Siku hizi kumekuwa na utapeli mkubwa sana kwa njia ya mtandao, leo nitaelezea njia ya biashara na namna unavyoweza tapeliwa.
Biashara ni nyingi sana mtandaoni kama biashara ya nguo, viatu, simu, laptop na nyingine nyingi. Wapo wafanyabiashara ambao siyo matapeli na wapo matapeli.
Namna ya...
Chuo cha Kampala University hiki ambacho kipo Gongo la Mboto kina shida kubwa sana, najua wengi mnajua kimewahi kufungiwa siku za nyuma kutokana na magumashi mengi ambayo kimekuwa kikifanya.
Serikali iingilie kati kuangalia hiki chuo, sisi wanafunzi ambao tupo chuoni hapo tunapitia wakati...
Wale matapeli wa Vanila village Njombe sasa wamehamia Zanzibar. Na ITV iliyokuwa ikiwatangaza wakiwa Njombe (Vanila village Njombe) ndiyo Sasa inawatangaza wakiwa Zanzibar (Vanila village Zanzibar).
Hawa ITV ndiyo waliohusika kuwatangaza Kaylinda waliochezesha upatu kwenye mitandao na kisha...
Jamani, hivi karibuni nilipost instagram video tatu za vijana ambao wameshtukiwa baada ya kujifanya wanawake kisha kuwaomba pesa washkaji bar.
Mademu hao vidume huwa wanategea mtu alewe kisha wanakubaliana naye kwenda kulala na ndipo ataomba pesa ya kinywaji, mara pesa ya kumnunua..nk..ndipo...
Mifumo ya Tanzania kiukweli inasikitisha sana.
Masuala ya UTAPELI yamehalalishwa kabisa na watu wanaofanya UTAPELI wanafanya waziwazi bila kificho na hakuna anayewagusa.
Tanzania hata siku moja usikae ukafikiri labda ukiwa kama Raia wa kawaida serikaali itakulinda.
Suala la kujilinda ni...
Kevin Anunda Mogaka, Francis Manyara Ogata, na Bravin Osano Ombongi wanadaiwa kuendesha akaunti 15 kwenye #WhatsApp na #Telegram, ambapo waliomba Kati ya Tsh. 48,000 - 672,317 kutoka kwa Wazazi kwa ahadi ya kuwatumia Karatasi zilizovuja za Mitihani Mbalimbali ya Taifa
Hadi kukamatwa kwao...
Click Farms/Mashamba ya Kubofya/Kubonyeza.
Haya ni maeneo, hasa katika Asia, ambapo matapeli "hufanya kazi" kwenye mamia ya simu za rununu kwa wakati mmoja kwa malipo duni.
Bosi wao ni "mkulima wa kubofya au kubonyeza" ambaye ni kama "bwana shamba."
Matapeli hawa hucheza video kwenye tovuti...
Napenda mabadiliko ya kweli. Sipendi uswahili wa kiswahili. Yaani porojo zisizofaa.
Mara mwanaChadema anachangisha michango kwa kutumia akaunti yake ya M pesa nihakikisha inakufa.
Nitahakikisha pesa za umma haziliwi hovyo na tunapata ofisi ya Ghorofa moja.
Nitahakikisha poroja za Twita...
Inasikitisha sana kuwa serikali yetu iko kimya sana kuhusu hii ishu.
Nini kifanyike ili wananchi wa Tanzania wasikumbane na madhila ya namna kama hii?
Elimu itolewe kuhusu utapeli wa mitandaoni.
Makonda, Lemutuzi wapanga njama kumchafua PCK Kisutu leo
WAKATI kesi ya madai namba 234/2022, iliyofunguliwa na Mfanyabiashara Patrick Christopher Kamwelewe ‘PCK’ dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mwanamitandao William Malecela ‘Le Mutuz’, ikitarajiwa kuanza...
1. BC INVESTMENT
Hii ilkuwa na platform ya uwekezaji ambayo walikuwa wanatoa takribani 7% ya pesa uliyowekeza na kiwango Cha chini kuwezeza ilikuwa 14,000/=
2. QNET
Hii sina experience nayo ila nasikia Ilipita na Hela pia.
3. EARNJET AGENCIES
Mkurugenzi wake alidai anatoka Nairobi anakuja...
Nasema haya najua kuna watu watapuuza ila baadae ndio wataelewa.
Kwanza kabisa hawa matapeli wana mbinu kama za shetani...kivipi? Shetani ili akupate hawezi kuja mwenyewe sababu utamwogopa na hutamwaanini,lazma aje kupitia marafiki na watu wako wa karibu yani unaowaanini.
Hivyo hivyo hizi...
Habari za muda huu wana JF
Nimesikia vilio watu kupigwa kwenye Kalyinda nimeamua kuwaletea mbinu yangu niliyopata mwaka wa mwisho wakati namaliza kozi za Uwabata nchini Cuba (joking)
Mimi siamini kabisa katika pesa za kudownload yaani umekaa kiboya pesa zije kirahisi bila kutolea jasho naona...
Habari wananzengo..
Hongera simba kwa kuwakilisha vyema taifa
Turudi kwenye mada inawezekana vipi chombo kikubwa kama ITV, superbrand wa miaka kadhaa hapo nyuma kupromote utapeli, wa hii kampuni ya kalyinda,?. Kuna kila sababu ya ITV na management nzima kuwajibika juu ya hili. in fanct ni...
Uamuzi huu umekuja ikiwa ni siku chache tangu Mathias Pogba akamatwe kwa kuhusishwa na utapeli dhidi ya ndugu yake Paul Pogba. Ataendelea kuwa mahabusu akisubiri uamuzi wa Mahakama kuhusu dhamana yake.
Taarifa za Mahakama zimesema watu wengine wanne pia wamewekwa chini ya uchunguzi rasmi kwa...
Wakuu kwema?
Kuna jamaa yangu aliniambia kuhusu ku trade instruments(mfano gold, oil, bitcoins, stocks, currency) kama inavyokuwa kwenye forex, ila hii inafanyika kwenye platform inayoitwa MTFE.
Kwenye hii kitu kuna group lao, mtu anawatumia signal ya ku buy au ku sell na wao wanafanya tu na...
Habari wakuu,
Kumekua na hii tabia inayokuwa kwa kasi inayofanywa na wadada wanaofanya kazi za nyumbani. Tabia ambayo imegharimu na inaendelea kuwagharimu watu, hivyo wanajamvi muwe makini na watu hawa mnaowachukua kwa lengo la kusaidia kazi za nyumbani.
Iko hivi, utakuwa na uhitaji wa kupata...
Kutokana na umri wangu wa kukaribia kuwa mzee, nimeamua kuwa bize na mambo ya Mungu, pamoja na kutofanya matumizi yasiyokuwa na tija.
Changamoto inakuja kwa michepuko yangu miwili; mmoja ana mtoto, mwingine ndio yuko mjamzito, atazaliwa huko baadaye.
Huyu mwenye mtoto; mara kwa mara...
Baada ya kushindwa kutoa burudani usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Next Door Arena msanii huyo kutoka Nigeria amekamatwa na Polisi.
=========
Baada ya kushindwa kutoa burudani usiku wa kuamkia leo Agosti 8, 2022 katika Ukumbi wa Next Door Arena, msanii Kizz Daniel kutoka Nigeria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.