utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Shahidi aeleza jinsi Twaha Mwaipaya alivyotekwa Nairobi

    Shahidi wa pili katika maombi ya Habeas Corpus yanayohusu kutoweka kwa mwanaharakati Twaha Mwaipaya, ameeleza mahakamani maelezo ya tukio la kutekwa kwake na watu wasiojulikana waliokuwa na silaha jijini Nairobi, Kenya. Shahidi huyo, raia wa Kenya na rafiki wa karibu wa Mwaipaya, ameiambia...
  2. C

    Shahidi wa siri kutoa ushahidi kesi ya kutekwa kwa Twaha Mwaipaya

    MAHAKAMA Kuu ya Milimani jijini Nairobi, kesho tarehe 11 Novemba 2026 itamsikiliza shahidi wa pili wa siri katika kesi ya kutekwa na kutoweka kwa mwanaharakati Mtanzania, Twaha Mwaipaya. Mwaipaya ni miongoni mwa wanachama wa Chadema waliokimbilia nje ya nchi kunusuru maisha yao kutokana kile...
  3. REJESHO HURU

    Ukipima reaction ya watanzania sasa kwenye mitandao ya KIjamii utaona mambo shwari ila ukienda mtaani mambo ni moto

    Zamani mambo mazito yakuibua hisia za wanainchi yalikuwa yanaishia uku mitandaoni unatamani yule mama mpika vitumbua pale au yule mwenye genge ufike agiza chakula ukute mijadala mizito kuhusu mustakabali wa nchi ila hapana ulikuwa unakuta shwari kama ilivyo mitandaoni leo hii yani kama hakuna...
  4. C

    Kigoma: Katibu wa BAWACHA mkoa adaiwa kuchukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa askari polisi

    Neema Mhanuzi, Katibu wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Mkoa wa Kigoma, anadaiwa kuchukuliwa nyumbani kwake na watu waliojitambulisha kuwa askari wa Jeshi la Polisi. Tukio hilo linadaiwa kutokea majira ya saa 12 jioni katika eneo la Mwasenga, Kata ya Buhanda, Manispaa ya Kigoma Ujiji...
  5. K

    Utekaji utaishia kuangusha viongozi Tanzania

    Utekaji utaishia kuangusha viongozi Tanzania maana hata viongozi sasa baada ya Nchimbi kuwekwa kizuizini na utekaji kuendelea mpaka Kenya hii serikali sasa inajifatutia majanga sio tu kwa Tanzania bali sasa hata wakina Rutto watakuwa maadui wa watekaji
  6. Kaka yake shetani

    Hivi kwa nini serikali nyingi zikitengeneza vikundi vya kujilinda, mauwaji na utekaji mwisho wa siku wanakuja wanageukana?

    Ukichunguza nchi ambazo zimepita kama sisi tulipo sasa na zikiendelea mwisho wa siku ndani ya kundi ilo wengine uchoka au kutaka nafasi ya watawala.
  7. Troll JF

    Tujikumbushe kidogo Mwaipaya alivyotoa mbinu za kuepuka kutekwa

    Jana ilitoka taarifa ya Kutekwa Twaha Mwaipaya na watu wasiojulikana Nairobi Kenya, baada ya tukio hilo kuna kipindi Mwaipaya aliwahi kutoa mbinu kadhaa za kuepuka kutekwa. Kipi kimemkuta maana alitoa mbinu nzuri sana za kuepuka na adhaa kama hii ya matukio haya ya utekaji. Ambayo si matukio...
  8. La Roche

    Utekaji wa Twaha Mwaipaya: Je kuna somo ambalo wapinzani hawajalielewa?

    Nimeangalia taarifa zilizochapishwa tarehe 25 Oktoba 2026. Kwa mujibu wa Amnesty International, Twaha Mwaipaya aliripotiwa kutekwa katika eneo la Kamulu, Kaunti ya Machakos, nchini Kenya, alipokuwa akisafiri kwa teksi. Watu waliodaiwa kumchukua walikuwa kwenye magari matatu. Hata hivyo, taarifa...
  9. R

    Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

    🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️ Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men UPDATE: Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa...
  10. Nyani Ngabu

    Wabunge wa Ujerumani waikomalia serikali haramu kuhusu haki, mauaji, utekaji, n.k.

