Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni jijini Dodoma, Mhe. Martha Nehemia Gwau aliuliza swali lililojibiwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile na kusema kuwa Serikali iko mbioni kujenga uwanja wa ndege wa daraja 2C
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia...
Akiwa Mwanza tarehe 30.1.2023 Rais na Amiri Jeshi Mkuu katoa maelekezo ya wazi ya kujenga jengo la abiria uwanja wa ndege na majokofu ya kuhifadhia samaki, nyama nk
Je, watendaji wakiwemo wakurugenzi, katibu mkuu na waziri wa uchukuzi Mbarawa hawatamwangusha Rais na kumchafua kanda ya ziwa...
Mbali na uwepo wa taxi mtandao kama Uber, bolt nk, bado Watanzania tuko nyuma ya muda.
Karne ya 21. bado tunakomaa na namna ya zamani ya kufanya biashara. Sisemi kwamba watu wafanye taxi kizamani, kwa kuwa kuna maeneo madereva wa taxi mtandao hawataki kwenda.
Hata hivyo, walioweka bei hizi...
Wakati Tanzania ikishuhudia mgao wa umeme maeneo mengi ya nchi, huko Kenya hali ya upatikanaji wa umeme pia imekuwa kizingimkuti. Jana tarehe 10/12/2023 umeme ulikatika nchi nzima na kuathiri shughuri za uwanja wa Ndege wa JKIA, huku backup jenereta pia zikishindwa kuwaka hali iliopelekea giza...
Hapo jana Hamas ilirusha mvua ya makombora kutokea Gaza kuulenga uwanja wa kimataifa wa Ben Gurion na kuasababisha taharuki kubwa.
Taarifa ya kijeshi ya Israel imesema Iron Dome zilifanya kazi kubwa ya kuyadaka makombora hayo hata hivyo yalitua uwanjani hapo na ndege za abiria ama kupigwa au...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tarehe 7 Desemba, 2023 tayari kuelekea Katesh wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko makubwa.
Lawama kuhusu paa zinazovuja katika uwanja mkuu wa ndege wa Kenya
Waziri wa uchukuzi wa Kenya na mamlaka ya viwanja vya ndege wamekabiliwa na shutuma mtandaoni kufuatia malalamiko ya kuvuja kwa paa kwenye vituo vya uwanja mkuu wa ndege wa Jomo Kenyatta.
"Mmoja wa wanachama wa timu yetu...
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ameagiza kuondolewa mara moja kwa wananchi waliovamia na kujenga nyumba za kuishi ndani ya eneo la la uwanja mdogo wa Ndege uliopo Soweto Manispaa ya Moshi.
Agizo alilitoa Jana mjini Moshi baada ya kukagua upanuzi wa uwanja huo unaotarajiwa kigharimu...
Kiwanja cha Ndege cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) kimekabidhiwa rasmi kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (TAA) kutoka kwa iliyokuwa Kampuni ya Uendelezaji na Uendeshaji Kiwanja cha Ndege cha Kilimanjaro (Kadco) baada mkataba wa uendeshaji kukamilika Novemba 9, mwaka huu...
UWANJA WA NDEGE WA KIA SASA KUSIMAMIWA NA TAA BAADA YA KADCO KUMALIZA MUDA WAKE
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Prof. Makame Mbarawa leo tarehe 11 Novemba, 2023 ameshuhudia na kusimamia Makabidhiano ya Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) uliokuwa chini ya KADCO ambao sasa utakuwa chini ya TAA...
Leo nimemsikiliza Musukuma akizungumzia kuchelewesha kuhusu jengo la uwanja wa ndege wa Mwanza na miundo mbinu yake kuufanya uwe wa kimataifa.
Hali hii kwa sasa inatoa picha kama alivyosema Msukuma dharau kwa kanda ya ziwa haijalishi Makonda ni Mwenezi au Dotto ni Naibu Waziri Mkuu,kisiasa...
