uwepo wa mungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. min -me

    Kwenye lucid dream naweza thibitisha uwepo wa Mungu

    Kama wewe ni muislamu , sirat al mustaqimu, hili daraja mimi nina uwezo wa kulitengeneza kwenye lucid dream na kukufundisha namna ya kulikabili kwenye huo ulimwengu mnaoitwa wa kiaama😅 Sio kukufumbulia tu naweza kukupitisha kwenye daraja hilo sio kwa kisomo tu, unakuwa kama live kwa...
  2. OMOYOGWANE

    Sayansi ni dini ya karne ya 21, kuomba uthibitisho wa uwepo wa Mungu ni uvivu tu na kukwepa majukumu ya kufikiri!

    Wakuu wa jukwaa, habari za muda huu. Kumekuwa na wimbi kubwa sana siku hizi la watu wanaojiita atheists (wasiomini uwepo wa Mungu) kuwataka waumini wa dini mbalimbali walete uthibitisho wa kisayansi kuhusu uwepo wa Mungu. Kwangu mimi, naona huu ni uvivu wa kufikiri na ni matumizi mabaya ya...
  3. Yoda

    Mwanaharakati wa US atilia shaka uwepo wa Mungu baada ya Republican kupata kipigo katika uchaguzi

    Laura Loomer, Mwanaharakati mtata Mhafidha wa nchi na Ukristo (Christian Nationalist) wa mrengo mkali anayempinga Uislamu Marekani na sera za kijamaa Marekani amekata tamaa na kutilia shaka kabisa uwepo wa mungu baada ya chama chake cha Republican chini ya Rais wake mpendwa kupoteza kwa kishindo...
  4. adriz

    Kwa wale wanaoamini uwepo wa Mungu na kukataa dini yake je , uovu na shari mnatambuaje ?

    Moja kwa moja ... Kuna kundi la watu kubwa wanaoamini uwepo wa Mwenyezi Mungu ila wanasema dini ni utapeli wakimaanisha hizi dini mbili maarufu Uislamu na Ukristo na kwamba Mungu yupo kweli ila hakuketa dini, vitabu , miongozo wala kutuma wajumbe (Manabii na Mitume ) Nauliza je , inawezekana...
  5. Ibilisi Mjalaana

    KWANINI WANAOTETEA UWEPO WA MUNGU HOJA ZAO ZINAKUAGA ZA KUCHEKESHA NA HAZINA MANTIKI KABSA?

    Nimesoma mijadala mingi ya atheists na wanaoamini katika abrahamic religions na kitu kikubwa nilichogundua na kuona kwenye hiyo mijadala mara zote wanaoamini Mungu yote wanazidiwa hoja Sio wakristo sio waislamu wote wanashindwa kumtetea Mungu wao kulingana na Imani yake Sana sana wataanza...
  6. Bigmaaan

    VIDEO: Mjadala wa Uwepo wa Mungu.

    Cc Kiranga
  7. Mtu_Huru88

    Kwanini huamini uwepo wa Mungu?

    Tukiachana na masuala ya dini kwanza, kwasababu sio dini ndo zimeleta uwepo wa Mungu Ukizingatia dini kuu zilizopo mfano Uislam umeanza baada ya uwepo wa Mohhamad S.A.W, mtume huyo alidai kashushiwa kitabu kutoka mbiguni (Kuran) na hapo ndio ukawa mwanzo wake kitu ambacho kabla ya Mohhamad...
  8. M

    Raisi Ruto awafikia wale Msioamini uwepo wa Mungu (Atheists)

    Habari kwenu. Raisi wa Kenya William Ruto amewapa salamu wale wasioamini uwepo wa Mungu kwamba hawana utofauti na Wanyama. Najua hili linawagusa sana hasa wale wanaoishi nga'mbo au ugaibuni kwani wao baada ya kufika huko wengi wao wamempa Mungu Kisogo na ndio maana wengi wao wanishi kwa msongo...
  9. Ertugrul Bey

    Ufafanuzi wa Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu

    Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu (atheists) kunahitaji hekima, subira, na hoja zenye mashiko ya kimantiki badala ya kunukuu maandiko pekee. Katika mazingira ya Kiislamu, mjadala huu mara nyingi hujikita kwenye kutumia akili (Aql) na mazingira yanayotuzunguka (Fitra). Hapa kuna...
  10. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Sisi ambao tuna amini uwepo wa Mungu Tumewazidi vitu gani ambao hawaamini kabisa uwepo wa Mungu?

