vijana

  1. N

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu changamoto ni nyingi sana katika maisha

    Wakuu mambo vipi wadau kwema niaje aseee, mko poa wote, Sasa wakuu nilikuwa na changamoto imenikumba muda wote naomba mnisaidie kiasi chochote tu kinisave mdogo wenu wakuuu🙏jioni hii 0674615883 mbarikiwe sana
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Wanaochokolewa masikio kuvunja amani, Dar es Salaam nenda kaulize leo kama vijana wanataka kungia njiani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026 amesema ametahadharisha akiwaita wanaochokonolewa kuharibu amani ya nchi kuacha mara moja akikumbusha yaliyojiri...
  3. JamiiForums Tanzania Sikuwahi kutegemea kama punyeto inaweza kutambulika kama janga, najiuliza, vijana wa kisasa wame-overdose au mitandao ndio ime expose?

    Haimaanishi ilikuwa ni lazima kijana ufanye punyeto katika processs ya ukuaji wako lakini pia haimanishi ilikuwa sio jambo la kawaida kufanya punyeto, ni kitu cha enzi na enzi, Lakini kwa sasa punyeto haisomeki kama step ya maisha ila inasomeka kama sehemu ya maisha, maana katika wingi mkubwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kombo: Watanzania tunaomba michango kwaajili yakuzunguka nchi nzima kuongea na vijana kuhusu amani

    Jamani leteni hiyo michango ili tuwafundishe nini maana ya amani Tanzania! :cool: :cool: ========== Mwanaharakati Ahmed Kombo aomba mchango kwa watanzania kwaajili yakuzunguka nchi nzima kuongea na vijana kuhusu amani.
  5. JamiiForums Tanzania Uchokozi: vijana wa kiislam kujifanya wakatoliki na kwenda kuleta dharau na dhihaka kwenye ubalozi wa Vatican sio uungwana

    Imethibitika zaidi ya 90 ya waandamanaji kuelekea ubalozi wa Vatican ni waislam na watu wasiokuwa wakatoliki wenye Nia ovu ya kuleta dhihaka, kejeli na dharau Kwa Imani catholic Najaribu tu kuwaza ingekuwaje kama vijana wa kikristo kujifanya waislam na kwenda pale BAKWATA Makao makuu kupinga...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kuzindua jukwaa la vijana Januari 10, 2026

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, inatarajia kuzindua rasmi Jukwaa la Vijana (Youth Platform) tarehe Januari 10, 2025, katika Ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo utaongozwa na Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Arthur Nanauka, ambapo jukwaa hilo litatoa...
  7. JamiiForums Tanzania CCM ina vijana wanashindwa tamka petition wanasema petrol station na ndio wanufaika wa mikopo 10%

    Nimecheka sana uvccm wanavijana hawawezi tamka petition wanataka petrol station? Sasa mkitaka Kuona vioja na mcheke mfe yule bint ni mdaiwa sugu wa mikopo ya asilimia kumi wilaya ya dovya;😂🤣😂🤣😂🤣
  8. JamiiForums Tanzania Orodha ya vijana na kiasi wanachomiliki na umri wao

    Wewe unamiliki kiasi gani mkuu utupe insparation. NB majina sio halisi
  9. JamiiForums Tanzania Uaminifu ni bidhàa, uaminifu ni pesa, vijana kuweni waanifu mtafanikiwa mno

    Uaminifu ni bidhàa inayoadimika miongoni mwa Watanzania. Kwenye maisha ili ufanikiwe uaminifu ni kitu cha thamani ambacho unatakiwa kuwa nacho Watu wengi tumeimiliki hii bidhaa iliyoadimika mtaani na umetupa matunda mazuri Mfanyabiasha unakosa uaminifu, unauza bidhaa mbovu, unauza bei kubwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ishu ya iran ilikuwa mchakato, yalianza mauaji ya binti aliekataa kuvaa hijabu, ikaja vijana wengi kukimbilia ukristo na US kuongeza vikwazo

  11. G

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Vijana ni changa la macho kwa vijana

    Moja ya wizara za kwanza kabisa kuundwa mara baada ya Tanganyika kupata uhuru ni ya vijana, iiitwa "wizara ya utamaduni wa taifa na vijana" (ministry of national culture and youth). Waziri wa wizara hiyo aliitwa Leo Nang'wanda Sijaona akitokea huko huko kwa akina Nanauka. Lakini Leo Nang'wanda...
  12. JamiiForums Tanzania Kesho vijana wanasema wataandamana, Mayalla yuko wapi?

