uwekezaji

  1. UKOMO WA HATI FUNGANI (MATURITY DATE): NINI KINATOKEA UWEKEZAJI WAKO UNAPOFIKIA MWISHO WA MUDA WAKE?

    1. Utangulizi Unapowekeza katika hati fungani, ni muhimu kuelewa si tu kiwango cha riba utakachopata, bali pia muda ambao uwekezaji huo utakaa kabla ya kufikia ukomo wake. Katika uwekezaji wa hati fungani, kuna dhana muhimu inayojulikana kama Maturity Date, ambayo humaanisha tarehe ambayo hati...
  2. Kliniki ya Ardhi Katika Maonesho ya Talex Yafungua Fursa za Uwekezaji Kwa Kutoa Hati Miliki Ndani ya Saa 12

    Kliniki ya Ardhi Katika Maonesho ya Talex Yafungua Fursa za Uwekezaji Kwa Kutoa Hati Miliki Ndani ya Saa 12 Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mkoa wa Dar es Salaam inasogeza huduma za kidijitali za umilikishaji ardhi moja kwa moja katika Maonesho ya Talex Tanzania Real Estate Expo...
  3. Tanzania yaendelea kuimarisha uwekezaji na ushirikiano wa biashara na Cuba

    Tanzania na Cuba zinaendelea kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na kidiplomasia kwa kuendeleza fursa za uwekezaji, biashara na ushirikiano wa kiteknolojia. Ushirikiano huo unalenga sekta muhimu zikiwemo afya, elimu, kilimo, utalii, utafiti wa kisayansi na uzalishaji wa viwandani, huku ukifungua...
  4. M

    Ndejembi amwakilisha Rais Samia mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini Tanzania

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, anamwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa Saba wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania (TMIC 2026). Mkutano huo unafanyika kuanzia tarehe 19 hadi 21 Novemba 2026...
  5. Tamthilia ya Big boss imenivutia zaidi

    Hivi kuna tamthilia nyingine hapa bongo ambayo wamejitahidi ubunifu kama big boss? Mwanzoni nilikuwa nachukia sana bongo movies kwa sababu ya kukosa ubunifu lakini big boss imenifanya nianze kuangalia tena.
  6. Uwekezaji wa watanzania

    Huu ndio uwekezaji wetu watanzania, kuwa mabilionea tusahau. 1: guest 2: frem 3: nyumba za kupanga 4: majungu, husda, wizi, ulonzi, ngono zisizo na mpangilio etc 5: Boda boda, bajaji, dalalala etc 6: Simba, yanga 7: hatumtaki mangungu 8: Uwanja wa yanga
  7. je hili linaweza kutokea pia kwenye bank zetu

    miezi iliyopita tumeona baadhi ya nchi za wenzetu wakiandamana baada ya kushindwa kutoa pesa zao kwenye mabank kwamba bank zimefilisika je huu ni mpango wa kuelekea kwenye agenda zao je nasisi tutoe pesa kwenye mabank yasije tukuta yaliyowakuta wenzetu
  8. Nilipoteza pesa nyingi kwa kutegemea influencers, lakini nilipata somo ambalo sitalisahau

    NILIPOTEZA PESA NYINGI KWA KUTEGEMEA INFLUENCERS. LAKINI NILIPATA SOMO AMBALO SITALISAHAU! Miaka kadhaa iliyopita, niliweka lengo kwamba ifikapo Februari 15, 2021, niwe nimeingiza TSh milioni 15 ndani ya wiki moja tu. Najua inaweza kusikika kama ndoto kubwa, lakini kwa hesabu nilizokuwa...
  9. Mifumo ya uwekezaji ni matawi ya CCM yanayojihusisha na kuwaibia na kuwanyanyasa Watanzania

    Mifumo ya uwekezaji ni matawi ya CCM yanayojihusisha na kuwaibia na kuwanyanyasa Watanzania. Kwa kifupi, ni torturing chambers zisizo rasmi. Nimebahatika kufanya kazi katika kampuni moja ya maua iliyopo karibu na Barabara ya Machame, na kwa sasa nafanya kazi katika kampuni ya nyanya iliyopo...
  10. Connections hazitafutwi nyumbani,toka nje, jichanganye na watu

    CONNECTIONS HAZITAFUTWI NYUMBANI. TOKA NJE, JICHANGANYE NA WATU! Kuna watu wengi wanatamani kuwa na connections nzuri, kukutana na watu wenye mafanikio, kupata fursa za biashara, kazi na ushirikiano, lakini maisha yao yote wanayatumia wakiwa nyumbani. Unataka kumfahamu CEO wa kampuni kubwa...
  11. H

