utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    Kenya wao wanaenda kwa Wazungu wenye huruma na kupenda Democrasia. Sisi Tumekimbilia Russia

    Pima mzani utapata majibu nani mjanja👇 ============ Rais wa Kenya, William Ruto, amewasili nchini Ufaransa ili kuungana na viongozi wengine wa dunia katika mkutano wa kilele wa G7 huko Évian kujadili masuala ya kimataifa. Kuhudhuria kwa Ruto kumezua utata kutokana na kuongezeka kwa uhusiano wa...
  2. Yoda

    Kama utekaji, upoteaji watu na ukandamizaji upinzani usingekuwepo, Magufuli angekuwa Rais bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania

    Sijawahi kuelewa kwa nini haya mambo haliyaruhsu kutokea katika utawala wake wakati alikuwa anafanya mambo makubwa sana? Inawezekana kuna hulka fulani fulani za kikabila zilimuathiri na kupelekea akawa mwanasiasa mbaya asiyejua optics za masuala ya kisiasa.
  3. Mkalukungone Mwamba

    Katambi: Jeshi la Polisi haliteki bali linakamta

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema Serikali wala jeshi la polisi haliteki bali linakamata Serikali haiteki" bali "serikali inakamata mhalifu. Ikiwa mtu amekamatwa na vyombo vya dola, huo unaitwa ukamatwaji na si utekwaji. Soma Pia: Katambi: Tuwatie moyo askari...
  4. baz kaiza

    Unawezaje kufurahia watu kutekwa ,mauaji, watu kupotezwa?

    Kuna watu humu JF wana matatizo ya afya ya akili kabisa unakuta mtu anafurahia au kulinganisha Uhai wa binadamu na vitu unakuta mtu anafurahia mauaji, watu kutekwa kupotezwa huyu hawezi kua binadamu wa kawaida lazima ana matatizo ya Afya ya akili...
  5. ngara23

    Story za ujambazi wa jiwe Fatuma na utekaji mabasi katika mapori

    Sisi millennials tupeane story za ujambazi wa kutisha uliotikisa miaka ya 2000 kurudi nyuma Watu wa mkoa wa Kagera tukumbuke Yale mapori ya Kasindaga na Kimisi, Pale wahuni waliuwa na kuibia watu kibabe sana Namkumbuka ilikuwa 1998 nikiwa mdogo mno, nadhani chekechea. Usiku wa manane...
  6. B

    PostGE2025 CCM Hatimaye yachukizwa na utekaji! Yaumizwa na yaliyotokea Oktoba 29, Balozi Migiro ateta na Kikeke

    28 May 2026 CCM YACHUKIZWA NA UTEKAJI, YAUMIZWA NA YALIYOTOKEA OKTOBA 29, BALOZI DKT ROSE MIGIRO ATETA NA KIKEKE https://m.youtube.com/watch?v=rqTKkT6dv7o Baada ya kukaa kimya toka 2017 kuhusu utekaji, mauaji, kesi feki hadi Mei 2026 kufuatia muswaada wa vikwazo uliopendekezwa huko Marekani...
  7. Carlos The Jackal

    Samia kutoswa na Kundi ambalo halikuhusika na Mauaji Wala Utekaji, ila Lina Mali na Fedha zake US na Ulaya .. Tayari Hawaruhusiwi Kuhamisha Fedha zao.

    Hilo Kundi linadai kua 'Mali zao na Fedha walizipata tangu za Nyerére, Mwingi, Mkapa, Kikwete, Magufuli. Kundi hili linasema kwa namna yoyote, Mali na Fedha zao hazina uhusiano na SAMIA. Kundi hili Mwisho linasema "Sisi hatuhusiki na Utekaji, Wala Mauaji ya RAIA Wala Mauaji ya Vijana ,akinà...
  8. R

    Sikiliza kauli za kitoto, za kijinga za uchawa kuhusu utekaji unaoendelea nchini. Terrible!

    So called Waziri wa Mambo ya Ndani
  9. R

    Wachina wanne wakamatwa kwa tuhuma za Utekaji

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na majukumu yake ya msingi ya kuzuia vitendo vya kihalifu na kwa ujumla hali ya Jiji ni salama. Hata hivyo tarehe 14 Mei, 2026 majira ya saa 04:30 usiku Polisi walipokea taarifa kuwa katika majengo pacha ya 'PSSSF Mtaa wa Mission Ilala Dar...
  10. Idugunde

    Mabadiliko ni suala la kiasili. Kutumia jeshi na kufanya utekaji na mauaji hakuwezi kuisaidia CCM.

    Kuna mambo mengine yapo wazi kabisa kwamba taifa linahitaji mabadiliko. Kuwa na katiba ambayo ilitungwa na makada wa CCM ambao hawakushirikisha wananchi ni aibu kwa taifa kama hili na haifai Watanganyika wanataka katiba ambayo kwanza itatambua taifa lao. Alafu katiba ambayo itawapa mamlaka...
  11. Mshana Jr

    Sura ya Utekaji wa Djumbe: Siri ya 'Roho ya Lissu' na Ngao ya Kiroho Iliyomlinda Msaidizi Wake

    Mazingira ya kutoroka kwa David Joseph Mghanja (Djumbe), msaidizi wa karibu wa Tundu Lissu, usiku wa Mei 20, 2026, yamevuka mipaka ya akili ya kibinadamu. Wengi wanajiuliza: Je, kuna nguvu gani ya ziada inayotembea na watu walio karibu na Lissu? Tukio hili linaashiria uwepo wa "Ngao ya...
  12. passioner255

    Kwanini utekaji na uumizwaji wa watu umeota mizizi Tanzania ?

