“Vijana wenzangu tukalime, kilimo kinalipa sana” haya yalikua maneno ya rafiki yangu mmoja ambae aliacha kazi yake ya kupiga picha (Camera Man) na kuhamia shambani kulima.
Bwana Jenkeni ni rafiki yangu wa karibu sana, nilifahamiana nae mwaka 2014 alialikwa nyumbani Kimara kwenye sherehe ya...