๐ฅ๐๐ฉ๐๐๐๐๐: ๐๐ผ๐ ๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐๐ถ๐ด๐ป๐ฒ๐ฑ ๐ฎ ๐ฐ๐ฟ๐ฎ๐๐ ๐ฑ๐ฒ๐ฎ๐น ๐๐ถ๐๐ต ๐ฎ ๐บ๐๐๐๐ฒ๐ฟ๐ ๐ฐ๐ผ๐บ๐ฝ๐ฎ๐ป๐ ๐๐ผ ๐ผ๐ฝ๐ฒ๐ฟ๐ฎ๐๐ฒ ๐๐ต๐ฒ ๐ฐ๐ผ๐๐ป๐๐ฟ๐'๐ ๐บ๐ฎ๐ถ๐ป ๐๐ผ๐๐ฟ๐ถ๐๐ ๐ฎ๐ถ๐ฟ๐ฝ๐ผ๐ฟ๐
The government announced today that Kilimanjaro International Airport (KIA) will finally be handed over to the state-run Tanzania Airports Authority (TAA) tomorrow, but the real...
MHE. NANCY NYALUSI AHOJI KADCO INASIMAMIA SHUGHULI ZA UWANJA WA NDEGE WA KIA KWA MKATABA UPI?
"Nampongeza sana CAG kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kuweza kubaini madudu. Ucheleweshaji wa Malipo kwa wakandarasi umesababisha riba ya Shilingi Bilioni 68.77 kwa Serikali kwa taasisi 12. Hapo...
Uongozi wa Uwanja wa Ndege Songwe umeagizwa kujenga chumba maalumu cha baridi (cold room) kwa ajili ya kuhifadhia mazao na vitu vingine vinavyoharibika ili kuwanufaisha wasafirishaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo mazao kwenda mikoa na nchi mbalimbali.
Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa...
Dar es Salaam. Makaburi zaidi ya 600 yaliyopo katika kata ya Kipunguni yanatarajiwa kuhamishwa ili kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA).
Mchakato wa kuhamisha makaburi hayo unafuatia mpango wa ulipaji fidia kwa wakazi 1,865 wa eneo hilo wanaotakiwa...
Hamna sehemu salama ndani ya Urusi....
AIRFIELD "SHAIKOVKA", PHOTO: RUSSIAN MEDIA
A kamikaze drone crashed at the Shaikovka airfield in the Kirov district, Kaluga Oblast, Russia, on the morning of 21 August. Early reports suggest a plane was damaged.
Source: Vladislav Shapsha, Governor of...
PHOTO: RUSSIAN AIRPORT OF VNUKOVO
The Russian airport of Vnukovo was closed for takeoff and landing on the afternoon of 6 August, allegedly due to "dangerous targets" in the sky.
Source: Russian state-owned news agency TASS; Mash Telegram channel; Moscow Mayor Sergei Sobyanin, on Telegram...
Ni mara ha pili jana ndani ya mwaka huu gazeti la mwananchi linalefa habari ileile kuhusu uwanja wa ndege wa Chato kutokuwa na ndege hata moja inayotua!
Story ni ileile na wanakazia ata ukienda kufanya booking hukuti ndege!
Tangazo la ATCL siku 5 zilizopita hili hapa kutoka account yao ya...
Hata kampuni moja ya ndege iliyokuwa inakwenda Chato, mara moja kwa wiki, sasa imesimamisha safari zake.
Ofisa Uhusiano wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Sarah Reuben akijibu swali la Mwananchi โkwa nini safari za Chato zimefutwa,โ anasema โhazijafutwaโ isipokuwa kuna mabadiliko katika...
WANANCHI WANAOZUNGUKA UWANJA WA NDEGE WA KIA WATAKIWA KUWA NA SUBIRA YA MALIPO YAO
Serikali imewataka wananchi wanaozunguka uwanja wa ndege wa KIA kuwa na subra wakati wanasubiri malipo ya fidia ya maeneo yao kwani tayari imeshafanya tathmini na uthamini kwasasa wapo katika hatua za mwisho za...