vijana

  1. dosama

    JamiiForums Tanzania Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo

    Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ,ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo 7.07.2020. Jeshi la Magereza limegeuzwa nguvu kazi ya CCM
  2. Liverpool_Jr

    JamiiForums Tanzania Hivi kama vijana wanaambiwa wafanye kazi yoyote kwanini wanaenda chuo?

    Ni siku nyengine tuseme asante Mungu kwa kutuamsha tena. Naomba niende kwenye mada. Leo alfajiri nimepigiwa simu na mshakaji wangu wa kipindi Fulani hivi tuliendana sanaa ila ndio harakati za maisha zilitutenga. Yeye kwasasa ni muuza mayai na alisoma engineering. Jamaa anasema biashara...
  3. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Wapinzani naona vijana wa Lumumba wanawaonea huruma sana kwa ajili ya Membe!

    Pale inapotokea adui anapokwambia kwenye mzinga uliojaa asali kuwa hakuna NYUKI, wewe ingiza tu.. . Usimsikilize hakutakii mema. .. Asijikute anakushauri... Mwanzo walimsema sana Mbowe mbona haachii UENYEKITI. .. Kiasi kwamba hadi wanachadema wakakaa chemba kufikiria "eti kweli mbona...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vijana wengi wasomi wamepata moyo kugombea kwa sababu ya uimara wa Magufuli

    Mzee Shomari ameniambia kuwa kuna wimbi kubwa la vijana wasomi wakiwemo madaktari,mainjinia n.k ambao wameshawishika kutia nia huku sababu yao kuu ikiwa ni uwanja huru na wenye fursa ndani ya CCM ambao umewekwa na mwenyekiti wetu wa chama. Nawaasa vijana wazalendo kutumia fursa hii adhimu...
  5. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Kazi zenye pesa zisizojadiliwa na vijana hizi hapa

    Natumai hamjambo, kichwa Cha habari kinajieleza, Kuna kazi vijana wengi hawazijadili ila ukizizingatia unaweza ukatengeneza kampuni kubwa Tena yenye kuheshimika 1; Shoe care, hi inajumuisha kushona viatu vilivyochanika, mikoba, begi, nk, kung'arisha viatu na kufua viatu, Hakika, kwa mtaji wa...
  6. Idd Ninga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nalitamani jimbo la Arusha mjini,ni wakati wa vijana wachapa kazi

    Haja yangu ni kuliona jimbo la Arusha mjini likiwa Geneva ya kweli ya Afrika,kuigeuza na kuifanya Arusha kuwa makao makuu ya utalii Afrika ya mashariki na kati na kuweka mikakati na mipango na wadau wa utalii katika jimbo hili kuhakikisha utalii unatangazwa na vijana wanapata ajira ya uhakika...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vijana tutafute fedha kwa kila hali. Mtu mzima ukiwa maskini Jamii inakuona umerukwa na akili

    Fedha ndio habari ya mjini, vijana tutafute fedha kwa kila hali. Hata kuzamia machimbo, kufanya kazi kwa juhudi au hata kwa kujilipua kwenda ng'ambo. Imagine Diamond ile sura yake na kamwili kake kadogo lakini anaitwa baby. Aliwahi kusema kuwa kwa siku anatongozwa mara dufu. Kijana tafuta hela...
  8. Brown Ashika Tama

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tukumbuke vijana

    Mh. RAIS WETU Kwanza kabisa napenda kukupa pole kwa majukumu mazito ya kulijenga taifa uliyonayo tuliyokutwisha tangu mwaka 2015. Vile vile napenda kukupa pongezi na hongera kwa mambo makubwa unayofanya na hatua nzuri unazochukua za kutujari watanzania ikiwemo kutuepusha na janga la homa kali...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Membe kwamba "Wakati wao hawakuteua vijana sana"

    Nilikuwa kusikiliza BBC Swahili asubuhi hii, ambapo imenukuliwa kwamba Membe anaipongeza awamu ya tano kuhusiana na infrasture kama barabara flyover, SGR na uteuzi wa vijana ingawa bado anawatumbua tumbua, tofauti na "wakati wao" Sasa nimetafakari wakati wao yeye Membe na nani au alishakuwa...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Hivi hili la kuweka limit ya Umri kwa vijana wa sasa katika ajira kwa mazingira ya sasa liko sawa?

