vijana

  1. Historia ya Rais Ibrahim Traoré na Jinsi Anavyopendwa na Vijana Wengi wa Afrika.

    Katika zama hizi za mabadiliko makubwa duniani, bara la Afrika linashuhudia kuibuka kwa viongozi vijana wanaojaribu kuvunja minyororo ya ukoloni mamboleo na kuchochea ari ya kizalendo. Miongoni mwa sura zinazong'aa zaidi ni Kapteni Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso. Kupitia uongozi wake wa...
  2. Vijana wa 2000 watasema hii ni pakiti ya majani ya chai🤣

    Hii kitu ni bora ilipigwa marufuku maana ilikuwa imeshaanza kula vijana hadi watoto wa primary☠️
  3. S

    PreGE2025 Nchimbi: Vijana msikubali kupotoshwa

    Balozi Nchimbi Nyerere alionya vijana wa Tanzania wasikubali kupotoshwa. Ameeleza kuwa baba wa Taifa alitamani kuona taifa lina wasomi ambao watalitumikia taifa. "Ndiyo maana baba wa Taifa alisema vijana wa Tanzania wasikubali kupotoshwa, vijana wa Tanzania wasikubali kupotezwa, vijana wa...
  4. Vijana wenye miaka 21-30 msio na AJIRA Jitikezeni KWA wingi kugombea UBUNGE

    Kuna graduate moja asiye na ajira aliwahi kujilipua kijijini kwao akachukua form akiwa hakuna hata mjumbe moja anayemjua. Alipopeww nafasi ya kujielezea walimuelewa wazee wakapigwa chini akala ajira ya UBUNGE. Vijana muingie wa kutosha. Ni kosa kulalamika wakati hujaribu. Huwezi kujua siku yako...
  5. HAKI ya kumpata Papa Mpya IPO wapi? Wanawake, Vijana & Wa-Afrika hawana Haki ya kuchaguliwa?

    Wanaotuhubiria Haki tunasubiri tuone Haki ikitendeka kumpata Papa Mpya [Wanawake, Vijana na Waafrika] hawatakiwi kwenye kinyang'anyiro hicho cha kumrithi Papa Francis (RAIS WA VATICAN?). Imekaaje hii? #NoReform_NoNEWPope#
  6. Vijana msio na ajira jikusanyeni mchukue nchi 2030

    Vijana msio na ajira jikusanyeni mchukue nchi 2030. Vijana wengi toka 2014 hawana ajira za kueleweka. Mamilioni wamejazana mitaani. Sisi kaka zenu, baba zenu na wadogo zenu tutawaunga mkono. Wazazi wenu wanajua adha waliyopitia kuwapeleka shule. Kaka zenu tunajua changamoto mnazopitia kutwa...
  7. Maigizo ya Jokate: Vijana 100 wa CCM wahamia CCM

  8. Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana.

    Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana. Jux we ndo kioo cha jamii Hapa Tanzania achana na hao waswahili wanaojiita wasanii.
  9. Waraka wa PASAKA: Kwenu Vijana wa Ovyo, Lini 'Mtafufuka' Kama Bwana Yesu?

    Hali Halisi ya Kizazi Kilichopotea Katika hali ya kawaida, Pasaka ni kipindi cha tafakari kuu kwa Wakristo na wasio Wakristo pia—kipindi cha kutafakari maana ya mateso, kifo, na ufufuko wa Yesu Kristo. Huu ni wakati ambapo maisha mapya yanahimizwa, msamaha unatafutwa, na mwelekeo mpya...
  10. Ujumbe wangu wa Leo Kwa vijana

    Hello jamiiforum Moja ya siku nzuri na yenye kupendeza ikiwa ni kumbukumbu ya kufufuka Kwa Yesu Kristo wa mbari ya Daudi. Hakika ni moja ya sikukuu bora kabisa Kwa siku ya leo. Ndugu zangu haswa wadogo zangu nawasihi na kuwakumbusha kuhusu NDOA.ndoa ni Jambo la hiyari ambalo wawili...
  11. Uzi maalumu wa vijana tuliozaliwa mwaka 1995 tu , karibu tujadili njia za kuingia Ikulu pamoja kuteketeza mifumo yote ya kitapeli na unyonyaji.

    Mimi ni Kijana wa mwaka 1995 . Nimeamua kuanzisha Movement inaitwa "Time for Youth" Lengo la hii movement ni kuondoa mifumo yote ya kitapeli iliyopo Tanzania . Kisiasa . Kijamii Kiuchumi Ikiwa wewe haujazaliwa mwaka 1995 Ila unataka kushiriki kutoa mawazo yako unakaribishwa.
  12. Ni ipi hatma ya ongezeko kuu la vijana wadhaifu amid kuporomoka kwa kasi soko la ajira na kupungua kwa rasilimali?