    Uwekezaji katika elimu ya amali unalenga kuwapatia vijana wetu ujuzi wa kujitegemea. Tunampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu hii

    Uwekezaji katika elimu ya amali unalenga kuwapatia vijana wetu ujuzi wa kujitegemea. Tunampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu hii nchini. Serikali itaendelea kukamilisha vifaa vya mafunzo na miundombinu iliyobaki ili wanafunzi wajifunze kwa vitendo. ๐ƒ๐ค๐ญ. ๐Œ๐ฐ๐ข๐ ๐ฎ๐ฅ๐ฎ ๐๐œ๐ก๐ž๐ฆ๐›๐š...
  12. TPA Yamshukuru Rais Samia Uwekezaji Wa Sh60 Bilioni Bandari Za Ziwa Victoria

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uwekezaji wa zaidi ya Shilingi bilioni 60 katika kuboresha bandari za Mwanza Kaskazini, Bukoba na Kemondo, unaolenga kuimarisha usafirishaji wa abiria na mizigo...
  13. C

    Zimbambwe kuanza matumizi ya mashine za VAR

    Mmalaka za soka nchini Zimbabwe zimepiga hatua muhimu kuelekea kuanza kutumia teknolojia ya usaidizi wa marejeo ya video (VAR), kufuatia mkutano wa siku mbili ulioongozwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), ulioanza Septemba 21 jijini Harare, ukiungwa mkono na ufadhili wa kampuni ya Sakunda...
  14. N

    Nimepata viwanja Mvuti, jirani na Chanika. Vinafaa kwa uwekezaji wa rasilimali ardhi?

    Nimepata viwanja viwili kupitia Tausi, eneo la Mvuti, jirani na Chanika na Zingiziwa. 700sqm na 450sqm. Bei ni 10M kwa 6M Baada ya kuvishika online, nilitembelea eneo husika. Ni 39km kutoka town (Kariakoo), linafikika kwa lami hadi kilomita 3 kutoka eneo la mradi. Kinachonifanya nisite kulipia...
  15. M

    Leo tuachane na Forbes na kampuni hizi ndo zenye uwekezaji mkubwa Tanzania na nje ya Tanzania

    1. Bakhresa group of companies 2.taifa group of companies 3.oilcom group of companies 4.lake energies group 5.amsons group of companies 6.metl group of companies 7.azania group of companies 8.motisun group of companies 9.mac group of companies 10.murzah group of companies 11.gsm group...
  16. TANAPA: Hatuna mbuga iliyouzwa, ni uwekezaji

    Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Tanzania (TANAPA), Massana Mwishawa akizungumza na Waandishi wa Habari Novemba 10, 2026 amesema, "Hatuna mbuga iliyouzwa [...] Kinachofanyika kwenye hifadhi za TANAPA ni uwekezaji."
  17. N

    Uwekezaji wa Teknolojia Nchini Unapaswa Kuendana na Uhalisia wa Sekta ikiwemo kwenye AI

    Wakuu kwema ? Serikali imetenga shilingi bilioni 5 kupitia mpango wa mikopo kwa teknolojia japo mimi sio mmoja wa hao watakao kopa. Huu ni mwanzo wa juhudi za kuwezesha ukuaji wa teknolojia nchini, lakini ni muhimu kutofautisha kati ya upatikanaji wa mikopo na uwekezaji wa kimkakati unaolenga...
  18. M-Pesa na huduma za intaneti zachochea ukuaji wa biashara ya Vodacom Tanzania katika nusu ya kwanza ya mwaka wa fedha 2026/27

    Dar es Salaam, Novemba 6, 2026: Vodacom Tanzania Plc imetoa ripoti yake ya nusu mwaka kwa mwaka wa fedha 2027 ikionesha ongezeko la mapato yatokanayo na huduma kwa asilimia 20.8 hadi Sh trilioni 1.067 huku faida baada ya kodi ikipanda kwa asilimia 182.7 hadi Sh bilioni 117.8. Ukuaji huo katika...
  19. UJENZI KIELELZO UCHUMI WA SAMIA

  20. Kuelewa tofauti kati ya hisa na hati fungani (bonds): Mwongozo wa kufanya maamuzi sahihi ya uwekezaji

    1. UTANGULIZI Uwekezaji una nafasi muhimu katika kujenga ustawi wa kifedha na kuongeza thamani ya mali kwa muda mrefu. Hata hivyo, kabla ya kuwekeza, ni muhimu kwa mtu kuelewa fursa mbalimbali za uwekezaji zinazopatikana katika soko la mitaji. Miongoni mwa vyombo maarufu vya uwekezaji katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