uwakili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mpakwa Mafuta wa Bwana

    Jaji Mkuu kuwatunuku Ally Happi na Makada wa CCM uwakili wa Mahakama Kuu

    AJI MKUU WA MASAJU AMEPANGA KUWAPA UWAKILI MAOFISA WA POLISI NA KADA WA CCM‼️ Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju amepanga kuwapa Uwakili vibaraka na chawa wa Nduli Idd Amin Mama kama mnavoona kwenye hii list niliyoweka hapa chini. Watu hao ni pamoja na Kada wa CCM Ally Hapi na wengine ni...
  2. Pascal Mayalla

    Fani ya Uwakili Inazidi Kukua, Mzigo Mpya wa Mawakili 577 Unapakuliwa Desemba 2026, Wakili Msomi Mpya Ally Salum Happi Ndani ya Nyumba!.

    Wanabodi, Leo naendeleza motoo ya JF, wewe kama mwana jf, unapata kitu kinaitwa The JF Advantage, Be The First to Know, hivyo leo nawaletea habari njema kuhusu fani ya uwakili, inazidi kukua kwa kasi, ambapo mzigo mpya wa mawakili wasomi 577 unapakuliwa mwezi Desemba 2026, kwa mawakili hao...
  3. Dennis Robert Shughuru

    Magufuli aliacha legacy ya kufuta watu uwakili soon itakuwa ni playbook/precedent

    Wakati wa utawala wa magufuli alifanya tukio la ajabu alimvua fatma karume uwakili sababu alikuwa muongeaji sana na mkosoaji sana Polepole akiwa sehemu ya serikali na leo hii anaonekana shujaa akusema chochote juu ya mawakili kuvuliwa uwakili na kushindwa kusimama mahakamani na wao kutafuta...
  4. Abdul Said Naumanga

    Mawakili zaidi ya 390 wa Tanzania Bara Hatarini Kupoteza Uwakili wao

    Je, kuwa na Shahada ya Sheria na kufanya kazi kwenye mazingira ya sheria ni sawa na kuwa na mafunzo maalumu yanayomwandaa mtu kuwa Wakili? Hili ni moja ya maswali makubwa ambayo mimi na wenzangu wengine wanne katika shauri hili tumeamua kulipeleka mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania. Tarehe 30...
  5. H

    Ni vema Mahakama na Chama cha Mawakili wamfungie Katuga na genge lake kutoa huduma za Uwakili kutokana na uhuni walioifanyia Mahakama

    Mahakama ina kanuni, taratibu na miongozo katika kuendesha kesi. Na katika taratibu hizo, mawakili wote huhesabika kama ni maafisa wa mahakama wanaotakiwa kuwa mfano katika kuzingatia na kuheshimu taratibu zote za mahakama. Leo mawakili wa Serikali kwenye kesi bandia dhidi ya Lisu, wakili wa...
  6. Mwanamwana

    Mwabukusi: Kutokufaulu mithani wa uwakili ni kukosa uadilifu, siyo kuonewa

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi ameyasema hayo katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026
  7. Mhaya

    Taaluma ya Uwakili ndio watu wake wanaongozwa kwa kufungwa gerezani au kutafutwa na polisi

    Mawakili ndio taaluma pekee inayoongoza kuwa na bifu na polisi, na kila kukicha utasikia wakili fulani anatafutwa na Pongo, mara wakili fulani kashitakiwa kwa kosa fulani tofauti na taaluma za kada nyingine. Utasikia wakili madeleka, wakili kibatala, mwanasheria Tundu lissu, mara sijui...
  8. Barca

    Tetesi: Makosa 10 Lissu Mahakamani Jana, Apuyanga Sheria, Ni Kheri Alivyojivua Uwakili kwa Muda!!

    Makosa 10 Lissu Mahakamani Jana, Apuyanga Sheria, Ni Kheri Alivyojivua Uwakili kwa Muda!! Na Mwandishi Wetu Kiongozi wa Chadema Tundu Lissu jana ameendelea kufanya makosa ya msingi mahakamani ambayo yataendelea “kumcost” kisheria na hata kisiasa. Twende moja kwa moja sasa. Kuendelea...
  9. The Palm Beach

    Tujadili kesi ya Tundu VS TIGO: Nani analipa gharama za uwakili kwa kampuni hizi za kimataifa zinazosimamia kesi yake huko nje nchi..?

    Kwanza sikiliza hii: Tundu Lissu anasema katika voice note hii; "...Inabidi mawakili wakusanye ushahidi wote unaohitajika na kisha waandae hati ya mashitaka...." ".....Kwa kifupi ni kuwa, kuna kazi kubwa ya kati ya sasa na kufungua kesi....." "......Kilicho muhimu ni kwamba, nimeshatoa...
  10. The Palm Beach

    Tujadili kesi ya Tundu VS TIGO: Nani analipa gharama za uwakili kwa kampuni hizi za kimataifa zinazosimamia kesi yake huko nje nchi..?

