utapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SIM Cards Kadhaa Zapatikana Polisi Wakimkamata Mshukiwa Maarufu wa Utapeli wa M-Pesa

    M-Pesa attendant mmoja Garissa alidhani anasaidiwa kufanya line upgrade. Dakika chache baadaye, line yake ilikuwa imeswap na fedha zikahamishwa kwenda account nyingine. Polisi sasa wamemkamata Edwin Mugoi, ambaye DCI inamtuhumu kujifanya Safaricom agent na kuwalenga M-Pesa attendants katika...
  2. dronedrake

    JamiiForums Tanzania Tyler Perry: Kamwe sitakuja kuoa maana Ndoa ni Utapeli

    Muandaaji na muigizaji maarufu wa filamu nchini Marekani, Tyler Perry amenukuliwa akisema kwamba "hatakuja kuoa maana anaamini ndoa ni utapeli" Ninacho ogopa siyo ndoa, bali ni talaka ambapo mwanaume hupoteza zaidia ya nusu za mali zake kumpa mtaliki wake pale wanapoachana Ameongeza kuwa...
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Umewahi kutapeliwa?

    Ilikuwa 2022 tuko kijiweni mida ya saa tano asubuhi, muda huo tume paki Pikipiki tuna piga stori, mara ikaja gali ndogo ya abiria akawa ameshuka jamaa ana begi dogo Mgongoni. Kama ilivyo kawaida bodaboda tukiona Abiria huwa tuna mkimbilia, Sasa tulivyo mkimbilia yule jamaa yeye akakataa akasema...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bodi ya Mikopo dhidi ya Nicholaus Komba

    Kuna mambo yakitokea duniani basi moja kwa moja fahamu kuwa upo ndani ya bara la Afrika na kuna upuuzi ukitokea Afrika basi fahamu tu upo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nadhani mahakama za kwetu Tanzania ndio zinaongoza kwa kutoa maamuzi kichwa kichwa sana, vitivo vya sheria ndani ya chuo...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Unatafuta Mitambo ya Ujenzi kutoka China? Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuepuka Utapeli

    Salamu zenu, wenzangu. Ninauliza swali: Ni njia gani bora ya kupata vifaa vya ujenzi kama mitambo ya kuchimba na mitambo ya kupakia kutoka China bila kuingia kwenye udanganyifu? Kuna kituo cha biashara cha kimataifa cha mitambo ya ujenzi nchini China ambacho kinalenga kurahisisha mchakato wa...
  6. USSR

    JamiiForums Tanzania Al Badir ni utapeli. Kwanini msimsomee Netanyahu

    Kila muislam anamchukia anamlaani sana ,ni miaka sasa jamaa anawapasua tu kwanini msimsomee afe aache kuwatesa Waislamu wenzenu USSR
  7. C.T.U

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa FINE MODERN HOMES ni kweli au ni Utapeli? (Uzoefu na Uhalisia wa Off-Plan Yao

    Habari za muda huu wakuu, Naomba kuwasilisha mada hii kwenu ili kupata uzoefu au taarifa za kina kama kuna mtu yeyote humu ndani alishawahi kufanya kazi na kampuni inayoitwa Fine Modern Homes. Wana mpango wao wanaoutangaza sana unaosema unalipia 40% ya gharama ya nyumba, kisha wanakujengea, na...
  8. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Kama Unafanya Uzinzi Sahau Kufanikiwa Maisha (Labda kwa Kutumia Waganga au Utapeli)

    Wakuu salamu, Leo naomba tujiambie ukweli mchungu ambao wengi watauchukia, lakini ndio ukweli halisi. Kama wewe ni mwanaume au mwanamke unayeendekeza uzinzi na ngono zembe, sahau kabisa habari ya kufanikiwa kimaisha kwa njia halali ya jasho lako. Ukiona mtu ni mzinzi wa kutupwa na bado ana...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Utapeli mtandaoni, Mawakala na wateja kuweni makini, wezi wanabuni mbinu mpya kila siku

    Kuna utapeli wa aina nyingi sana kwenye miamala ya kifedha na mtandaoni, kila siku wezi wanabuni mbinu mpya. Umakini unahitajika sana, hesabu pesa na kucheki balance kila unapofanya muamala wa kupokea kwani hata mawakala nao wanatapeli wateja, kutuliza akili ni jambo la muhimu sana. Usikubali...
  10. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Umewahi kutapeliwa unapotafuta Ajira?

    Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakilalamika kuibiwa pesa zao katika harakati za kutafuta ajira. Kutokana na uhaba wa ajira mtu anakuwa tayari kutoa chochote ili apate kazi jambo ambalo baazi ya wahuni mtandaoni wanachulia kama fursa ya kuibia watu. Sasa ni jinsi ya Kubaini Tangazo la Kazi la...
  11. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa notisi zilizotolewa kwa vijiji vya Ololosokwan, Soitsambu, Enguserosambu, Arash na Losoito

    Wizara inapenda kutoa ufafanuzi kutokana na taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu notisi zilizotolewa tarehe 4 Juni, 2026 na Ofisi ya Msajili wa Hati Mkoa wa Arusha kwa Vijiji vya Ololosokwan, Soitsambu, Enguserosambu, Arash na Losoito vilivyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Rai ya Jenerali Ulimwengu: UanaHARAKATI ndiyo njia sahihi ya kufanya siasa, vinginevyo ni utapeli wa siasa kusaka tonge kupitia vyama vya siasa

    Mwanasiasa asiye mwanaharakati ni tapeli anayesaka tonge kupitia kauli-mbiu na utambulishi wa vyama. Mwanaharakati ana lake jambo la kulisimamia kokote aliko hadi mwisho wake. Ukiniuliza mie, dharau wanasiasa, heshimu mwanaharakati
  13. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Utapeli kupitia laini za TTCL umeporomosha imani ya wateja kwa TTCL

    TTCL wanapaswa kuchukua hatua madhubuti dhidi ya watu wanaotumia laini za mtandao wao kufanya utapeli. Tatizo si hasara za kifedha pekee, bali pia kupungua kwa imani ya wateja. Leo watu wengi wakiona simu kutoka kwenye laini za TTCL husita kupokea au hupuuza maelekezo muhimu wakidhani ni...
  14. Kachina95

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine hizi dini zinatumika vibaya

    Wanajukwaa, 1.nimeshuhudia viongozi wa dini wakikemea zinaa na kusifia mauaji. Uhuni sio uhuni? 2. Waislamu walijinadi kuwa dini yao ni dini ya haki, baada ya kuona uvunjwaji wa haki umetamalaki na wao hawawezi kukemea, hivi sasa wanajiita dini ya amani, hawataki tena haki. Wahuni sio wahuni? 2...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mpina: Nusu ya Bajeti ya Serikali inaenda kutumika katika matumizi yasiyo ya uhalisia, matumizi mengine ni utapeli tu

    Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amekosoa vikali muundo wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027, akidai kuwa kiasi kikubwa cha fedha za umma kinapotea kwenye matumizi yasiyo na uhalisia na ukopaji usio na tija. Akizungumza leo Juni 23, 2026...
  16. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania KWELI Mdau anauliza kuhusu vidonge vya kupunguza unene je, kuna uwezekano wa utapeli?

    Kupitia ukurasa wa JamiiCheck kwenye mtandao wa Instagram mdau ameshukuru kwa elimu kuhusu dawa za meno, lakini pia ametaka kufamu kuhusu vidonge vinavyotajwa kupunguza unene, je kuna utapeli au vinafanya kazi kweli?
  17. idiomer

    JamiiForums Tanzania Utapeli upo huu upo? Ama kweli Bongo Dar es Salaam

    Siku kadhaa zimepita niliona jambo akili yangu ikawaza sanaaa. Je wajua jambo gani tiririka na uzi huu mwenetu. Bongo Dar es Salaam Jiji la watu wapatao milioni 6 na ushee wakubwa kwa wadogo lakini wote wakubwa. Jiji maarufu la vyakula vitatu wali, chips na ugali. Jiji lenye vyanzo...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Trump atangaza makubaliano ya kuacha vita na Iran, je utakuwa utapeli kama ule wa Gaza?

    Rais Donald Trump ametangaza kuingia mkataba wa amani na Iran. Amefanya hivyo kwenye maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwake? Je, mkataba huu utafuatwa au kuvunjwa kama ilivyokuwa huko Gaza ambapo ni utapeli mtupu au DRC? Je, ni baada ya kushindwa kufikia malengo yake kisiasa au kuchapwa kimya...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO KKPESA: Benki Kuu ifuatilie hii kampuni ya Mkopo

    Kuna application hii ya kutoa mikopo mitandaoni inaitwa KKPESA naombeni muifuatilie kwa ukaribu sana. 1. Riba zao ni kubwa na inatakiwa mkopo ulipwe kwa muda mfupi sana siku 7. 2. Siku ya 6 kabla ya kufika siku ya rejesho wanakushurutisha ulipe deni kwa nguvu kwa kutoa maneno ya kejeli na sms...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Rushwa na utapeli wa baadhi ya wafanyakazi wa Ardhi Halmashauri ya Bagamoyo

    Nimekutana na kadhia kubwa ambayo nilinunua viwanja kadhaa kwenye mfumo wa tausi eneo la bagamoyo. Na mwaka huu mwanzoni nilitaka kufatilia kupata hati ya viwanja vyangu. Ila nilishangaa kila mfanyakazi wa halmashauri ili akufanyie kitu flani ni anahitaji umlipe. Nilikaa siku mbili nafatilia...
Back
Top Bottom