vijana

  1. Invisible

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

    Wakuu, Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena: Mnapoamua kufanya biashara yoyote au mawasiliano yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF wala...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania UK: Serikali kutumia kumbi za starehe kuhamasisha vijana kujitokeza kupata chanjo

    Kama jitihada mojawapo ya Serikali kuongeza kasi ya utoaji Chanjo, Vijana wameambiwa wasikubali kupitwa na wakati mzuri ikiwemo uhuru wa kwenda klabu na kusafiri kwa kujitokeza na kupata dozi zote za Chanjo dhidi ya COVID-19. Hatua hiyo inakuja wakati ambapo kuna harakati za klabu kuhamasisha...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Vijana wasomi toka familia maskini hupata sana kesi za ubadhirifu na kuishia pabaya. Wazazi, serikali na jamii ni ya kulaumiwa

    VIJANA WASOMI TOKA FAMILIA MASKINI HUPATA SANA KESI ZA UBADHIRIFU NA KUISHIA PABAYA... WAZAZI, SERIKALI NA JAMII NI YA KULAUMIWA. Nawasalimu nyote kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.... leo nimeamua kuandika huu uzi nikiwa na masikitiko makubwa mno nafsini mwangu. Ni suala linalotuhusu vijana wa...
  4. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Onyo: CCM msijaribu kufanya vurugu Agosti 5, 2021

    Nawakumbusha kwa upole sana, CCM na wengine, tunazo taarifa zenu kuwa mnataka kupandikiza vijana wa UVCCM mkijifanya ni CHADEMA siku ya kesi ya kishenzi mliyompa FM. Mipango yenu yote tunayao, tunajua vijana mnaowatuma na pesa mnazowapa ili wafanye vurugu then mpate ajenda yenu. I warn you...
  5. MaalimJohn

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ni kwa namna gani tutapunguza tatizo la ajira kwa vijana kutoka vyuoni

    NI KWANAMNA GANI TUTAPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA KUTOKA VYUONI Elimu ya juu kila mwaka inazalisha vijana wapya wenye taaluma mbalimbali ambao wanakuja kushindana kwenye soko la ajira.Vijana hawa wana zidi kuongezaka mtaani na kufanya tatizo la ajira kuwa suguu Ila kwa elimu...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wa UVCCM Taifa azindua Vijana Jogging club aliyoianzisha mkoani Dodoma

    KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA AZINDUA VIJANA JOGGING CLUB ALIYOIANZISHA MKOANI DODOMA. 31.07.2021 Katibu mkuu wa Uvccm Taifa Ndugu Kenani Kihongosi amezindua rasmi VIJANA JOGGING CLUB MKOANI DODOMA. Amelekeza Mikoa yote kuwa na Vikundi Vya JOGGING VYA VIJANA lengo ikiwa kulinda afya pamoja na...
  7. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Sababu zinachangia kufa kwa biashara za vijana wengi

    Utangulizi Binafsi nafurahi kuona vijana wengi wakike na wakiume wakijiongeza kiuchumi kwa kujiunga na ujasiriamali. Wameichagua moja ya njia inayoweza kutumika kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira nchini. Japo sio wote watapendezwa na uthubutu na mafanikio yao lakini bila kujari kufahamiana...
  8. Kilenzi Jr

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mikakati ya kupambana na wimbi la ukosefu wa ajira kwa vijana

    Kuna kila sababu ya kupitiwa upya kwa mfumo wa elimu unaowandaa wahitimu kuingia kazini ili kuepuka makosa yanayojitokeza wakati wa maombi ya kazi na kuwaandaa kisaikolojia kujiajiri wenyewe. Pia ushindani wa soko ajira inaweza kuwa sababu kwa baadhi yao kutumia vyeti vya kughushi kupata mpenyo...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi Kuzindua Vijana Jogging Club

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi Kuzindua VIJANA JOGGING CLUB. VIJANA JOGGING CLUB. Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi unapenda kuwaalika Vijana wote wa Tanzania katika Uzinduzi wa “Vijana Jogging Club” utakaofanyika tarehe 31 Julai 2021 kuanzia Nyerere...
  10. jeff mahugi

    JamiiForums Tanzania Vijana na mitaji; Nyie mnatafutaje hiyo mitaji?

