uwanja wa ndege

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kata ya Shibula walioko pembezoni ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza wametoa siku saba kwa serikali Kuhusu Hatma ya Maeneo Yao

    Wananchi wa Kata ya Shibula walioko pembezoni ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza wametoa siku saba kwa serikali kuja mezani kuzungumza nao kuhusiana na mustakabali wa maeneo yao endapo ombi lao halitasikilizwa wataanza rasmi kuendeleza maeneo yao. Wananchi hao ambao wamekuwa katika mgogoro wa ardhi...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PAC yabaini madudu ujenzi wa uwanja wa ndege wa Msalato

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imebaini kasoro kadhaa katika utekelezaji wa Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, jijini Dodoma, zikiwemo ajira kwa wahandisi wasiosajiliwa, ujenzi bila vibali, ongezeko la gharama, na ucheleweshaji wa malipo. Mwenyekiti wa PAC...
  3. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Bukavu: M23 yakaribia uwanja wa ndege wa Kavumu

    Baada ya Goma kuangukia mikononi mwa M23, mtutu wa bunduki ulielekezwa Kivu kusini, huku mji mkuu ukiwa Bukavu. Serikali ya Burundi kwa makubaliano na DRC, ilipeleka wanajeshi wapatao elfu 10 kuhakikisha Bukavu inalindwa kwa nguvu yote. Uwanja wa Kavumu, unatumiwa na serikali ya Burundi na DRC...
  4. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania Helkopta zitumike kuwatoa wageni uwanja wa ndege, ili barabara zisifungwe

    Wageni wa Kimataifa Wasifunge barabara jijini Dar. Hivi karibuni tumekuwa na neema ya kupata wageni, wakuu wa nchi za Afrika jijini Dar kwa ajili ya mikutano. Helkopta zitumike kuwatoa wageni uwanja wa ndege. Tusifunge barabara! Au mikutano hii ifanyike jijini Arusha.
  5. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu yaridhishwa na ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa msalato

    Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato unaendelea kwa kasi, huku sehemu ya njia ya kuruka na kutua ndege (runway) ikiwa imefikia asilimia 90 ya utekelezaji. Hii ni hatua muhimu kuelekea kukamilika kwa mradi huu mkubwa wa miundombinu unaotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Iringa wafikia asilimia 93 ukigharimu bilioni 68, rasmi kuanza kutumika Februari 22, 2025

    Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Iringa, ulio katika Kata ya Nduli, Mkoani Iringa, umefikia asilimia 93 ya ukamilifu na umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 68. Kwa sasa, uwanja huo uko tayari kwa matumizi, huku safari za ndege kubwa zikitarajiwa kuanza rasmi tarehe 22 Februari 2025. Hayo...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini uwanja wa ndege wa Julius Nyerere haukujengwa maeneo ya watu wa kipato cha juu kama ilivyojengwa Mlimani City Mall?

    Swali kwa watu wa mipango miji. Wilaya mama za mkoa wa Dar Es Salaam zipo tatu; (1) Kinondoni (high income) (2) Ilala (middle income) (3) Temeke (low income) Kwanini uwanja wa ndege haukujengwa hata huko Mbezi, Boko, Bunju ili iwe rahisi kwa watu wanaomudu gharama za hizo ndege (high income)...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Ujenzi Godfrey Kasekenya : Uwanja wa ndege wa Sumbawanga ulipaswa kujengwa kuanza Mwaka 2016

    Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Sumbawanga unaondelea ukiwa umefikia asilimia 40. Aidha Kasekenya amesema Ujenzi wa Uwanja huo ulipaswa kuanza Mwaka 2016 ila changamoto za kimkataba zilikwamisha ujenzi kuanza.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege wa Beirut waanza kuwakagua hata wana diplomasia wa Iran tofauti kabisa na ilivyokuwa huko nyuma

    Uwanja wa ndege wa Beirut unatekeleza hatua kali kwa safari za ndege za Irani, pamoja na mwanadiplomasia - hii ndio sababu. Akiwasili kutoka Tehran kwenda Beirut kwa ndege ya "Mahan Air", mwanadiplomasia wa Iran alitoka moja kwa moja kutoka kwenye ndege hadi kituo cha ukaguzi cha skana ya...
  10. Ritz

    JamiiForums Tanzania Video inaonyesha ving'ora viliposikika Tel Aviv na uwanja wa ndege wa Ben Gurion Waisrael wakikimbia makombora ya Yemen