    UZAMIAJI UTAPELI UKAHABA USHOGA UHARIFU URAIBU Kuanzia 2010 hadi 2020, idadi ya vijana iliongezeka kwa karibu 40%, kutoka takriban milioni 10.2 hadi zaidi ya milioni 14. Sasa by 2025 labda imeongezeka tena by 25%. Na katika ongezeko hili la vijana hawa utapata mixer mbali mbali za tabia na...
  13. Nilifumaniwa kwenye geto la demu enzi hizo lakini mzee wa nyumba ile akasema nisipigwe na vijana wanisindikize hadi kwetu.

    Hii huwa inajirudia rudia sana kichwani kwanini mzee yule aliwakataza vijana wake wasinipige na akateua wawili wale wakubwa wanipeleke na wa hakikishe nimefika salama salimini bila kupigwa? Kipindi hicho genye ndo limeshika hatamu yaani huniambii kitu kuhusu mbususu mara kadhaa nilikuwa sili...
  14. Kauli ya Lema yaidhihirisha CHADEMA haina ajenda kwa vijana na michezo

    Kauli ya Mjumbe wa Kamati Kuu wa CHADEMA, Godbless Lema, ya kusema anaomba Mungu Simba na Yanga zipotee zisiwepo, ni kauli isiyoendana na hali halisi ya umuhimu wa michezo katika jamii ya Kitanzania na hata duniani kwa ujumla. Ni muhimu kuelewa kwamba michezo si burudani tu bali pia ni chombo...
  15. N

    PreGE2025 Vijana wasomi wazidi kuudhihirishia umma kuwa INEC ni tume ya CCM na inafanya maamuzi kwa maelekezo ya CCM

    Tume Imeonyesha wazi kwamba reforms zinazopiganiwa na CHADEMA zinahitajika. CHADEMA inadhihirisha ni chama chenye watu wenye weredi mkubwa sana na ni wakati sasa Watanzania wajitafakari sana kuhusu hatma ya nchi ambayo imepokwa na kikundi kidogo. Msikilize Wakili Emma kupitia link hii akiwapa...
  16. Kijana kutoka Namibia ametengeneza Simu isiyotumia sim-card (line)

    Huyu kijana wa Namibia kwa jina la SIMON PETEUS amegundua simu isiyohitaji mfumo wa SIM (yaani kibongobogo laini za simu) Je unadhani hili lina madhara gani kwa watu wa kawaida na kwa wamiliki wa mitandao ya simu kama Vodacom, Airtel na zingine ikiwa simu hii itaingia sokoni? Simu haihitaji...
  17. K

    Uaminifu: Tabia inayochukuliwa Poa sana na vijana wa kitanzania

    Leo nimkutana na hiki kisa mshikaji analalamika: Mwanao anakupigia simu ana shida ya HELA anakwambia nitaregesha baada ya siku mbili, kimoyomoyo unasema ngoja nimpe tu mwanangu asovu mambo yake wala hakuna haja ya kunirudishia. Ghafla baada ya siku mbili unampigia mwanao simu kapiga BLOKU afu ww...
  18. Hakimu aliyetoa hukumu hii dhidi ya Vijana wa CHADEMA -SIMIYU, kwanini asifutiwe shahada yake ya sheria?

    Mwaka Jana tumeona habari za Mgombea Mwenyekiti wa Kijiji, Ndugu zangu Mgombea Mwenyekiti tuu wa Kijiji anapigwa Risasi anauwawa mbele ya Mke wake. Mmesikia hii Kesi ilichapishwa huku na MwanaJF?. Fikiria CCM, CCM CCM yaan nafasi ya Ubunge tu ,ubunge tu, inawafanya Mnamfungulia watu...
  19. Hatimae Vijana wa CHADEMA waliopewa kesi ya UBAKAJI na CCM washinda dhuluma

    Yale MASHETANI YA CCM KWA KUTUMIA MASHETANI YA POLISI YAMEAIBIKA THOUGH KWA KUCHELEWA Wanachama wa CHADEMA, Katala Kikaja na Ng'hulima Lilanga, wakazi wa kata ya Dutwa, Wilaya ya Bariadi, walihukumiwa kitumikia kifungo cha maisha gerezani. Katala Kikaja na Ng'hulima Lilanga walikuwa mawakala wa...
  20. A

    DOKEZO KERO Halmashauri ya Buchosa toeni mikopo kwa Vikundi vilivyojisajili, mbona mmeishia kutoa kwa Viongozi wenu tu?

    Kuna tatizo kwa Vikundi katika Halmashauri ya Buchosa vina malalamiko kuhusu ile mikopo ya Asilimia 10 kwa vijana, kuna vikundi vimeomba mkopo tangu Julai 2024, hela zilitoka na zikaenda kwa Viongozi wa juu wa Halmashauri lakini upande wa pili wameshindwa kutoa mikopo hiyo kwa vikundi husika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…