wakupangie maisha.
  19. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake na vijana wajiandaa kunufaika na uwekezaji wa bilioni 74.8

    Kutokana na ujio wa Makamu wa Rais wa Marekani amesema Kampunu ya IRVINE itawekeza Tsh Bilioni 74.8 kwenye ufugaji wa kuku nchini Uwekezaji huu utawezesha kuhakikishwa kwa Usalama wa Chakula, kuongeza upatikanaji wa uhakika wa Kuku bora katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, pamoja na kutengeneza...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mhe. Dkt. Alfred Kimea Aahidi Kuwawezesha Vijana Wajasiliamali Korogwe Mjini

    MBUNGE MHE. DKT. ALFRED KIMEA AAHIDI KUWAWEZESHA VIJANA WAJASILIMALI KOROGWE MJINI Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini Mhe. Dkt. Alfred Kimea, katika ziara yake aliyofanya jimboni amekutana na kufanya mazungumzo na vijana wajasiliamali wanaozalisha Kokoto, katika Kata ya Mtonga Mtaa wa Msambiazi...
Back
Top Bottom