    Wanaukimbi. Video inaonyesha ving'ora viliposikika Tel Aviv na uwanja wa ndege wa Ben Gurion huku Wahouthi wakirusha makombora dhidi ya Israel kutoka Yemen. Kundi linalojihami na Iran linasema mashambulizi yao yanapinga mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza. =============== Video shows the...
  11. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa WHO 'alinusurika kifo' katika shambulio la uwanja wa ndege wa Yemen

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema yeye na wenzake "wameponea kifo chupuchupu" katika shambulio la anga la Israel kwenye uwanja wa ndege nchini Yemen. Tedros Adhanom Ghebreyesus alisimulia kuhisi "amefichuliwa kabisa" wakati wa shambulio hilo, ambalo liliua takriban watu...
  12. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Hivi utaratibu upoje wa kupokea parcel kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa

    Comment ziwe fupi fupi Uzi tayari
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo jeuri ya fedha! Check Convoy ya Diamond na Zuchu Uwanja wa Ndege Dar (JNIA) wakielekea kwenye show Kenya

    Hii ni Convoy ya Super Megarstar, Diamond Platnumz na Zuchu akitua Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam, wakati wakielekea kwenye show kwa mashemeji zetu nchini Kenya.
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Aishi Manula augua ghafla Uwanja wa Ndege dakika chache kabla ya safari ya Algeria

    Wakuu Mlinda Mlango Aishi Manula sio sehemu ya kikosi kilichoelekea Algeria baada ya changamoto ya Kiafya akiwa Airport == Klabu ya Simba imetoa taatifa kuwa mlinda mlango Aishi Manula alishindwa kusafiri kuelekea Algeria baada ya kupata hitilafu ya kiafya dakika chache kabla ya kuondoka...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apokelewa kwa Dua Uwanja wa ndege Kia

    Tazama Rais Samia Suluhu Hassan alivyopokewa kwa dua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KΙΑ). Rais Samia anaelekea mkoani Arusha ambapo kesho anatarajiwa kutunuku kamisheni kwa maafisa wanafunzi katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli na Novemba 30 atashiriki mkutano wa...
  16. Jackson94

    JamiiForums Tanzania Mashambulizi yatokea karibu na uwanja wa ndege wa Beirut dakika chache kabla ya ndege kuwasili

    Maelezo ya video,Tazama: Mashambulizi ya anga karibu na uwanja wa ndege wa Beirut Israel imefanya mashambulizi zaidi ya anga huko Beirut na Lebanon usiku kucha, yakilenga matawi ya benki ya AQAH. Shirika la habari la serikali ya Lebanon NNA liliripoti shambulizi kwenye tawi la benki hiyo karibu...
  17. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania KWELI Emmanuel Nwude wa Nigeria aliwahi kuuza Uwanja wa Ndege 'usiokuwepo' kwa Dola Milioni 242

    Inasemekana kuwa Emmanuel Nwude, mmoja wa matapeli maarufu zaidi katika historia ya uhalifu wa kifedha nchini Nigeria ambaye kati ya miaka ya 1995 na 1998, aliwahi kumuuzia mtu uwanja wa ndege wa bandia, akijifanya kuwa mkurugenzi wa Benki Kuu ya Nigeria. Kwa udanganyifu huu, Nwude alimdanganya...
  18. Jackal

    JamiiForums Tanzania Jeshi La Israeli Limedukua Mawasiliano ya Uwanja wa Ndege wa Beirut, hakuna Ndege ya Iran kutua!

    The Israeli cyber army on Saturday hacked into the control tower of Beirut Airport, the Rafic Hariri International Airport. The IDF breached the communication network of the control tower and threatened an Iranian civilian plane attempting to land, reported the MiddleEastMonitor website. The...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akagua ukarabati na upanuzi wa Uwanja wa ndege cha Songea, Tsh. bilioni 40.87 zimetumika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua na kupokea taarifa ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea ambao umekamilika kwa asilimia 100% Mkoani Ruvuma. Rais Dkt. Samia amekagua Kiwanja hicho, leo Septemba 23, 2024 mara baada ya kuwasili Mkoani...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Serikali kinashindikana nini kujenga upya na njia 4 kutoka uwanja wa ndege Arusha kwenda mjini?

    Barabara kutoka pale bypass ya East Africa ni ya zamani sana, ni nyembamba, imejaa mashimo, viraka, ukiipata ni sawa tu na njia ya kwenda Kiteto. Barabara hiyo inatumiwa na watalii hasa wazungu, uwanja wa ndege Arusha una miruko(flights) zaidi ya 150 kwa siku, ni aibu kwa nchi. Kwanini...
Back
Top Bottom