vijana

  1. JamiiForums Tanzania Vijana tafuteni hela sio six packs, mtoto wa Mukesh Ambani anavuta kigoli matata kabisa japo ni tipwatipwa

    Mtoto wa billionea Mukesh Ambani anatarajiwa kufunga ndoa siku chache zijazo, ndoa ambayo itatanguliwa na party ya siku 3 mfululizo. Watu wa karibu, wadau, Celebrities na CEO wanategemewa kuhudhuria nikiwemo mimi, Mark zuck, Bill gates na wengine wengi.. Moral of the story: Vijana tafuteni...
  2. JamiiForums Tanzania Kukabiliana na ukosefu wa ajira kwa vijana kunahitaji njia kamili na yenye kujitahidi kutoka kwa Serikali

    HATUA MADHUBUTI YA SERIKALI Katika upeo wa kisasa wa uchumi wa dunia leo, mojawapo ya changamoto kubwa inayokabiliwa na serikali ni kushughulikia ukosefu wa ajira kwa vijana. Tatizo hili siyo tu linaathiri watu binafsi bali pia lina athari kubwa kwa ustawi wa jamii na utulivu wa kiuchumi. Ili...
  3. JamiiForums Tanzania Abdul Nondo alivyoshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Taifa

    Abdul Nondo ametangazwa kuwa mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Taifa kufuatia uchaguzi mkuu wa ngome hiyo uliofanyika jana, Alhamisi Februari 29, 2024 kwenye ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo makao makuu ya ACT Wazalendo (Maalim Seif House) Magomeni, Dar es...
  4. JamiiForums Tanzania Video: The man mwaka huu jamaa ametuwakilisha vyema sana. Vijana mna la kujifunza

    Hivi ndo inapaswa kuwa.... Mtu anapotishia kujamba na wakati ana tumbo la kuharisha unamletea poti akalie. Nimependa wote wawili walichokifanya kwa uhalisia wake. Madogo acheni kuja na nyuzi za kijinga kulia lia hapa kwamba umeachwa. Kwani mama yako huyo? Kafanye mambo mengine kama mapenzi...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kwa vijana wa kiume mnaosumbuka kupata mabinti, Nawapa mbinu rahisi zaidi ambayo niliitumia enzi zangu,

    MUHIMU: Mbinu hii haitumiki kwa magurumbembe na gold diggers, ni kutwanga maji kwenye kinu. BE HER DADDY, MFANYE AKUONE WEWE NI KAMA BABA YAKE, Niseme tu ya kwamba ukiweza kuwa yule mtu anaeona anaendana ama kumzidi baba yake alivyo kwa vitu positive basi ni rahisi sana kumpata. ndio maana...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana tusing'ang'anie Dar

    Hodi wadau, mimi ni mgeni kiuanachama ila ni mwenyeji kiusomaji. Leo Nina hoja yangu. Kama takuwa nimewakwaza watu samahanini sana, hoja yangu ni hii, Kuna maisha nje ya Dar, huku mikoani kuna fursa za kutosha kwa mfano ukibahatika kufika Mpanda unaweza kushangaa vijana wadogo wanavyovuna...
  7. JamiiForums Tanzania Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti Vijana ACT - Wazalendo

    Mdahalo wa Wagombea wa Uenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa kwa Chama cha ACT Wazalendo kwenye Ukumbi wa Hakainde Hichilema, leo Februari 27, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=32rMuLtDJG0
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi Ngome ya Vijana ACT ni mtihani kwa Ndolezi Petro

    Ngome ya vijana wa Chama cha ACT Wazalendo itafanya mkutano wake kesho wa kuchagua mtu atakayekuwa mwenyekiti kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Kwa mujibu wa vyombo vya habari wagombea wanne wamejitokeza kuwania nafasi hiyo miongoni mwao akiwemo binti wa mwanasiasa mahiri na mwanadiplomasia...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 Afrika zenye tatizo dogo la ajira! Vijana wasio na ajira wategemee nini?