    Wakuu, Hakuna asiyejua ajira kwa sasa ni changamoto hapa nchini, Sekta binafsi ndiyo hiyo inakufa ambayo ilikuwa na uwezo wa kutoa ajira kwa wingi. Cha kushangaza naona Serikali imekuja na masharti makali kidogo tofauti na zamani kwa baadhi ya matangazo ya ajira kwenye age limit. Inatangazwa...
  11. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Vijana wateule wa Rais Magufuli tulizeni munkali, jifunzeni kwa Jafo

    Wenye hekima watanielewa lakini kwa kuwa vijana hampendi kutulia kama Suleiman, Daudi, na Jeremiah itakula kwenu. Hebu pitia maandiko haya:- Warumi 13:1-4,6-7 [1]Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu. [2]Hivyo...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kiafrika na kutojishughulisha

    Hawa vijana wa miaka 18 mpaka 23 hadi 26 wanaishi maisha ya ajabu sana, yani utakuta mtu kuanzia asubuhi mpaka jioni mtu amekaa tu barazani kusikiliza visingeri. Huku mtaani ukimkuta kijana mwenye umri huo kashika kitabu anajisomea cha kuongeza maarifa basi kiama kesho kutwa. Huku mtaani...
  13. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Vijana mengine huwa mnajitakia Wenyewe kwa Tamaa zenu za Kupenda Kuwakurupukia Mahawara za Wakubwa Barani Afrika na Kuwatongoza hovyo!

    Wewe kila mahala ilikuwa inaimbwa tu kuwa Miss Werasaki a.k.a Tidoki Njoo Uketi ni Chakula Kubwa kabisa ya Kimahaba ya Mkemia aliyefuzu Ukemia wake Mlimani Jijini Dar es Salaam nchini Tanzania na Kuipata Doctorate yake huko nchini Ujerumani halafu na Wewe kwa Tamaa zako za Nyege zako Mshindo...
  14. haszu

    JamiiForums Tanzania Vijana mliooa mapema mnasumbua sana

    Miezi ya mwanzo kabla ya ndoa huwa mnajifanya mko busy na hampatikani kua mnamajukumu ya familia na sababu kama hizo. Baada ya muda mnaanza kusumbua hamtulii nyumbani kwenu mnatulazimisha kupiga story hata zisizo na msingi ili mpitishe muda wa kwenda kwenu. Mtulie huko huko
  15. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tusaidie sisi vijana wasomi kwenye mradi wa SGR

    Habari Mh rais Dr John Pombe Joseph Magufuli, Pole kwa majukumu mazito ya nchi kwa maana ya kitaifa na kimataifa kwa ujumla. Awali ya yote tunatoa pongezi za dhati kabisa kwa serikali yako ya awamu ya tano, chini ya uongozi wako kwa kazi nzuri ulizozifanya na unazoendelea kuzifanya katika...
  16. mdhalendo

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi vijana wadogo wana kiwango kikubwa cha stress na depression?

    Wadau wa JF. Leo ningependa tujadili kidogo hali ya afya ya akili inayoendelea kuwatafuna vijana wetu mitaani bila jamii kuangazia. Leo ni hali ya kawaida kukuta kijana teenager anayesoma sekondari au chuo kikuu akilalamika kuwa na msongo mkubwa wa mawazo au kitaalamu inaitwa Sonona...
  17. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nyalandu: CHADEMA tukiingia Ikulu tutaanzisha benki ya vijana

    NYALANDU: Chadema tukiingia Ikulu tutaanzisha benki ya vijana Mtia nia wa kugombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Lazaro Nyalandu amesema endapo chama hicho kitampa ridhaa, atahakikisha anarudisha utashi na udhubutu wa vijana...
  18. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Vijana wa UVCCM tunaongoza kwa furaha Tanzania, hatutazeeka mapema

    Habari ndio hiyo, yaani hata huku jukwaani nyuzi za vijana wa BAVICHA ni zakinyonge mno, mara hawaiamini tume hii iliyowatangaza Sugu, Mbowe, Lema, Msigwa na wengine kuwa wabunge. Mara hawawaamini polisi wanaolinda raia na mali zao mara wanadai katiba😂😂😂😂 Kwakifupi hawa machalii wa BAVICHA...
  19. Environmental Security

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vijana wa CCM tujitokeze kwa wingi kuchukua fomu za kugombea ubunge na udiwani 2020, chama kimetoa fursa

    Kidumu Chama cha Mapinduzi Napenda kutumia fursa hii kuwasihi na kuwahimiza vijana wa Chama Cha Mapinduzi tujitokeze kwa wingi katika kuchukua fomu za kuwania nafasi za kuteuliwa na chama chetu ili kugombea nafasi za kuwakilisha wananchi katika ngazi ya ubunge na uduwani, nawahimiza vijana...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Serikali ijayo itafuata " kikamilifu" itikadi ya Ujamaa na Kujitegemezi. Je, CCM kuna vijana wazalendo wa kumsaidia Rais Magufuli?

    Maandalizi yote ya kuirejea itikadi ya Ujamaa na Kujitegemea kivitendo kama ilivyokuwa enzi za Mwalimu Nyerere yamekamilika. Kwa sasa tuna ATCL ni yetu 100&, tunamiliki TTCL 100%, Tanesco 100%, Mamlaka za maji 100%, TRC 100%. Tunakwenda kuwa na benki yetu ya biashara kubwa mbadala wa NBC, TPDC...
Back
Top Bottom