Kamari imekuwa janga kubwa, hasa kwa vijana na watu wengi kwa ujumla. Imeua ndoto nyingi na kusababisha watu kupoteza mali, kazi na hata maisha.
Zaidi, michezo ya kubashiri mtandaoni kama casino, Aviator, JetX na mingine imekuwa changamoto kubwa kutokana na urahisi wa kuifikia.
Hakuna dalili...