uwanja wa ndege

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini serikali ya Kenya wanakodisha uwanja wa ndege wa JKIA kwa Wahindi wa Adani?

    Huko Kenya kuna mabishano makali ya kisiasa baada ya serikali ya Ruto kuamua kuikodishia kampuni ya Wahindi ya Adani Group uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta (JKIA) uliopo Nairobi. Mpaka sasa haijaeleweka hasa sababu za msingi za Serikali ya Kenya kuwakodishia Adani uwanja huo ukizingatia ni...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yamtaka Mkandarasi kumaliza ujenzi wa Uwanja wa Ndege Mikumi kwa wakati

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imemuelekeza Mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa kiwanja cha ndege Kikoboga katika Hifadhi ya Taifa Mikumi, Badr East Africa Enterprises Ltd. wenye gharama ya Sh. Bilioni 20.6 kuongeza kasi ili kukamilisha mradi huo kwa wakati. Ujenzi huo...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchakato wa Adani kukabidhiwa JKIA waendelea licha ya migomo

    Mchakato wa kukabidhi usimamizi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) kwa kampuni ya Kihindi, Adani Enterprises, unaendelea, huku kampuni hiyo ikianzisha kampuni tanzu, Airports Infrastructure PLC. itakayokuwa na jukumu la kuendesha, kusimamia, na kuboresha Viwanja vya Ndege...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Msalato (Dodoma) wafikia Asilimia 72

    Kamati ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar imeridhishwa na Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Msalato jijini Dodoma ambapo ujenzi wake umefikia asilimia 72 kwenye Barabara ya kuruka na kutua ndege huku Jengo la abiria likifikia asilimia 39. Hayo yamesemwa leo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ombi la wazi kwa Rais samia kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege katika manispaa ya kahama mkoani Shinyanga

    Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan Kupitia kwa Mhe. Waziri wa Uchukuzi Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kukupongeza Mhe. Rais kwa kazi kubwa na nzuri inayoendelea kufanyika chini ya uongozi wako thabiti. Nikiwa mwananchi na mdau wa maendeleo katika Manispaa ya Kahama...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ukishuka Airport Dar ukapita barabara kuu unaona jinsi nchi na watu wake walivyochoka. Viongozi mnafeli wapi?

    Yaani kama ulitoka nje ukashuka airport Dar miaka 8 iliyopita, ukashuka miaka mitano iliyopita na ukashuka leo, unakutana na barabara ni lami siyo lami, vumbi tupu, makorongo matupu, mitaro ya waziwazi iliyojaa maji machafu, yaani kanchi kamechoka kamechoka kwelikweli. Hivi nyie watawala...
  7. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Unauonaje ushauri wa "Dudubaya" kuhusu vyoo vya mwendokasi na uwanja wa ndege?

    Anasema: 1. Vyoo vya mwendokasi vimejengwa mbali sana kutoka kituo kimoja hadi kingine 2. Uwanja wa ndege wa Dar Es Salaam usitegemee maji ya Dawasa pekee Unauonaje ushauri wake?
  8. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa maji vyoo vya uwanja wa ndege Dar, dharura kama hizo hutokea nchini tu?

    "Dudubaya" alalamika baada ya kukosa maji kwenye vyoo vya uwanja wa ndege Dar Es Salaam. Kama kuna mtu mwenye taarifa ya nchi zingine zenye viwanja vya ndege vya Kimataifa vilivyowahi kupata dharura ya maji amwelimishe "Dudubaya" ili apunguze lawama! Ajue kuwa hiyo ilikuwa ni dharura tu.
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Polisi asimamishwa kazi kwa kumshambulia mtuhumiwa uwanja wa ndege

    Polisi ameonekana akimshambulia "mshukiwa" katika uwanja wa ndege wa Manchester nchini Uingereza. Baada ya video ya hilo tukio kusambaa mitandaoni; 1. Kulisababisha "wananzengo" wa Manchester kuandamana hadi kituo cha Polisi kuonesha hasira zao (ila hawakufanya fujo) 2. Kuliwaibua wabunge...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mchezaji mzuri asifiwe uwanjani sio kutua uwanja wa ndege au kutambulishwa

    Kulikuwa na akina Okwa, Jobe, Funga Funga, Oprah na wengine ambao tuliwasifia sana ni Akpan, Sawadogo, Babacar, Chikwende, Micquissone tukasema mh safari hii mtu atakula 10 hakyamungu. Walipoanza tu msimu kila cku zilipokuwa zinakwenda tukaanza kugombana wenyewe kwa wenyewe, mfano Jobe...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nicki Minaj akamatwa uwanja wa ndege wa Uholanzi, Begi lake limekutwa na Bangi

