Niliandika makala hii 2017 mnasemaje kuelekea uchaguzi 2020
POLENI SANA VIJANA, MNAKUWA MAJESHI YA MINYUKANO YA KISIASA MWISHO INAKUWA AIBU KWENU.
Poleni sana vijana wa ACT - WAZALENDO mliomtukana matusi yote Mh Mbowe kisa mapenzi makubwa mliyonayo kwa Mh Zitto pengine hamkujua wanasiasa...