usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Usiku wa terehe 29/10/25 ni usiku mzito (Dark Night) kuwahi kutokea hata kama Samia Suluhu Hassan atatangazwa mshindi na kuapishwa rasmi

    Maandamano yemeendelea kusambaa katika baadhi ya miji mbalimbali ya Tanzania Da-es-Salaam ukiwa ni mji wa kwanza kushuhudia maandamano ambayo yamejumuisha uharibufu mkubwa wa mali na majengo. Miji mingine kama Arusha, Mwanza, Morogoro na Mbeya nako kumetokea matukio mbalimbali ya uvunjaji wa...
  2. GE2025 Big up watanzania! Usiku huu tuelekee hapa

    Twende Gogoni usiku huu Twende alipo Lissu Nyumba ya Mafwele Nyumbani kwa Muliro Tumechoka! Tunataka mateka wote wakiwa live Britanicca
  3. GE2025 Mitaa ya Dar usiku huu ni shwari kabisa, panapokuwaga na foleni leo peupe peeh!

    Na kesho mida kama hii, natumai mama atakuwa ameshatangazwa mshindi kwa kishindo cha mbwa koko. Mimi nilikuwa navishangaa vyombo vya ulinzi vilikuwa vinahangaika nini, maana nchi nyingi wananchi wake hawana vinasaba vya maandamano, na mojawapo ni Tanzania. Sasa tufunge mikanda kwa miaka...
  4. S

    Ile kazi muhimu na muhimu inafanyika usiku wa leo. Kesho ni siku ya breaking news tu

    Acha wahangaike kuzuia mabasi ya mikoani hiyo kesho, wakati kazi ni leo usiku.
  5. M

    Josephat Gwajima: Naukataa ufisadi unaoendelea nchini hadi sasa. Viongozi kujilimbikizia mali na kuwasahau wananchi

    Askofu Josephat Gwajima, ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), anatarajiwa kuzungumza leo saa 2:00 usiku. Ameahidi kutoa kauli muhimu kwa taifa na kwa viongozi wake. Gwajima, ambaye amekuwa kimya kwa muda mrefu, sasa anatarajiwa kueleza jambo zito Watanzania wanasubiri kwa hamu...
  6. Muhamad alikuwa kwa usiku mmoja anafanya mapenzi na wake zake wote 9

    Hii ni hadithi ya Sahih al-Bukhari 5068, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha "Kitāb al-Nikāḥ" (Kitabu cha Ndoa): Tafsiri: Jamaa alikuwa anatembeza sana kiboko. Na hakuwa na maadili kabisa. Aliwachukulia wanawake kama ni chombo cha starehe tu.
  7. Usiku huu wewe na mkeo au mpenzio mko mnatumia style gani kukulana?

    Sisi tumetumia kifo cha mende. Nyie je?
  8. S

    Kutakuwa na surprise usiku wa kuamkia tarehe 29; Mabakabaka part 2

    Endeleeni kushupaza shingo. Ukombozi huoooooo! Hatutoi codes (mwisho wa thread).
  9. Nini unakimiss usiku wa leo?

    Nikiandika ninachokimiss kwa wakati huu na hizi akili za usiku, uzi hautapitishwa na moderators. Nimewamiss wote, harakati za uchaguzi zimeniweka mbali na JF. Vipi wenzangu mnamiss nini?
  10. Kuota unakula usiku wa manane

    Hizi ndoto zinasumbua sana sana, Huwa naota nakula masive food,iwe stew,nyamachoma,wali ugali.pilau etc Na kunakuwepo chakula kingi sana Na watu wote nawaona tunajuana kabisa hata jana nimeota nakula tilapia choma mkubwa tu. Na best friend. Problem nikiamka,sijiskii kula Chochote ,tumbo limejaa...
  11. Mbeya: Watu wa Igurusi na Chimala msitoke nje Usiku, Simba wamekata kamba na kuruka kutoka kwenye gari

    Kuna simba wanne wameruka kutoka kwenye gari maeneo ya Chimala darajani ukitokea Igurusi.. Ukitoka Igawa ukiingia chini Hospitali karuka mmoja, Darajani karuka mmoja. So usiku kuweni makini na Chimala. Kati ya simba wanne kapatikana mmoja kapigwa risasi ya Mguu ya ganzi na TANAPA wamemkamata...
  12. Ni Usiku wa manane nchi ikiwa kwenye majozi na giza nene kuhusiana na matukio ya kutisha

    Ni Usiku wa manane nchi ikiwa kwenye majozi na giza nene kuhusiana na matukio ya kutisha.
  13. Radio One hizi playlist zenu za usiku kwanini zinajirudia rudia sana

    Radio one mna shida gan playlist yenu ya usiku ipo vile vile mwaka wa 10 sasa, ata kama ni Auto DJ mnashindwa kuchagua nyimbo mchana?
  14. H

    Tusiruhusu Uharibifu, Ukombozi Uanze usiku wa 28 Oktoba

    Siku zote mapambano ya ukombozi huanza usiku wa manane. Na ndiyo maana madikteta yote yakiona mambo yanawaendea vibaya, hatua ya kwanza huwa ni kuwazuia watu kutembea usiku. Uhuru wa Tanganyika ulitangazwa usiku wa tarehe 8 kuamkia tarehe 9 December 1961. Mapinduzi ya Zanzibar yalikamilika...
  15. Usiku mnakulaga nini wenzangu?

    Hey guys, je ni sawa hivi vitu kula usiku? Nyie wenzangu mnakulaga nini usiku?
  16. Askari wa Israel usiku huu wanaingia Gaza city na vifaru vyao

    IDF inafanya mashambulizi makubwa na makubwa zaidi huko Gaza kwa saa chache zilizopita. Vishindo vya makombola hayo yanasikika mpaka Israel kwa kweli Sasa hivi Gaza wanakipata kipondo cha kufa mtu
  17. Mikumi kuwa makini usiku huu, kuna lori linawaka moto

    𝗧𝗨𝗡𝗔𝗢𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔 𝗕𝗔𝗥𝗔𝗕𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗕𝗘𝗬𝗔, 𝗠𝗜𝗞𝗨𝗠𝗜 𝗠𝗕𝗨𝗚𝗔𝗡𝗜 𝗞𝗨𝗡𝗔 𝗟𝗢𝗥𝗜 𝗟𝗜𝗡𝗔𝗪𝗔𝗞𝗔 𝗠𝗢𝗧𝗢. 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗘𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗛𝗔𝗗𝗛𝗔𝗥𝗜
  18. Pamoja na kufungiwa, Watu elfu 12 tupo online usiku huu Jamiiforums

    Teknolojia sio sawa na kwenda kumteka mtu kisa kachoma picha ya Rais. Kwa Mamlaka na Cheo chako, Unaweza kutakani kuona mtu haiingii online ukashindwa. Kiko wapi? Uliotamani tusihabalishane ndo kwanza tumefungulia.
  19. Kukulana mchana vs kukulana usiku

    Hivi wakuu Kati ya kupigana miti mchana vs kupigana miti usiku ipi inanoga?
  20. D

    PolePole kuzungumza na Umma kesho tarehe 1/9/2025 saa 3 usiku.

    Ameahidi safari hii lazima wahuni wapoteane.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…