vijana

  1. musicarlito

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana Tanzania wanaweza kubeti, kushabikia Simba na Yanga na Uchawa kwisha habari!

    Wakuu asalaam aleykum! Nguvu ya taifa lolote huwa ni vijana, katika rika hili wanaweza kufanya mambo mengi kwa usahihi na nguvu; kuanzia kufikiria kibunifu, kutekeleza mipango, nk. Mfano enzi ya akina Mwlm. Julius Kambalage Nyerere, Warioba, nk. Lakini pia nchi zilizoendelea, gunduzi nyingi...
  2. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, hadi 1000 kwa sqm 1 au 500 kwa sqm 1. Ili kuongeza ajira kwa vijana kupitia viwanda vidogo

    Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, viwanja vya kuweka biashara. Kuuza kiwanja cha kiwanda kwa @20,000 kwa mita moja ya mraba au 30,000 kwa sqm au 50,000 kwa sqm ni bei juu mno na inaua uzalishaji wa bidhaa hasa kwa vijana na wazawa, hakuna kijana mwenye milioni 500 au 1B kwa...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Guys, yale magonjwa tuliodhania hadi ufike 50+ sasa hivi yanaanza kuandamana vijana kuanzia 35+ tena kwa mkupuo

    Tuendelee kuchukua hatua wakuu. Inaweza kuwa ngumu sana kukimbia huu mtindo wa mlo na maisha ila inawezekana kubalance. TUKIWEZA KUBALANCE HIZI MAMBO: Soda drinks. Milo, cocoa, coffee Energy drinks. Carbonated milk Carbonated drinks. Kiti moto Spirits...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Sekta ya kilimo peke yake ina ajira za uhakika na za kutosha kuajiri vijana wote wasio na ajira Tanzania

    Ndugu vijana wenzangu Tanzania, hongereni kwa majukumu ya kila siku. Mawaidha yangu muhimu kwenu leo, ni kuwaomba rafiki zangu wasomi wasaka ajira, kujitenga na uvivu lakini pia kuacha tabia ya kuchagua kazi. Huko ni kujichelewesha kufanikiwa kijamii, kisiasa na kiuchmi. Ni vizuri kutumia...
  5. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Chama cha walimu wasio na ajira (NETO) kiongeze wigo hadi kuwa Chama cha vijana wasio na ajira (NEYO)

    Ushauri Chama cha waalimu wasio na ajira, Non employed Teachers Organization (NETO) Kingeongesa wigo na kukusanya vijana wengi zaidi na kiwe Chama cha vijana wasio na ajira, Non employed Youth Organization (NEYO) Karibuni kwa maoni =================== Tayari kuna chama kimeanzishwa kinaitwa...
  6. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania WIMBO HII WA VIJANA JAZZ UNAITWAJE?

    Mara ya kwanza uliniomba tucheze wote Muziki wa kwetu siwezi kukataa ....... Mimi ni mke wa mtu ooo mama eeh NImeshaolewa
  7. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Okay...! Vijana wenzangu chini ya miaka 40 kuna kamjadala hapa. Tukutane utupe maoni yako!!

    Ungependa kuishi mpaka miaka 40 tu lakini uwe na MAISHA YA KIFAHARI, au mpaka miaka 80 lakini uishi MAISHA YA KAWAIDA?" ~ Tudondoke hapo chini.
  8. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa hivi bado wapo vijana oeni, ndoa bila shela yafungwa kanisani na kushangaza waumini wengii

    1. Hakuna madeni 2. Hakuna kusumbua watu michango 3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Unataka kutengeneza dough ya uhakika? fanya hivi, Wauzie "attention" wanawake, Wauzie "lust" wanaume na Wauzie "dreams" vijana wadogo.

    WOMEN, ATTENTION $Uza cha kumfanya mwanamke wa miaka 40 aonekane wa miaka 30. $Uza cha kumfanya mwanamke awageuze shingo wanaume. $Uza cha kumfanya mwanamke asemwe na mwanamke mwenzake. $Uza cha kumfanya mwanamke kutuliza munkali wa hisia na stress zake MEN, LUST $Uza cha kumfanya mwanaume...
  10. Ileje

    JamiiForums Tanzania Kichekesho: Eti Tanzania iko tayari kuzifundisha nchi za Afrika vijana wajiajiri!

