uwepo wa mungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Utajua wewe

    Ongezeko la atheists( watu wasioamini uwepo wa Mungu)

    Habari wana-JF, Kumekuwa na uwepo mkumbwa wa atheist duniani, sasa unahisi nini kifanyike kuokoa ndugu zetu? Na wapi tunapofeli? Na kama tukishindwa kukemea basi tuwachukie kwa moyo wote. Tujitahidi kusaidia atheist wanapotea vibaya mno.
  2. comrade_kipepe

    Siku zinavyozidi kwenda nazidi kuutilia Shaka uwepo wa Mungu

    Watu wanateseka, miaka na miaka hawapati suluhisho, najiuliza kwanini Mungu anaruhusu vitu kama hivyo? Utakuta kitu cha miaka na miaka kinamtesa mtu, tena wasio na hatia, tena wanaotenda mambo yanayompendeza yeye Mungu lakini unakuta wanateseka tuu. Siku zinavyozidi kwenda naona kabisa itafika...
  3. Mkurya mweupe

    Matukio yaliyowahi kutokea katika Maisha halisi ukaamini uwepo wa Mungu

    Ndugu Wana JF, Nataka tushirikishane kuhusu matukio ambayo yaliwahi kutokea yakafanya niamini uwepo wa Mwenyezi Mungu. Mimi binafsi, kama muumini wa dini ya RC, kuna kipindi mdogo wangu aliwahi kusumbuliwa sana na ushirikina. Kwa kuwa imani yangu ilikuwa 50 kwa 50, nilikuwa nampeleka mpaka kwa...
  4. Mto Songwe

    Hivi Mungu wenu bado yupo au amekufa? Au zile zilikuwa hadithi tu za vitabuni?

    Ujue siwaelewi. Nashindwa kuelewa mpaka sasa huyo Mungu anayepata sifa kede kede katika hivyo vitabu vyenu Biblia na Quran mpaka sasa hizo sifa zake ameshindwa kuzionesha kwa wafuasi wake. Angalia wafuasi wake pale Palestine wapo tayari kwa nguvu zao kulinda ule msikiti usitwaliwe na waisrael...
Back
Top Bottom