    Kwa takwimu hizi nafikiri wasio na ajira Tanzania watasota sana. Below are 10 African countries with the lowest unemployment rate in 2024: Rank Country Unemployment rate 1 Niger 0.49% 2 Burundi 0.98% 3 Chad 1.28% 4 Benin 1.58% 5 Madagascar 2.07% 6 Côte d'Ivoire 2.61% 7 Tanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Kumbe Yanga ilicheza na timu ya vijana ya CR Belouzdad, mashabiki wanamjia juu kocha kwa kudharau mechi

    Nimeshangaa kuona kumbe ile timu iliyofungwa jana ni ya vijana wa kutoka academy ya Belouzdad. Kocha na uongozi unalaumiwa kwa kuwadharau yanga.
  11. JamiiForums Tanzania Haya majina ya wanaCCM wanaotaka kuwa maaskari ni ya kweli?

  12. N

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya ajira kwa vijana

    Unadhani kuwa na elimu ya juu ni kigezo kitakachokusaidia kupata ajira? Tunasisitizwa kuhusu elimu, lakini kwa nini mwenye elimu ya juu zaidi hapati ajira? Wanaogopa kumuajiri kwamba atakuwa juu zaidi yao au wanaogopa atatakiwa kulipwa mshahara mkubwa wasioumudu? Watu wana elimu za juu lkn...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Vijana tuacheni kubeti, kindege (aviator) kimenimaliza milioni 7 yote ya mtaji

    Nashindwa kuwaambia jinsi nilivyojikatia tamaa kiasi cha kuwa kichaa. Ila ninachoweza kuwaambia tu vijana wenzangu tuacheni kubeti kwa malengo kwamba tunapata pesa huko haraka haraka. Fikiria nimefanya kazi ya kuajiriwa kwa miaka 8, nikafukuzwa kazi nikaenda NSSF nikachukua milion 7.5...
  14. JamiiForums Tanzania Vijana wengi hatunyanyuki kiuchumi ni kwasababu tunadate na omba omba

    Vijana wengi hatunyanyuki kiuchumi ni kwasababu tunadate na omba omba! Unakubaliana kwa kiasi gani na kauli hii?
  15. JamiiForums Tanzania Iran: Vijana wakamatwa kwa kushangilia anguko la timu ya taifa

    Ayatolla na dini yao wanaendelea kupoteza vijana kwenye taifa la Iran, wanalazimisha ila ndio hivyo, Iran ilishindwa kwenye mechi ya mpira, halafu vijana wakajitokeza kushangilia hilo anguko maana wamechoka na utawala wa kijinga, sasa kumetokea kamata kamata ya vijana wote walioshabikia. Halafu...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Tamko la pamoja la Wanafunzi wa Vyuo (ACTWASO) kuelekea uchaguzi wa ngome ya vijana taifa

  17. I

    JamiiForums Tanzania Serikali nchini Iran yakamata vijana 10 kwa kushangilia timu yao ya taifa kufungwa

    Mamlaka nchini Iran inawashikilia takriban vijana 10 wa kiume kwa "kuonyesha furaha" kutokana na timu yao ya taifa kufungwa hivi majuzi na timu ya taifa ya Qatar katika michuano ya soka. Shirika la kutetea haki za binadamu lenye makao yake makuu nchini Norway lilisema Jumatatu...
  18. JamiiForums Tanzania Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya...
  19. JamiiForums Tanzania Hili la ENL nimefaidi sana, Ahsanteni vijana wa zamani hizo

    🕯Salaam Wakuu🕯 1. Nyuzi zinapishana sana 2. Historia imerudi nyuma 3. Mengi yameibuka. 4. Wengi wamezungumza 5. Lakini sioni wa kumwamini Napata picha ENL alikua mtu mkubwa sana katika siasa ya nchi hii kushinda hata baadhi ya Maraisi wetu. Mimi kwake nimejifunza kitu kimoja kikubwa - UKIMYA...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta vijana wa kuniuzia juice

    Natafuta vijana wa kuniuzia juice fresh za matunda za kutembeza kwenye madumu -wa kike /kiume -Dumu la lita 5 akimaliza tatu kwa siku -Mshahara 150,000/= -Nauli natoa ya kwenda anapotembeza. Alie tayari weka namba ntakupigia. -Nipo Dar es salaam temeke
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…