    Nyota wa muziki Nicki Minaj amekamatwa kwenye uwanja wa ndege nchini Uholanzi saa chache kabla ya kutumbuiza katika ukumbi wa Co-op Live jijini Manchester. Rapa huyo wa Marekani, 41, alizuiliwa katika Uwanja wa Ndege wa Amsterdam wa Schiphol kwa tuhuma za kupatikana na dawa za kulevya. Katika...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mtanda fuatilia kwa karibu mradi wa jengo la uwanja wa ndege la kimataifa Mwanza, limesimama tena

    Wananchi wa Mwanza tumekuwa tukifuatilia kwa karibu ujenzi wa jengo la abiria la uwanja wa ndege la Mwanza linalotarajiwa kuufanya uwanja huu kuwa wa kimataifa. Aliyekuwa RC wa Mwanza Makalla alijitahidi sana kuurejesha kwenye uhai lakini kampuni ya Mzawa haionekani kufanya chochote hadi sasa...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Uwanja wa Ndege wa Bukoba ni hatarishi sana kwa marubani kutua na wanapaogopa mno?

    Nasikia kama kuna Kitu ambacho Marubani wengi wa Ndege nchini Tanzania hawakipendi basi ni kupangiwa route ya kwenda Kutua Uwanja wa Ndege wa Bukoba (Kagera) kwa Watani zangu na naambiwa wapo Marubani wengine Hujivunja (Hutoa Sababu za Uwongo) ili tu wakwepe na wapangiwe Wengine. Pia kuna Mtu...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bonna Kamoli atishia bungeni sakata la wananchi Kipunguni kupisha Airport, hawajalipwa fidia miaka 27 sasa

    Mbunge wa Jimbo la Segerea, Bonnah Kamoli akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2024/25 leo Mei, 6, 2024 amesema ikiwa suala la fidia ya wananchi wa Kipunguni halitapatiwa maelezo ya kutosha, basi atashika shilingi na hataachia. Amesema suala hilo limechukua muda...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Dubai kujenga uwanja wa ndege kwa bilioni 91, ni nusu ya bajeti yetu tuliyoshindwa kuitekeleza

    Kweli vidole havifanani, Dubai jana imetangaza ujenzi wa uwanja mpya wa ndege wenye thamani ya Tshs trilioni 91 kusini mwa mji ambao utaambatana na ujenzi wa mji mpya(wilaya) ambao umeshaanza kujengwa wenye kilomita za mraba 145. Gharama hizi za ujenzi ni zaidi ya mara mbili ya bajeti ya...
  16. Heparin

    JamiiForums Tanzania Msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano

    Tazama msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano, leo April 08 2024. PIA, SOMA: Uteuzi kuwa Mkuu wa Mkoa Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri Matukio baada ya...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ujenzi wa uwanja wa ndege Mwanza nini hasa, tuelezeni

    Sisi wazalendo tunakerwa sana na uzembe wa TAA kuanza ujenzi wa jengo la uwanja wa ndege wa Mwanza, wameahidi mara kadhaa kwa Mkuu wa Mkoa, kuwa pesa imetolewa na Rais bilioni 30 sasa. Kinachochelewesha ni nini? Songwe imeishakamilika, Tabora, Iringa, Tanga, Msalato, Arusha, Moshi vinajengwa...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Nigeria wapinga Uwanja wa Ndege kupewa jina la Rais Bola Tinubu

    NIGERIA: Wananchi kutoka katika jimbo la Niger wamepinga uamuzi wa Serikali kubadili jina la Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Minna na kuuita jina la Rais Bola Tinubu kwa maelezo ya kutambua mchango wa kiongozi huyo katika maendeleo ya jimbo hilo. Pia, Msemaji wa Serikali ya Jimbo hilo, Hajia...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Nani angesaidia kuharakisha mchakato wa Ujenzi uwanja wa ndege Mwanza, TAA au TANROADS, naomba mawazo yenu

    Ni kweli suala la mchakato wa ujenzi wa jengo la abiria uwanja wa ndege Mwanza limechukua muda mrefu na sasa wananchi waliahidiwa Mwezi February 2024 mkataba ungesainiwa hapahapa Mwanza. Tuliamini baada ya TAA kukabidhiwa na mkoa kasi ingeongezeka na hususani baada ya Rais kutoa bn 30 kazi...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kongo DR yaishutumu Rwanda kwa kufanya shambulizi la ‘ndege isiyokuwa na rubani' kwenye uwanja wa ndege

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imewashutumu Rwanda kwa kufanya shambulio la ndege isiyokuwa na rubani lililosababisha uharibifu wa ndege ya raia kwenye uwanja wa ndege katika mji muhimu wa mashariki wa Goma, ambao ni mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini. Mapigano yamezuka katika siku za hivi...
Back
Top Bottom