    Kwanza sikiliza hii: Tundu Lissu anasema katika voice note hii; "...Inabidi mawakili wakusanye ushahidi wote unaohitajika na kisha waandae hati ya mashitaka...." ".....Kwa kifupi ni kuwa, kuna kazi kubwa ya kati ya sasa na kufungua kesi....." "......Kilicho muhimu ni kwamba, nimeshatoa...
  11. chiembe

    Serikali iondoe sharti la kulipia leseni za TLS ili mtu apate haki ya kupata leseni ya uwakili (practising certificate) ili kuiua TLS kutokea ndani

    Nashauri serikali ipeleke muswada wa sheria unaoondoa ulazima wa kulipia ada za T.L.S ili kupata leseni ya uwakili, hii pia itaondoa lile sharti la points ambazo hupatikana kwa wakili kuhudhuria semina. Vitu hivi ndivyo huifanya T.L.S ipate fedha, kwa sasa Mwabukusi atatumia fedha hizo kutukana...
  12. chiembe

    Chadema imemfanya Lissu kufilisika, enzi akifanya shughuli za uwakili, alikuwa ana mabilioni kwenye akaunti, sasa anatembeza bakuli

    Nadhani Chadema kuna tatizo, katika mawakili wa bei mbaya nchi nzima alikuwa Tundu Antipas Lissu, alikuwa bilionea. Tangu ajiunge Chadema, amefilisika kabisa, hana kitu, mpaka anaomba omba hela ya kununua gari. Atakuja kupata mjukuu aitwaye Majuto, na hapo bado ana nguvu, chadema watamtumia...
  13. Kamanda Asiyechoka

    Je, Boniface Mwabukusi kuvuliwa Uwakili?

    Njama za kihuni
  14. comte

    TLS, wanachama wenu wanafuata maadili ya uwakili au wanajiendea tu?

    IV. LAWYER AND JUDGE Lawyers and judges owe each other respect, diligence, candor, punctuality, and protection against unjust and improper criticism and attack. Lawyers and judges are equally responsible to protect the dignity and independence of the Court and the profession. l. I will...
  15. M

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

    Yuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili. Katika malalamiko yake Mwanasheria wa Serikali anasema eti: 1. Mwabukuzi ni mchochezi. 2. Mwabukusi...
  16. Dialysis

    Tunataka kuishitaki wizara ya afya, nisaidieni kujua kampuni nzuri ya mawakili

    Ni watanzania takribani 100 tumejichanga kutafuta haki yetu ambayo wizara afya imetunyima kwanjia ya mazungumzo. Tunatafuta kampuni nzuri ya uwakili ambayo inaweza kutusaidia swala letu kupata haki. Fedha ya consultation na kuendesha kesi tayari tunayo . Tunaomba kusadiwa wawasiliano ya...
  17. matunduizi

    Kwanini wawepo Wanasheria na Mawakili mahakamani na si kila mtu azijue tu sheria kama Amri za Mungu?

    Sheria ilipaswa kuwa ni sharti la lazima tujue kuanzia watoto. Kama hatufundishwi darasani na makanisani kama amri kumi basi ule msemo Kutokujua Sheria sio hudhuru haukutakiwa kuwepo. Huo msemo ulipaswa kuwa Kwa wasomi wa Sheria sio sisi maamuma na wananchi wasio na ufahamu huo. Ni kama...
  18. J

    Kufeli uwakili kilio Afrika Mashariki

    Si Tanzania pekee Mjadala kuhusu mitihani hiyo na mfumo wake umeibua taarifa mpya kutoka nje ya nchi, zikibainisha kuwa kilio hicho hakipo tu hapa nchini. Taarifa ambazo Mwananchi imezipata, zinaonyesha janga kama hilo limeikumba sekta ya sheria Zambia katika mtihani wa uwakili mwaka jana...
  19. peno hasegawa

    PENDEKEZO: Masomo ya uwakili yafundishwe kwenye course ya Sheria Chuo Kikuu kwa mwaka wa Nne. Law school ifutwe

    Kwa hali iliyopo na inayoendelea TLS ninashauri Law school ifutwe na badala yake degree ya sheria iliyokuwa inasomwa kwa miaka mitatu sasa isomwe kwa miaka mine Ili mwaka wa nne wasome masomo ya Law school wakiwa chuo kikuu husika. Wanafunzi akishamaliza degree ya sheria awe tayari amemaliza...
  20. BARD AI

    Idadi ya wanaofeli Law School of Tanzania yazua utata

    Idadi iyo ni sawa na 4.1% pekee kati ya wote waliofanya mtihani, huku wengine 484 wakitakiwa kurudia mtihani na 265 wakiondolewa kabisa baada ya kufeli. Hali hiyo imefanya Wanasheria na wadau wengine kutaka iundwe Tume ya kuchunguza sababu akiwemo Jaji wa Mahakama Kuu Gabriel Malata aliyesema...
Back
Top Bottom