    Haya maandamano,mambo haya ni hatari sana. Watanzania wanataka amani. Vijana wanataka kuchoma moto nchi. Tufanye nini? Tuwaombe vijana. Mambo wanayowaza siyo sawa. Wanaondoa umoja wa kitaifa kwa kusema kwamba wanataka kuandamana. Acha Serikali iseme kwamba atakayeandama atakiona cha mtema...
  13. M

    JamiiForums Tanzania TAHARUKI!! Vijana washusha bendera ya CCM na kupandisha bendera ya Tanganyika

    Kuna picha zinasambaa huko social media zikionyesha vijana wakiwa wamepandisha bendera ya Tanganyika. Nafanyia utafiti kuhusu uhakika wa picha hii. Kama tumeanza kufikia hapa, hii itakuwa ni matokeo ya kuua upinzani sasa CCM itakutana na "Resistance" upinzani ambao haijawahi ona. Kitendo hiki...
  14. JamiiForums Tanzania Pawepo na Kampuni ya Vijana Ujenzi Taifa: Vijana wataajiriwa zaidi ya 5,000,000 nchi zima

    Habari Tanzania ! Napenda kuleta wazo hasa kwa Serikali Tanzania na Vijana wa Tanzania endapo ikiwapendeza. Tuanzishe taasisi ya Vijana Ujenzi Taifa; waajiriwe vijana wenye nia na kutumika kwenye sekta ya ujenzi Taifa. Itungwe Sheria ya usimamizi miundombinu na ujenzi majengo Taifa. Pia...
  15. JamiiForums Tanzania Askofu Mpembwa: Vijana wa sasa sio wale wa 1961, hawa wanaitambua dunia

    Askofu Bethania Mpembwa wa Kanisa la Neema ya Kitume Tanzania, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam, amesema kuwa Vijana wa kizazi cha kuanzia mwaka 2000 (Gen Z) ni tofauti na vijana wa mwaka 1961 wakati nchi ilipopata Uhuru. Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo...
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukweli mchungu ila vijana wanaokwenda South Africa bora wakabaki hapa

    Leo kuna kijana anataka kwenda south Africa kutafuta maisha alinipigia na yupo mkoa fulani siwezi kutaja. Kwa tafiti zangu za kuzurura na kutembea sana ila kule sasa sio pakutafuta maisha kwa mtu ambaye shule huna, unakwenda kwa kutumia viza za miezi,huna kibari cha kazi. Waliofaidi ni wale...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Vijana wa kabila la Kimasai wanapiga watu ovyo barabarani wapitapo Arusha

    Habari zenu wakuu, Nipo hapa kuelezea Kero inayotupata Wananchi kutoka kwa vijana wa KIMASAI jijini Arusha. Vijana Hawa wamekuwa na Tabia ya kupiga, kudhalilisha, kunyanyasa na kutweza utu wa watu kila WAPITAPO kwa makundi barabarani. Juzi walimpiga bodaboda maeneo ya ofisi za Halmashauri ya...
  18. JamiiForums Tanzania Penye miti hakuna wajenzi kwa nini serikali ya CCM inataka wasio umuhimu wakati tuna mtu Malisa GJ anaweza kuwa chachu waziri wa vijana na wananchi

    Nimekuwa nikimfatilia bwana Malisa GJ ambaye ndio msaada wa watu wengi kwa vijana na wananchi. Kuna kijana alivunjwa miguu kipindi cha October 29 na alikuwa ana msomesha mdogo wake ila jamaa alivyoweka ujumbe alichangiwa na kufikisha milion 15. Baada ya siku watu wakaomba na huyu achangiwe...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi vijana wa Gen Z wanavyosherehekea krismasi

    😂😂
  20. JamiiForums Tanzania Je, kuna kijana yoyote mwenye wazo la biashara ambalo ni jipya la kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja

    Habari Tanzania ! Ikiwapendeza vijana nawakaribisha kwa hayo mawazo. Linahitajika wazo la biashara ambalo ni jipya. Ikiwa utakuja na wazo la kufanyika maeneo yafuatayo hapa Tanzania kwa kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja kwenye hilo wazo lako. Mikoa ifuatayo; Mwanza, Arusha, Dar es Salaam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…