    Sina haja ya kuandika mengi. Tazama video mwenyewe. Pia, angalia dakika ya 2:33 mbunge wa Ujerumani akimshushua askari wa muuaji Samia. Wanataka kudhibiti hadi mahojiano ya wabunge wa nchi zingine na vyombo vya habari. Huyo mama Mjerumani kanifurahisha sana...
  11. Mkalukungone Mwamba

    Mfanyabiashara Christopher Temu adaiwa kutekwa Himo na watu waliojitambulisha kama polisi

    Utekaji...... Hali imezidi kuwa mbayaa. Kama nchi inaelekea wapi jamani? =========== Mfanyabiashara Christopher Kirama Temu Kutoka kwenye ukurasa wa Maria Sarungi amechapisha taarifa ikidai kuwa Mfanyabiashara Christopher Kirama Temu ametekwa Himo akiwa msibani na watu waliodai ni polisi...
  12. A

    KERO Tukio la kukamatwa kwa Wananchi katika Hospitali ya Selian Arusha kwa utaratibu wa ajabu kabisa

    Jioni ya tarehe 6, askari polisi waliovaa nguo za kiraia walifika katika Hospitali ya Selian jijini Arusha na kumtoa wodini kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Lobulu Masiaya Tome. Baada ya kumpeleka katika eneo la mapokezi la hospitali hiyo, walimpiga pingu, wakampandisha kwenye gari na...
  13. Duh Aisee

    Wasiojulikana na utekaji siku za mechi za Derby pamoja na ile week ya mechi za CAF

    Kuna pattern nimeiona tokea 2024 baada ya kufuatilia matukio ya utekaji kwenye zile page za kule Twitter(X)kwa hawa wasiojulikana. Wamekuwa wakipendelea sana kufanya utekaji kipindi kukiwa na mechi kubwa nchini hasa hasa Simba na Yanga wakikutana au wakiwa kwenye mechi za kimataifa. Sasa...
  14. Mkalukungone Mwamba

    Kigoma: Vijana wawili hawajulikani walipo kwa zaidi ya mwezi mmoja baada ya kuchukuliwa na watu wasiojulikana

    Wananchi wakazi wa Kijiji cha Ilagala wilayani Uvinza mkoani Kigoma wameiomba serikali kuwasaidia kutafuta vijana wawili waliopotea katika mazingira ya kutatanisha baada ya kukamatwa na watu ambao hawakufahamika mara moja zaidi ya mwezi mmoja uliopita na kutokomea nao kusikojulikana hali...
  15. Mkalukungone Mwamba

    Kijana wa Mwananyamala aliyepotea, akutwa ameuwawa

    Jina: Awezi Emedi Swalehe Umri: Miaka 23 Anaishi: Mwananyamala, Dar es Salaam Alichukuliwa: Sinza, Dar es Salaam Habari mbaya sana. Mama mdogo wa kijana aliyeripotiwa kupotea amenipigia simu akiwa analia baada ya kubaini kuwa kijana wake ameuwawa. Kwa mujibu wa taarifa alizonipa, mwili wa...
  16. Anti-tozo

    Kataa utekaji Tanganyika imepamba moto.

    Wakija kukuchukua watu hawaeleweki wewe washirikishe maraia tuu utapata msaada 😋😋😋😋😋 Dodoma wameweza bhana.
  17. Idugunde

    Hivi Mwanasiasa akiwekwa kifungo cha nyumbani wananchi huwa hawapewi taarifa? Nani huwa anatoa hii adhabu na kwa kosa gani?

    Ninashangaa juu ya hizi habari kuwa Nchimbi wa CCM yupo kifungo cha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Abdul Jumbe. Hii adhabu hutolewa na nani? Na kwa nini wananchi hawana taatifa kam
  18. AI BRAINFULL

    Akipotea nani ndio Serikali itakiri hadharani kuwa kuna utekaji na upotevu wa watu?

    Kwa hapa Tanzania inabidi apotee au kutekwa nani ndio CCM na Serikali itaamini na kukiri hadharani kua kweli utekaji na upotevu wa watu upo? Hadi sasa watanzania wote 70m+ tunaamini watu wanapotea wanatekwa ila kuna taasisi na mihimili ya nchi yetu haiamini hata chembe, ingawaje Viongozi wa...
  19. idiomer

    Nina maswali mengi sana hayana majibu?

    Yaani nchi yao bwana mtu anapotezwa wako kimya.... Kwa mara ya kwanza duniani Nasikia mtu anajiuzulu alafu haonekani tenaaa ???? Yaani kweli pesa ndio zitufanye hiviii??? Ubinafsi aliwahi kusema muasisi ? Balozi wa nchi fulani naye akawekwa kimyaa...na hakuna anayezungumzia???? Kesho...
  20. Kinyungu

    Utabiri: Utekaji utapungua kwa hadi 80% kwa kipindi cha miezi minne ijayo Mid September to Mid December

    Huu ni utabiri wa kweli kama nilivyo oneshwa na mizimu ya kwetu. Iko hivi kwa kipindi cha kuanzia week ya pili ya Sept 2026 hadi week ya pili ya Dec 2026 hali utekaji wa wananchi itapungua kwa kiwango kikubwa sana. Inatarajiaa hali ya utulivu itaripotiwa maeneo mengi ya nchi. Hata hivyo...
Back
Top Bottom