    Haya ni matusi kwa vijana wa Tanzania! Rais Samia ameonyesha dharau kwa vijana! Je ni vijana wangapi wamenufaika katika mpango fake wa BBT kiasi Rais ajisifu na kutaka azifundishe nchi zingine za Kiafrika? Huyu Mzanzibari hatufai kabisa na hastahili kuendelea kuwa madarakani!
  11. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Ajira hakuna ila kazi zipo nyingi sana vijana tutumie akili

    Ety watu wanaunda umoja wa waalimu wasio na ajira(NETO) Hivi kazi zote hizi kitaa wewe una shahada unashindwa kufanya mpaka ulalamike?? Ajira hakuna ila kazi ni nyingi tumieni akili
  12. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Vijana nawashauri kanunueni viwanja kibaha mtanikumbuka

    Kwa mijengo inayoshushwa kibaha Sasa hivi muda sio mrefu viwanja vitakua havishikiki na mtanikumbuka aisee nimetembelea Jana Kila maeneo ni ujenzi tu unaendelea yaani muda sio mrefu ardhi itakua gharama sana kibaha na watu hawatoamini mda haurudi nyuma vijana narudia tena nunueni viwanja kibaha...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Katimba: Serikali Itawafikia Vijana Wapate Elimu ya Kudhibiti Maambukizi ya VVU

    KATIMBA: SERIKALI ITAWAFIKIA VIJANA WAPATE ELIMU YA KUDHIBITI MAAMBUKIZI YA VVU Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Ofisi hiyo itaendelea kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu na wadau wa maendeleo kuhakikisha inawafikia vijana na kutoa Elimu ya tahadhari na...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, na uongozi wa VETA watakiwa kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar kujiajiri na kuajiriwa

    Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha cha Mapinduzi Zanzibar Dkt. Muhammed Said Dimwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab kukaa pamoja na Uongozi huo wa Veta ili kuweza kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar na kuweza kujiajiri...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Tulia awataka vijana kujitokeza kugombea kwakua CCM imejipanga kushika dola

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mlezi wa CCM kwa Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa CCM imejipanga kikamilifu kuhakikisha inaendelea kushika dola...
  16. Knock life

    JamiiForums Tanzania Vijana masikini manaobiwa tafuta hela na wanawake jifunzeni kwa Diamond

    Kama diamond akiombwa hela anazima simu na kubadilisha namba , je wewe Kijana masikini kapuku ,kabwera kipi kinakufanya uchezee hela zako ambazo hata hauna na Una maisha magumu
  17. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Hasira za vijana na namna wanavyoishi

    Salaam jamiiforum Nyuzi zangu nyingi zimejikita Kwa vijana wadogo ambao wengi hawajaoa,na ndiyo wapo hatarini zaidi kwani ni rahisi kukuta kijana mwenye miaka 30 ameteswa zaidi na mapenzi kuliko mwenye miaka 50 kwenye historia zao. Mkikutana barabarani,wamependeza Sana, wengine wamenyoa vizuri...
  18. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Jinsi HR officers wanavyoua ndoto za vijana wengi

    Habari wakuu Katika pilika pilika za kutafuta ajira,nilijaribu kutuma maombi taasisi fulani ,mchakato wa maombi ulipokamilika nikapigiwa simu na hr nimekua selected hivyo niende kuonana naye. Nilipofika ofisini kwake,akaniagiza siku inayofuata niende na watu watakao nidhamini niliitikia wito...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Wakandarasi wenzangu miradi imeanza kufunguka, tokeni magetoni

    Vijana wenzangu, poleni na jua kali. Ni jambo jema kwetu sisi wasio na ajira kuona miradi ya kimkakati ikianza tena kufunguka. Kiukweli, hapo nyuma miradi mingi ilisimama ghafla. SGR Tabora - Kigoma Fika Ulambo, kuna kambi pale, na maoperator wameshaanza kazi ya division. Morogoro Bwawa la...
  20. I

    JamiiForums Tanzania mkopo wa namna hii ni kuumiza vijana .

    habarini wapendwa leo katika pitabpita zangu nikakutana na mikopo ya bajaji na bodaboda . aaah hapana nikauli mkopo wa bajaji nikaambiwa kianzio laki 7 (700000) rejesho kwa siku 27000 na ni mkopo wa miaka 2. viongozi kweli bajaji ya milioni 7 mtu alipe 20 milion kweli.
Back
Top Bottom