vijana

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Lowassa alipotuambia tunaandaa bomu (vijana) tulidharau; Bomu lenyewe ndilo Gen Z sasa linalipuka

    Ashukuriwe na kukumbukwa Mzee wetu Lowasa. Aliwaza kitajiri na hakuwahi kuabudu umaskini. Alianzisha shule za kata lakini alipofaulu kwenye Mradi huu alitoka adharani akatueleza madhara ya matokeo ya kizazi cha shule za kata kwa siku za mbele. Alituambia tusiweka misingi ya kuwaingiza vijana...
  2. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Vijana msijifungie kwenye box

    Mjitahidi kuzunguka na mikoa ya wenzenu nchi kubwa hiyi msijifungie kwenye box Huku niliko unaweza kaa hata mwez usimsikie MTU akitaja Samia suruhu au kiongozi wa nchi Stories za huku 👉 oya mwana zile scania zako uliagiza wapi; oya Remy niazime million 30 nikanunue vocha; wakuu mwenyewe...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanaume na vijana wadogo acheni ulalamishi kuombwa pesa na wanawake

    Kwenye mitandao mingi ya kijamii kupitia majadiliano na memes mbalimbali au hata comedy kumekuwepo na tabia ya ulalamishi unaozidi kushika kasia kwa vijana wa kiume kulalamika kuombwa pesa na wanawake au wale walio na wanawake walio na kazi kutoona mchango wa kipato cha wanawake wao kwao au...
  4. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Bodaboda ni kazi iliyo na vijana wengi kuliko kazi yoyote nchini

    Hayaa sasa anaye bisha aje na yake anayoona inaizidi bodaboda tumuone.Na ukiwekeza kwenye boda boda ujue unakula faida nyingi sanaa . Shtuka
  5. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Singida Black Stars tunatafuta vijana wa kuwasajili U20 na U17

    Habari watu wa Soka Singida Black Stars tunatarajia kufanya majaribio ya kutafuta wachezaji vijana wenye vipaji mkoani Singida watakaounda timu zetu za SBS U-20 na SBS U-17. VIGEZO: 1. Ni lazima kijana awe mkazi wa Singida 2. Ni lazima kijana awe na umri kuanzia miaka 16 hadi 19 3. Ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nafaka na kilimo zinahitaji muhisika anaetaka kupata maarifa atoke alipo aingie

    Sio kwa ubaya na wala sipo hapa kusema anachokifanya ndugu mwalimu ni kitu kibaya lakini nataka niwakikishie hii sio njia sahihi ya kujifunza biashara ya nafaka.Hapa mtaishia kujifunza baishara na kilimo cha makaratasi. Biashara ya nafaka na kilimo zinahitaji muhisika anaetaka kupata maarifa...
  7. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Wazazi ndio chanzo cha kuharibu ndoto za vijana wengi wanapotaka kufanya maamuzi ya kujichagulia wakasome nini vyuoni

    Mtoto akifikisha miaka 18 huyo sio mtoto sababu kashakuwa huru wa kufanya maamuzi nini anataka kwenye ndoto yake. kuna mada nyingi hapa jf nikiona wazazi wakiomba ushauri mtoto asome nini ? kwa nini wazazi tusiwape uhuru wa kujua wanataka nini na kuwashauri kuliko kulazimisha wasome wasicho...
  8. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Kijana hawa ndio wachawi wetu 4 wa sasa 2024 wanaotumaliza

    Kijana hawa ndio wachawi wetu wa sasa 2024 1. Ajali za barabarani 2. Ukimwi 3. KANSA (saratani 4. Changamoto za UZAZI. Ndugu yangu sisemi uchawi hakuna hapana. Ila kwa nyakati tulizonazo hao hapo juu ndio wachawi wetu wakubwa. Kijana chukua tahadhari barabarani, Chukua tahadhari kwenye...
  9. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Hashtag Kataa Eacop: Vijana wa CHADEMA Wanatumika na Wanaharakati

    CHADEMA na kale kakundi ka @MariaSTsehai wanapush hushtag #KataaEACOP kwa lengo la kudhoofisha ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda mpaka bandari ya Tanga. Acheni kutumika kiboya. EACOP stand for East African Crude Oil Pipeline. Ni kampuni lenye share holders wanne yani...
  10. political monger senior

    JamiiForums Tanzania Ujue mchezo wa aviator au kindege na siri zilizojificha nyuma yake

    Leo tuangazie adui wa maendeleo kwa watu wa rika zote anayejulikana kama aviator na maarufu kwa jina la Kandege. Mchezo huu umegubikwa na siri nyingi sana na ambazo wenye betting sites wamekuwa wakizitumia kuchota mamilioni ya fedha kutoka kwa wateja wao bila jasho. Wachezaji wa huu mchezo...
  11. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Naona vijana wengi sikuizi wanaogopa kuoa wanawake single mothers, nani kawatisha?