    Jambo jambo waungwana. tunaanza ni siku ya tatu inafika sina hela mfukoni kila ninaye mtangazia shida yangu naye ananipa yake kichwa kinaniuma nifanye nini na kuiba ni kitu ambacho sikitaki. aisee mimi kama kijana mpaka sasa nimeshafanya kazi kama muajiriwa katika taasisi fulani maisha yalikuwa...
  11. Elisha Emma

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu inatakiwa kupambana na wimbi la vijana wengi kukosa ajira

    Kwa sasa Dunia nzima inahangaika juu ya vijana wengi kukosa ajira. Juzi nchi jirani iliamua kuwagawia vijana wasiokuwa na ajira chakula, lakini walisahau kuwa shida yao si chakula bali, ni nini kitawapatia chakula endelevu? Na vijana wale walikataa kile chakula na huku wakiendelea kuhitaji...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Sabaya: Shahidi aeleza Sabaya alikuwa na vijana zaidi ya 10 alipovamia duka

    Arusha. Shahidi wa tano wa Jamuhuri katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, Seleman Kassim Msuya (36) ameileza mahakama kuwa akiwa nje dukani kwake alimuona Sabaya akiongoza vijana wake kati ya 11 hadi 12 kuingia dukani kwa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nini kifanyike kuondoa fikra ya kuajiriwa miongoni mwa wimbi kubwa la vijana Tanzania

    NINI KIFANYIKE KUONDOA FIKRA YA KUAJIRIWA MIONGONI MWA KUNDI KUBWA LA VIJANA TANZANIA. UTANGULIZI. Suala la ukosefu wa ajira limekua tatizo kubwa sio Tanzania tu bali dunia nzima. Tanzania ina idadi kubwa ya vijana ambao hawajaajiliwa pia bado kila mwaka idadi kubwa ya vijana wanahitimu...
  14. I

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mzee na Kundi la Vijana

    Na ISMAIL MAYUMBA Kundi la vijana wakiwa kwenye mgahawa ambao ulio wazi kiasi cha wapita njia kuwaona. Vijana wakiwa wanakula chakula na kufurahi na hata pale walipotosheka na chakula bado waliagiza kingine na kukichezea. Mzee akapita akiwa na mkongojo wake unaomsaidia kutembea. Akawaona na...
  15. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tutumie ubunifu wa vijana kupunguza tatizo la ajira

    AJIRA kwa vijana inaendelea kuwa tatizo kubwa nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla. Kila kukicha idadi ya vijana inaendelea kukua na mahitaji ya namna bora ya kupata ajira yanazidi kupungua. Ni imani yangu ya kuwa hakuna suluhisho la moja kwa moja la kutatua tatizo la ajira kwa vijana Tanzania...
  16. DustBin

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana wenzangu tukalime kilimo kinalipa sana

    “Vijana wenzangu tukalime, kilimo kinalipa sana” haya yalikua maneno ya rafiki yangu mmoja ambae aliacha kazi yake ya kupiga picha (Camera Man) na kuhamia shambani kulima. Bwana Jenkeni ni rafiki yangu wa karibu sana, nilifahamiana nae mwaka 2014 alialikwa nyumbani Kimara kwenye sherehe ya...
  17. chief lobengula

    JamiiForums Tanzania SoC01 Je, Sarafu za Kimtandao (cryptocurrencies) ni fursa nyingine kwa Vijana wa Kitanzania?

    Habari zenu wanajukwaa. Natumaini ni wazima wa afya. Namshukuru Mungu kwa uzima aliotupa siku ya leo. Mnamo Juni, 13 2021, Rais wa JMT Mh. Samia Suluhu Hassan alitoa wito kwa Benki Kuu (BOT), kujiandaa kwa ajili ya kulipokea swala la sarafu za kimtandao na teknolojia inayoziwezesha yaani...
  18. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Namna vijana wanavyoweza kushiriki/kushirikishwa katika shughuli za maendeleo kitaifa

    Hebu fikiria, umepata nafasi ya kuzungumza ana kwa ana na Mh Samia Suluhu (Rais wa JMT) na una dakika tatu tu za kueleza nini ungetamani afanye ambacho kitakufaidi wewe (Kijana) na vijana wengine. Kwa dakika tatu hizo ungemweleza nini? Bila shaka umepata jibu. Hii inaonesha kuwa kila mtu ana...
  19. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini vijana wanapaswa kushiriki/kushirikishwa katika shughuli za Maendeleo ya Kitaifa

    Hebu fikiria, umepata nafasi ya kuzungumza ana kwa ana na Mh Samia Suluhu (Raisi wa JMT) na una dakika tatu tu za kueleza nini ungetamani afanye ambacho kitakufaidi wewe (Kijana) na vijana wengine. Kwa dakika tatu hizo ungemweleza nini? Bila shaka umepata jibu. Hii inaonesha kuwa kila mtu ana...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Serikali ifanye nini kukuza uchumi wa viwanda nchini na kutengeneza ajira

    Ili kukuza uchumi wa viwanda nchini na ili viwanda viendelee kuwepo, kuzalisha na kutengeneza ajira kwa watanzania ni lazma yafuatayo yatekelezwe; Kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji, kama chanzo cha malighafi za kwenda viwandani Tanzania ni nchi kubwa sana na sehemu isiyoishi watu (mapori)...
Back
Top Bottom