uwakili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Linguistic

    Kuvuka mtihani wa Uwakili ni balaa LST

    Wakuu Katika mtihani uliofanywa mwaka huu Pale Law School Tanzania na Wanafunzi 633, wanafunzi 26 pekee wamefaulu Kwa Maana ya first seating Wanafunzi Wengi mwaka huu wamefail sana katika Shule kuu ya Sheria [Law School]. Wadau wanalalamikia mifumo wakitaka uchunguzi ufanyike. PIA uongozi wa...
  2. S

    Hongera Pascal Mayalla kwa kuupata Uwakili

    Naona leo Pacal Mayalla ni miongoni mwa Mawakili waliopokelewa na kukubaliwa kuwa Mawakili, tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Karimjee huku Jaji Mkuu akiwa ndio Mgeni Rasmi. Hongera sana Pascal, ila upunguze kuchomekea sifa zingine kama kuwa Mtangazaji wa kwanza kuwa wakili na badala yake...
  3. Zakaria Maseke

    Mawakili wa Serikali Hawaruhusiwi Kufanya Kazi za Uwakili wa Kujitegemea Isipokuwa kwa Kibali Maalum

    Can State Attorneys and lawyers in the public service be Enrolled in the Roll of Advocates and Practise as an Advocate or as a Notary Public or Commissioner for Oaths? Je, Mawakili wa Serikali au Wanasheria walio katika utumishi wa umma wanaruhusiwa kusajiliwa na kuingizwa katika Daftari la...
  4. chiembe

    Utapeli wa kisiasa wa CHADEMA: Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania

    Shughuli za uwakili nchini Tanzania hufanywa kwa mujibu wa Sheria ya Mawakili (The Advocates Act) ambayo kimsingi, inatoa masharti, ikiwemo kuhudhuria shule ya sheria (Law School) na kisha kuapishwa na Jaji Mkuu baada ya kufaulu. Huyu Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za sheria...
  5. Shujaa Mwendazake

    Fatma Karume: Bado sijarejeshewa Uwakili

    ======= "Kwa nyote mnaoniuliza kama wamenirejeshea uwakili: JIBU NI: HAPANA! Hukumu ya Feleshi kuniSUSPEND bado ipo IMARA japo kuwa: 1. kaniSUSPEND bila ya kunipa HAKI ya kujitetea. Tangu 2019; 2. Suspension ilikuwa temporary na Hakuna temporary order inayodumu zaidi ya miezi 6! 2019...
Back
Top Bottom