Swala la Halima linasikitisha na kufundisha pia. Halima wengi tunamfahamu kama shabiki kindakindaki wa CHADEMA tangu akiwa university nilipomfahamia Mimi.
Wengi tunayafahamu yaliyotokea kwenye uchaguzi 2020. Ni mjingaa pekee anaweza kusema kwamba hawa Covid 19 waliingia bungeni kwa baraka za...
Habari wakuu.
Nipo hapa kuleta hoja ya vijana kuzama kwenye uchawa. Yaani mimi nashindwa kuelezea tena inapigwa debe kweli kweli kana kwamba ni jambo zuri.
Unakuwa chawa wa mtu je akifa! Yaani utakuwaje vijana kataeni mfumo huu mbaya wenye kuharibu sifa zenu pamoja na utu wenu.
Ni aibu kuwa...
Kilimo cha parachichi kimekua n fursa sana kwa vijana kulingana na uhalisia wa soko kubwa lililopo ndan na nje ya nchi.
Unaweza kutengeneza pesa kwa kuuza miche ulio iandaa au kuiotesha wewe mwenyew, matunda na kufanya biding na mengineyo.
Tunawezaje kuotesha miche na kujipatia pesa, nataman...
Halima Mdee ananiuma kwa sababu nyingi.Halima nimemtoa chuo kikuu akiwa msichana. Nimempika kwa gharama sana. Ndiyo maana nilitumia juhudi zangu zote hata kuwaita wazazi wake, wamshawishi aachane na ubunge wa damu wa Magufuli, anaharibu career yake, hakunielewa”
Jana katika hotuba ya Mbowe, alizuia Siasa za matusi zonazofanywa na wanasiasa waandamizi wa chadema.
Kimsingi, wanachadema hutumia matusi, kejeli na dharau kubwa dhidi ya wanaowapinga, ili wapate uhalali kisiasa. Hii tabia ni sawa na udikteta, ila unajificha tu katika kutukana na kushambulia...
Hawa vijana walifanya kazi nzuri katika Awamu ya Tano, kwa hali ilivyo bado wanahitajika kuweza kumsaidia Rais Mama Samia pia.
Maana atakavyo endelea kucheka na watu ndio watakavyozidi kumuharibia na kuja kuonekana si kitu 2025.
Hivyo ni bora hii miamba irudi kazini kurudisha heshima na...
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, baada ya kusota kwamiaka sita tangu 2015 mpk 2021 bila ajira huku tukidanganywa kama watoto eti tuuzie biashara popote hata barabarani na kwenye round about za miji hatimaye 2021 march tulipata mkombozi wa vijana,
Ni ukweli usiopingika Samia umejaribu...
Ni vyema vijana tukashukuru mfumo wa maisha uliopo ambao sio rafiki kwa sisi vijana kumiliki pesa nyingi katika umri mdogo. Kama tunavyojua ujana una mambo mengi na pesa ni lugha ya dunia combination ya vitu hivi viwili yaani pesa na ujana matokeo yake kwa vijana wachache yaweza kuwa mazuri ila...
Vijana ni hazina na nguzo muhimu inayotegemewa na taifa lolote lile duniani. Nchi inapaswa kuweka kipaumbele na kutoa fursa kwa vijana ili waweze kuonesha uwezo wao wa kulitumikia taifa. Tangu enzi na dahari inajulikana kuwa vijana ndio chachu ya uzalishaji, ulinzi wa taifa, siasa, ubunifu na...
Wakati wachina wanaadhimisha siku ya taifa ya vijana, vijana kutoka nchi za Afrika ambao wamekuwa wakiishi China na kufanya kazi pamoja nao, wamekuwa wakitoa maoni mbalimbali kuhusu wanavyowaona wenzao wachina. Maoni ya vijana wengi kutoka Afrika kuhusu vijana wa China yanafanana, na karibu kila...
Nimekuwa inspired kuandika kutokana na kitabu kiitwacho Nchi ya wasioona baada ya kumaliza kukisoma nikahusishanisha na hali halisi iliyopo duniani especially nchini kwetu Tanzania nikaja kugundua mimi BabaMorgan uwezo wangu mdogo wa kufikiria unachangiwa na mimi mwenyewe ila kwa asilimia fulani...
Hello guys!
Kama vijana naamini kila mtu ana ndoto na mikakati yake. Lakini wakati mwingine kwa nchi zetu hzi yaweza kuwa unajikuta imekuwa ngumu kuzifikia. Mbaya zaidi kila unapozifukuza huoni dalili ya kuzifikia.
Unajituma vyema tu kwa bidii na akili lakini bado hali inakuwa tete...
Mitaa mitatu yote kutekwa kwa wakati mmoja huko chanika,bila hata Panya mmoja kukamatwa au kujeruhiwa.
Hili jambo nashindwa kulielewa kabisa!
Nafikiria ingekuwa vipi kama hao Panya road wangejaribu huo ujinga huku mikoani.
Sijui kama wangekuwa hai mpaka saa hii!
Wanaume wa Dar es salaam...
Katika zama hizi za digitali, moja ya mambo yanayoibua mijadala sana ni pamoja na suala la ‘ujumuishaji wa digitali’ au mfumo jumuishi katika masuala ya kidigitali (digital inclusion).
Hii inatafsiriwa kama dhana inayoshughulikia masuala yanayohusiana na ujuzi wa kidigitali na ufikiaji wa...
Hii inatia hasira sana hizi hela zimeliwa kama muchwa bila huruma yaani zimepigwa vikundi hewa hivi viko vya kutosha watu wameingia front wakapita na hizi pesa bila aibu
===
Vikundi hewa 30 vyakopeshwa fedha za halmashauri Mwanza Bilioni 4.9 zayeyuka
Imebainishwa kuwa jumla ya vikundi hewa 30...
Imani ya matumizi ya bangi kwa wavuvi katika Ziwa Victoria imetajwa kuwa tishio kwa vijana na watoto.
Vijana hao huamini kuwa wanapotumia dawa ya kulevya aina ya bangi, hupata samaki wengi sambamba na ongezeko la nguvu za kufanya kazi nyakati za usiku.
Uchunguzi wa Nipashe umebaini kwamba...
Serikali ya Taliban imeagiza 'App' maarufu ya TikTok kupigwa marufuku kwa madai kuwa inasababisha Vijana Nchini Afghanistan kupotea
Haijafahamika wazi ni lini marufuku hiyo itaanza lakini Msemaji wa Taliban, Inamullah Samangani amesema hatua hiyo ilikuwa ya lazima ili kuzuia kizazi hicho...
JINSI YA KUJIANDAA PALE MWENZA WAKO ANAPOPATA MIMBA KWA VIJANA MASIKINI ILI KUPUNGUZA HALI NGUMU WAKATI WA KUJIFUNGUA NA UZAZI na MALEZI KWA MIAKA 10
Anaandika, Robert Heriel.
Andiko hili lawafaa Sana Vijana wa Aina zote hasahasa Vijana Masikini. Andiko hili halitamuumiza yeyote, hivyo mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.