    Nadhani jambo la imani ni pana sana wakuu. Enzi za agano la kale kila Taifa lilikuwa na Mungu wao. Tunaona wakanaani walikuwa na mungu baali wengine walikuwa na mungu jua nk Huku Africa nasi tulikuwa na mizimu yetu. Mfano uliohai kabisa huku kwetu kulikuwa na mlima (upo hadi leo) wazee kipindi...
  11. buzitata

    Wasioamini uwepo wa Mungu wasibezwe, ila nao wasituone sisi tunaoamini kama tumechanganyikiwa

    Habarini leo narudi tena Kumekuwepo na makundi mawili hapa duniani ambayo kwa sasa ni kama yanavutana hivi, lengo uzi huu sio kubeza watu ila ni kujaribu kuwekana sawa juu ya haya mambo ya muumba Kila mtu au jamii ina tafrsiri yake juu ya neno muumba.. kwakuwa mimi ninaamini juu ya uwepo wa...
  12. let the caged bird sings

    Atheist anayeamini uwepo wa Mungu

    Yule Dogo ambaye Baba yake aliwai kuwa Mkuu wa 3 kwenye Taifa la Mcharo aliwai jisahau kuwa huwa anajitambulisha kama Atheist, akajikuta kaandika kitu kama hiki. Baada kuwa confronted na Umma wa JF, kumtuliza ilikuwa ni kipengere
  13. T

    Kumbe🤔 majibu kwa wanaopinga uwepo wa Mungu HAYA hapa

    https://youtu.be/pIDKfPpNJaI?si=rQ3POL_GJhuNKr3c
  14. A

    Kuna wakati sitaki kuamini uwepo wa Mungu lakini maswali haya yananichanganya sana

    Kuna wakati nataka kuamini Mungu hayupo lakini kuna maswali ambayo najiulizaga mpaka leo sijawahi kupata majibu yake 1 Sayansi inasema ulimwengu ulianza (Big Bang) Kabla ya hapo hakukuwa na dunia, jua wala muda kama tunavyoujua. Swali ni hili kama ulimwengu ulianza, nani au nini kilianzisha...
  15. Izy_Name

    Huu ni mjadala maalumu kuhusu uwepo wa Mungu na kutokuwepo kwake kwa ushahidi wa vitabu vitakatifu, history na science

    Ingawa wanasayansi wengi hawajawahi kusema wazi kuwa hakuna Mungu, tafiti na maelezo ya sayansi yanapokuja na majibu yanayotofautiana na maandiko ya dini, mara nyingi huleta tafsiri inayofanana na dhana ya kutokuwepo kwa Mungu au angalau kutohitajika kwa Mungu katika kueleza asili ya ulimwengu...
  16. comrade_kipepe

    Naanza kupata wasiwasi na uwepo wa Mungu

    Mbona kama TAJIRI anaonekana ana nguvu na anaabudiwa kama Mungu? Mbona watumishi wa Mungu wanamuogopa Tajiri kuliko Mungu?? KAMA KWELI MUNGU UPO TAJIRI ASIMALIZE MIEZI 7 Kama Mungu yupo kweli Mbona anaacha TAJIRI anaabudiwa na kuombwa kama Mungu? Kwasasa TAJIRI ana nguvu kuliko Mungu huyu...
  17. comrade_kipepe

    Wasioamini uwepo wa Mungu watazidi kuongezeka

    Au inatakiwa watu wateseke kiasi gani ndio Mungu aje kuwasaidia??
  18. S

    Sababu zinazofanya nisiamini uwepo wa Mungu ni hizi

    1. Mungu anapenda kusifiwa kama Mhaya. 2. Mungu hana huruma (hukumu kwa wasiokuwa na hatia, vita sehemu nyingi za dunia, watu kufa kwa njaa na umaskini). Kuna sababu nyingi ila leo tuishie hapo.
  19. MK254

    Kwa wale ambao hamuamini katika uwepo wa Mungu au miujiza, hii nini kwa kweli

    Haya mataifa yote yenye rangi ya kijani ni ya kiislamu, wote wana chuki dhidi ya Wayahudi, ambayo ilianza tangu enzi za Mohammad ambaye aliwahi kusababisha mauaji kwa Wayahudi na hata kuuza watoto wao utumwani. Na hata ukisoma maandiko yao kwenye "sahih muslim 2921" waislamu wameamrishwa...
  20. secretarybird

    Hili tukio nikilikumbuka kwa mbali naanza kuamini uwepo wa Mungu

    Asalamaleku jukwaa! Kwa kile nilichokiona labda kweli Kuna Mungu maana fikra zilinijaa kichwani pasina jibu sahihi. Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa maeneo fulani natembea tembea maeneo ya mto weruweru, kama mnavyojua kule Kuna fresh water yanayotoka katika kilele cha mlima kilimanjaro na watu...
Back
Top Bottom