Hamjambo wote!
1. Mara zote maadili huharibiwa na viongozi, wazazi na wakubwa.
2. Viongozi na wazazi au wakubwa wakiwa na maadili automatically watoto, wadogo na waliochini watakuwa na maadili.
3. Sio maadili ya kuhubiri mimbarani, au kwenye majukwaa kama kasuku. Huo ni ukasuku. Huwezi sema...
Angalizo: andiko hili linaweza kuwa na lugha ngumu na Kali. Hivyo kama wewe sio mpenzi, unahasira, au ukisikia lugha ngumu unakereka, unapoteza furaha, unahisi kudhalilika au kupoteza heshima yako. Ni vizuri kuishia hapahapa. Usiendelee kusoma. Kwa kuendelea kusoma ni kuonyesha kuwa unajiweza na...
Baada ya karne nyingi kupita, 2025 Rais wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amekuja na maono ya kumfikisha kijana kwenye ndoto yake anayoitamani. Ameunda Wizara mahususi kwa ajili ya kusikiliza hoja za vijana, kuwaongoza na kuwawezesha kufikia nchi ya ahadi ya asali na Maziwa. Inawezekana...
VIJANA WENGI HAWAJUI SIRI HII: NUSU YA KIPATO CHAKO NDIO KIWANGO CHA MATUMIZI YAKO HAYATAKIWI KUZIDI HAPO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Usijesema ooh! Mtibeli bahili. Ooh! Upare umekuharibu Mtibeli. Nope!
2. Hiyo ni siri za pesa ambayo hutaambiwa na watu wengi waliofanikiwa hasa...
Jukwaa la Uzalendo na Mabadiliko limetoa barua ya wazi kwa Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka, likielezea wasiwasi mkubwa juu ya utekelezaji wa mpango wa Shilingi Bilioni 200 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya vijana nchini.
Katika barua hiyo iliyotolewa hivi karibuni, jukwaa...
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetenga mfuko wenye Sh50 bilioni kwa ajili ya kuwawezesha vijana wanaojihusisha na sekta ya ubunifu nchini, hatua inayolenga kukuza uchumi wa ubunifu na kutoa fursa zaidi za kiuchumi kwa vijana.
Akizungumza jijini Arusha jana Machi...
Bila kupoteza muda niende direct kwenye Mada mwaka jana ulikuwa mwaka wa changamoto sana kwenye maisha yangu hii yote ni kwa sababu ya kukosa uaminifu kwenye mambo madogo madogo.
Kuna bro ni rafiki yangu lakini kwa sasa ni kama ndugu yangu tupo kwenye urafiki zaidi ya miaka kumi tulisha...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka, Machi 7, 2026 amezindua program ya Jenga Kesho iliyobora (BBT) upande wa uvuvi kwa kuwakabidhi hundi yenye thamani ya Bilioni 7 Vijana 308 wanaojishughulisha na Mambo ya uvuvi ili iwawezeshe kimitaji hafla iliyofanyika...
Zamani zetu kuwa chizi/ kichaa ilikuwa msiba wa kaya na jumuiya yote ya eneo hilo
Sababu za uchizi zilitafutwa na kufanyiwa utafiti. Familia husika ikifanya kila liwezekanalo isihusishwe na vinasaba kwakuwa ingekuwa na impact mbaya kuanzia mahusiano, uongozi mpaka biashara
Sababu maarufu...
Tanzania hivi sasa tunakabiliwa kwa kiwango kikubwa sana cha vijana tunaowaita Elimu Ndogo Pesa Nyingi (Tuwaite EP kwa kifupi - Elimu Pesa), ambao utawatambua katika namna ya maongezi yao, kutamba kwao na kujionyesha kwao. Hata humu JF wapo wengi tu. Utaongea nae dakika tatu tu na kujua kwamba...
Baada ya maambukizi , inachukua miaka 10 hadi 15 mtu kuanza kuona dalili za hiv,
Kumbe wengi wazinzi naweza sema watoto wa 2000s walioanza uzinzi let's say 2018 wakiwa na miaka 18+,
Dalili wanaweza kuanza kuziona around 2028 kuendelea.
Kipindi chote hiki wanaweza kuishi kwa kuwaambukiza...
Mahakama ya Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza, Machi 6, 2026 imewaachia huru watuhumiwa saba waliokuwa wakikabiliwa na shitaka la uchomaji Moto, Shauri la Jinai Namba 2037 la Mwaka 2026 baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha tuhuma hizo pasi kuacha shaka.
Taarifa ya LHRC imeeleza kuwa...
Waziri wa vijana elewa kitu kitu kimoja SI kwamba serikali haitoi fedha kwenye HALIMASHAURI la hasha,
Ilikuwa inatoa tuliisha kwambia fedha hizo zililiwa na mchana uvccm na wake na ndugu wa madiwani
Sasa wewe ni waziri wa vijana wote weka utaratibu mzuri wa kuwasajili vijana platform kila mkoa...
Sababu za kijana HECHE amekuwa mfano wa kiongozi bora vijana kumpita Mwigulu.
Kwasababu haonekani fake kama jamaa yetu Mwigulu ambaye ameweka dharau kwa watanzania wa kawaida, fake uzalendo kwa kuvaa bendera na kuwa kati ya mafisadi papa kwa kupata 10% ya miradi hasa ya treni kutoka kwa...
Habari Tanzania !.
Natamani kuwaona vijana wa Taifa hili kuanzia miaka 18 hadi 45 wanakuwa wanachama rasmi wa ushirika wa Taifa awe anataka au hataki kama vile mnavyowapeleka Vijana JKT kwa mujibu wenu uleeee.
Hili Shirika lingefaa zaidi kuwaweka Vijana kwenye makundi 3:
1. Wenye Elimu au...
Mutua, a father of two and a Community Health Promoter (CHP) in Dagoreti South, has made history as the first person to receive the new HIV prevention injection. Using his platform, he’s mobilising youth to embrace the jab while reminding them it’s added protection, not a free pass.
“Nikiwa CHP...
Habari Tanzania !
Haya vijana changamkia fursa hii. Anza pole pole kwa yule mwenye ndoto za biashara ya uuzaji mafuta ya vyombo vya moto mchongo huo hapo. Hata kama hujapata wazo la biashara; unaweza kuta unasukuma hii biz maana soko lake ni uhakika kila siku saa 24 siku 7 za wiki. Kazi ni...
https://www.youtube.com/live/OKUOZERlsJs?si=hSMyZIJG7kS6N1kT
------------
"Waziri wa Vijana anapewa fedha anakuja kutuambia sisi vijana kwamba fedha hizo zimepelekwa wizara za kisekta, sisi tulitarajia Waziri Joel Nanauka baada ya kupokea ile hundi aje awaeleze vijana kwamba bilioni 200 zipo...
1)Idara ya uzinzi
Ni sekta namba Moja Ambayo ,imeonekana Kuwa na matumizi mabovu mno ya Fedha ,vijana wamekengeuka ,Wanahonga sana michepuko na girlfriends ukilinganisha na bei Elekezi.
Kijana anaamua kujilipua kuingia mahusiano yenye gharama kubwa sana kwasababu ya kupagawishwa na shepu na...