    Mko powa Nawapa siri vijana kama kuna wanawake waliokomaa na walio serious kuwa WAKE WATIIFU kwa waume zao basi ni single mothers, hao wameshapevuka kiakili wameshajifunza kutokana na yaliyopita. Wana akili ya maisha, hawana makuu kwao kuolewa ni ndoto iliyotimia wanaienzi na kuiheshimu mno...
  12. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Vijana tupo kwenye kizazi kigumu sana

    Hivi hawa dada zetu mtaani ni nani kawaambia kuwa mwanaume akiwatongoza muda huohuo waanze kuomba pesa? Hivi mtu nimeonesha nia tu ya kukutaka hata papuchi nimeona sio kipaumbele kwanza...sababu nataka tujenge mahusiano kwanza mtu anashindwa kujikaza kusubiri hata wiki iishe wakuu. Yani kwa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wadogo sasa wanapata magonjwa yasiyoambukiza?

    Habarini wanajamiiforums, Hivi sasa kumekuwa na ongezeko la magonjwa yasiyokuwa ya kueneza (non-communicable diseases) kama vile kisukari, shinikizo la damu na kufeli kwa figo miongoni mwa vijana wadogo wenye umri wa kati ya miaka 20-35. Je, unahisi wapi tunakwama na tufanyeje kujikwamua...
  14. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume kwanini mnataka kuwa na girlfriends lakini mnawazuia Dada/ wadogo zenu kuwa na boyfrinds?

    Habari za jioni wana jukwaa... Ni kawaida kwa vijana wa kiume kusaka na kutafuta wapenzi huku na kule, lakini hali huwa tofauti pale ambapo dada zao wanapo kuwa na wapenzi. Wanaume hukasirika na hata kuanzisha vita dhidi ya wanao wataka dada au wadogo zao, ilihali wao wapo tayari kutafuta dada...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Vijana Waafrika waachane na mawazo mfu yaliyopitwa na wakati ya kulaumu "mabeberu"

    Huku kulaumu watu wa nje kwa matatizo ya sasa ya Afrika ni mawazo yaliyopitwa na wakati yasiyo na tija yoyote, yanahaitaji kukataliwa na kupuuzwa kabisa. Inasikitisha zaidi fikira hizi kuendelea kuwepo na kuaminiwa tena na vijana. Chanzo kikuu cha umaskini wa Africa ya sasa ni utawala mbovu...
  16. GoldDhahabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wito wa Gen Z wa Kenya kwa vijana wa Afrika

    Anaitwa Julius! Ni Gen Z kutoka nchini Kenya. Amewaasa vijana wa Afrika kuwa njia pekee ya kuleta MAGEUZI ni kupinga maovu yanayofanywa na Serikali zao. Katoa wito huo alipokuwa mahakamani kwa tuhuma za kusababisha uvunjifu wa amani. Baada ya kusomewa shaka lake na kutakiwa kujibu kama ni...
  17. Valencia_UPV

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Charlene Ruto kuwa Waziri wa Vijana au Michezo

    Mheshimiwa Charlene Ruto anafaa kuongoza Wizara ya vijana au Michezo
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi wanasaidia sana kulinda ndoa za watu hapa mjini else nyingi zingepumua icu

    House girls wote popote mlipo. Naomba niwape heshima zenu, na kwa KONGOLO KUBWAA. Haijalishi mateso na mapito mnayopitia, ila akili zenu kubwa za kutembea na wenye nyumba na kuwasitiri zinasaidia kupunguza talaka hapa mjini. Ni wachache watashindwa kutambua hili, ila binafsi kabla ya kulala...
  19. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Katavi : Rais Samia azalisha ajira za kudumu kwa vijana kupitia mikopo ya asilimia 10

    Vijana wa kikundi cha Kusakizya wilayani Mpanda mkoani Katavi ambao ni wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Serikali kupitia Halmashauri, wameeleza kuwa mkopo huo umewawezesha kupata ajira za kuduma kupitia mradi wa kusindika na kuuza mafuta ya alizeti. Kwa mujibu Muhasibu wa...
  20. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Ruto kuvunja baraza la mawaziri lakini bado kinachoendelea kenya kufanya mauwaji kimya kimya kwa vijana gen-z

    Vijana wa gen-z wanazidi kuuliwa kwa kasi huko kenya japo maandamano kupungua na ruto kukubari kuvunja baraza la mawaziri. ila idara inayomlinda inaonekana kudili na wote walionekana kuwa mwiba kwa ruto. Miili ya watoto inazidi kuokwota uko kenya picha zinatisha ila kinacho onyesha ruto hata...
Back
Top Bottom