    Je huu uhuni una Baraka kutoka kwa Mkuu juu? Kwa sababu vyombo vyote vya usalama vinareport kwa mkuu kwa hiyo anajua kila kitu. Je vyombo vya usalama havina uwezo wa kuthibiti haya...
  13. Roving Journalist

    LHRC: Kurejea kwa kasi kwa matukio ya utekaji ni tishio kwa uhuru wa raia na Utawala wa Sheria nchini

    LHRC: KUREJEA KWA KASI KWA MATUKIO YA UTEKAJI NI TISHIO KWA UHURU WA RAIA NA UTAWALA WA SHERIA NCHINI Tarehe 22 Mei 2026, Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kupinga vikali kurejea kwa kasi matukio yenye sura ya utekaji nchini. Katika siku za hivi karibuni...
  14. Jidu La Mabambasi

    Rais Samia kwanini ananyamazia matukio ya Utekaji?

    Huwezi kuacha kujiuliza hili swali. Kwa matukio ya hivi karibuni, hasa hili la jaribio la kutekwa kwa kada wa CHADEMA aitwaye Jumbe, wengi tumejiuliza. Watekaji inasemekana walikuwa na lafudhi isiyopingika ya watu wa visiwani. Inaelekea ni vijana wa vyombo vya ulinzi na usalama , maana...
  15. mirindimo

    Makonda Angalipo Kwenye Mfumo Sahauni Utekaji Kuisha

    Paul Makonda anaitumia Michezo sasa kuwin his trust kwa jamii aliyoiumiza sana kipindi cha Uongozi wa Magufuli kiasi cha kupigwa ban kuingia Marekani na Serikali ya Marekani bado ana tikisa na genge lake la Mafwele kwa Utekaji nyara wa Viongozi wa vyama Pinzani ambao sasa wanawaita wana...
  16. instinct desire

    Kile kikundi cha chadema cha utekaji kwa Mujibu wa katibu mkuu mstaff Dr. Slaa kilipotelea wapi? Kama siyo hicho kinachoteka watu mpaka sasa

    Dr alishasema chadema Wana kikundi cha kuteka watu wa chadema kwa manufaa ya kisiasa nimewaka USHAHIDI HAPO chini. Je hicho kikundi ni lini kilivunjwa? Mnaona donation zimedoda mkaamua mje na huu usanii wa kitoto Chadema acheni siasa za kitapeli mnatekana wenyewe ili mpate public sympathy 🚮
  17. H

    UTEKAJI: Ujasiri wa Bodaboda Umeokoa Uhai wa DJumbe, Funzo: Ujasiri Wetu Wote kwa Pamoja Utaokoa Wengi. Bodaboda Wapewe Tuzo.

    Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba kundi la watekaji lililoongozwa na mzanzibari, lilimteka msaidizi wa Lisu bwana DJumbe akiwa anaingia nyumbani kwake usiku saa 4. Baada ya Jumbe kupiga kelele, bodaboda wakaanza kulifuata gari la watekaji kwa nyuma. Mashetani hawa watekaji walivyoona...
  18. Dalton Elijah

    Ayoub Rioba: Ninaomba Serikali ichukue hatua ngumu kukomesha hii 'narrative' ya utekaji. Tutaharibu Nchi yetu nzuri bila sababu za msingi!

    Watanzania ni watu wanaopenda amani na hawajazoea kuishi kwa hofu. Niwapongeze Polisi kwa kujibu haraka kwamba wanachunguza tukio la 'kutekwa' Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ndugu Djumbe. Nitoe pole kwake na kwa familia yake! Kuna maadui zetu wanaweza kutumia mwanya wa...
  19. Tlaatlaah

    Hakuna alie tekwa pale, ni pure drama, yaani ni utekaji bandia

    Ni drama iliyopikwa na watu wasio wazoefu katika kucheat, lakini pia the main character ni kama vile hakufanya rehearsal vizuri au hafundishiki, na ilimuwia vigumu sana kuact kama alivyoelekezwa na watengeneza script wa hiyo drama. Ni wazi hapakua kabisa na mapambano, makabiliono au...
  20. E

    Simulizi: Jinsi David Djumbe "alivyotekwa" na kuwakimbia "watekaji" akiwa na pingu

    Mei 20, 2026 kulitokea tukio linalodhaniwa kuwa la utekaji wa David Djumbe ambaye ni msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Hata hivyo, imeelezwa kuwa, Djumbe alifanikiwa kuwatoroka watekaji waliojitambulisha kuwa ni maofisa wa polisi. Akisimulia tukio hilo, David Djumbe amesema...
Back
Top Bottom