Ukisikia ule msemo kua nakupemda wewe na huyo mke wako ndio unatumika hapa sasa
Wasanii gach na yammtzy wamefikishana polisi sababu kubwa kugombania bwana ambae ni mume wa mtu mwiz wa kwanza alikua ni gach mwiz akaibia na yamm mwiz wa kwanza akaemda polis kushtaki vijana tutafute hepa...
Vijana wanaoendesha Bajaji wamekuwa wakishikwa kwa nguvu na (WAGAMBO), kuna muda wanakimbizwa na gari na wengine wakisababishiwa ajali wakidai ni WRONG PARKING.
Baada ya kukamata Bajaji zinafungiwa ndani na ukifatilia ili uzitoe, unaambiwa ulipie Shilingi LAKI TANO (Tsh 500,000).
Tumeenda...
Anonymous
Thread
bajaji
malalamiko
manispaa
manispaa ya songea
mjini
songea
songea mjini
uonevu
vijana
Leo nawapa siri ya vijana kupenda mashangazi ,mashangazi yameshaingia menopause hakuna mambo ya kukwepa mdinyano kisa upo period mashangazi mda wote unadinya ule ubabaifu wa kuwekewa tomato kwenye pedi haupo.
Mh waziri wa Vijana, Nanauke naomba ujibu swali langu hilo maana kuna vikundi vya kutosha sasa vinaomba mikopo na vya watumishi vipo je wanaruhusiwa ?
Tujibu tafadhali
Baada ya sekeseke la Oct29 kuunda wizara ya vijana kulionekana kama sehemu ya majibu na tiba ya kilichotokea na kilichosababisha vijana wakubali kutumika.
Hata hivyo, vijana ni nani na wako wapi?. Vijana ni wale wenye umri chini ya miaka 40 hivi. Vijana hawa wengi wao wako kwenye familia...
Zimetoka Tshirt zinaonesha picha ya Tundu Lissu na Ujumbe unaohusiana na Kesi yake zinauzwa kila moja TZS. 15,000/= haifahamiki hizo pesa za mauzo zinaenda wapi lakini pia BAVICHA hawana akili ya ku question mambo ambayo ni critical ila wanaweza kuelekeza Matusi ya kila aina kwa Rais wa Jamuhuri...
Kuna wakati watu weusi walijua sababu za tabu zao ni kwa maana wao ni kizazi cha laana na unyonyaji wa wazungu.
Bado sehemu kubwa ya jamii ya kiafrika inajua dini ndio mkombozi wa uduni wao.
Leo ndio vijana wanakuja kuelewa kuwa mzungu aliwatawala sio kwa sababu ya unyonge wao bali utengano na...
Vijana zinaa inaleta umasikini just imagine kijana unafanya kazi za saidia fundi,viwandani, mlinzi pesa unazipata kwa shida then unakuja kutoka na demu kwa siku 50K - 100K inakatika, room 30K
Msosi 20K
Nauli 5K
Asante kwa kuja 30K
Hapo kunakutoboa miaka nenda rudi hakuna maendeleo.
Kwanini...
Wafu wamefikia hatua wanasema hawataki kuona picha yake.
Ila yeye kakamoaa kuwa karibu na vijana. Mara tutawapa hiki, mara tutawapa kile. Tutawajengea studio na bado ahadi kibao.
Lakini ukija uraiani vijana ndio wanamkataa kabisa.
Katika jiko lenye shughuli nyingi katikati mwa jiji la Dar es Salaam, milio ya visu vigonga ubao wa kukatia ilijaa hewani. Katikati ya mvuke na sauti za makarai, Ruth Washima Seni, mwanafunzi kijana wa Tanzania anayesomea mambo ya huduma, anajaribu kukata viazi kwa usahihi, vipande vyembamba...
Watawala wa Tanzania walidhani kwa kuua roho ya ujasiri, uthubutu na ubunifu kwa vijana wa Kitanzania kupitia mifumo mibovu ya kielimu, kisiasa na ya kijamii kwamba athari zake zingebaki tu katika mambo ya siasa ili kulinda maslahi ya hao watawala. Badala yake, athari za mambo haya tunaziona...
Vijana wasiokuwa na namna ya kuanza maisha wasijikite kwenye uhalifu kwasababu uhalifu unakatisha maisha, wajikite kwenye kazi zisizohitaji mitaji, kazi za kutoa huduma mfano usafi majumbani, usafi kwa vyombo vya usafiri, delivery etc
Uhalifu sio njia sahihi ya kuendesha maisha kwasababu hasara...
Hii kampuni ilikuwa ya kwanza kuingia tanzania
Baada ya muda wakaja bolt lakini kabla ya hapo ilisemekana wameweka maagizo akiruhusiwa mwingine wanaondoka
Hata hivyo inaonekana mawazo yao yakikuwa ya kipuuzi na kijinga
wakaruhusiwa bolt
Baada ya kuruhusiwa bolt, uber wakaanza kulalamika bolt...
Kijana wa Kitanzania, Joseph Jr Michael (JJ), amepiga hatua kubwa baada ya kusajiliwa na klabu ya Celta Vigo nchini Hispania kwenye timu ya vijana (Juvenil B) kupitia dirisha dogo la usajili la Januari 2026.
JJ mwenye umri wa miaka 18 anayecheza nafasi ya mlinzi wa kati, amejiunga akitokea...
Au kwasasa wameishiwa ubunifu wa porojo, uongo na uzushi mpya dhidi ya taifa lao kwa manufaa na hisani ya mabwana zao waliokua wakiwatumikisha?
Na ile ahadi ya kutafutiwa kazi ubiligiji wametimiziwa?
Umaskini wa kifikra na unyonge wa kiuchumi unaweza kupelekea vijana wengi wa chadema kufanywa...
Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe, ameionya Serikali kuwa idadi kubwa ya vijana wanaohitimu vyuo vikuu kila mwaka inaweza kugeuka kuwa ‘bomu la kijamii’ ikiwa hakutakuwa na mpango madhubuti wa kuwaingiza kwenye sekta za uzalishaji.
Akichangia Mpango Elekezi wa Maendeleo wa Muda Mrefu...
Mbunge wa Kigoma Mjini, Baba Levo, ameitaka Serikali kupunguza vikwazo vinavyowakabili vijana katika mchakato wa kupata mikopo, akisema masharti yaliyopo kwa sasa ni magumu na yanawanyima fursa vijana wengi kunufaika na mikopo hiyo.
Akichangia bungeni jijini Dodoma leo, Februari 3, 2026, mbunge...
Mbunge wa Jimbo la Makete, akichangia katika Bunge la 13, Mkutano wa Pili, Kikao cha 6, ameeleza kuwepo kwa mifuko ya vijana katika wizara mbalimbali licha ya kuwepo kwa Wizara rasmi ya Vijana. Amesema kuna zaidi ya mifuko 70 katika wizara tofauti inayopokea fedha kwa ajili ya vijana...
Tangu warsha ya kwanza ya mafunzo ya Luban ilipozinduliwa mwezi Machi 2019 nchini Djibouti, China imeanzisha jumla ya warsha 11 za Luban katika nchi 10 za Afrika. Kwa kuzingatia falsafa ya “kuwapatia nyavu na kuwafundisha uvuvi badala ya kuwapa samaki”, warsha za Luban zimejitahidi kuendeleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.