Mke wangu muda wote yuko busy kwenye mitandao ya kijamii. Nikimwambia kwamba namhitaji, ananiambia nisubiri amalize kufanya Live kwanza!
Tabia hii ni ya muda mrefu. Ilifika hatua nikamwambia mama yake (mama mkwe) kuhusu mwenendo wa mke wangu. Lakini licha ya kuonywa, bado ameendelea na hiyo...
Kuna shangingi wa kisiasa anataka ligi na Heche. Anadhani kwa maneno Yake ya kishangingi ataweza kuipasua gnome ya CHADEMA.
Tundu Lissu kisha sema yupo tayari kulipa gharama, hata kama mtaamua mumnyonge Leo, Yuko tayari, lakini si kumpigia magoti kinyago yoyote au mwanasesere yeyote. Huu ni...
Pengine Wewe si mnyenyekevu, ni vile unakabiliana na mtu mwenye nguvu kuliko wewe
Wewe si mkarimu, unataka tu kununua kukubalika na kuthaminiwa na watu wengine
Wewe si mvumilivu, huna tu namna nyingine ya kufanya
Wewe hujajitenga na tamaa za vitu vya kimwili, huna tu uwezo wa kuvinunua
Wewe...
Tanzania tuna silka moja ya kuongea uongo hasa linapokuja suala la wakati. Mtu anakuambia nitafika hapo baada ya dakika kumi halafu anafika baada ya saa nzima. Mkutano unaotakiwa kuanza saa tatu asubuhi unaanza saa tano asubuhi. Kiongozi alisemwa atafika saa nne asubuhi anafika saa sita mchana...
Barcelona leo wakiwa nyumbani wanatukaribisha vijana kutoka Madrid kwenye mchezo mkubwa na wenye msisimko.
Barcelona anaingia kwenye huu mchezo akiwa favourite kwasababu ya home ground lakini pia recently performance kwenye Laliga ambapo katika mechi zote 8 alizocheza hajapoteza alama hata...
Nimeitoa sehemu.
Binti anakaribia kuolewa hivi karibuni, kungwi wake kamwambia kuwa inabidi awe msafi sana hapo kwenye nyumba yake, moja ya kitu alichomwambia ni kuhakikisha jiko lina kuwa safi na lenye mpangilio mzuri,
Ahakikishe hakuna chombo kichafu kinakuwepo jikoni muda wowote hata usiku...
Habari wana JF,
Swali ninalopata mara kwa mara: "Nimeweka CCTV, lakini usiku picha ni giza, ukungu au nyeupe kabisa — kwa nini?" Uhalifu mwingi hutokea usiku. Kama kamera yako haioni vizuri gizani, umelipia kitu kinachofanya kazi nusu tu. Leo nitaeleza kwa lugha rahisi jinsi night vision...
Maboss. Nimefika saa 10 jioni. Nimetokea Sengerema, sehemu nilizopita hadi sasa.
1. Daraja la Magufuli/Busisi.
2. Stendi ya Mabasi ya Nyegezi.
3. Nimeona Ujenzi wa SGR sema imepelekea kuziba view ya Ziwa unavoingia Town from Geita Rd.
4. Nimeenda Airport.
5. Nimeenda hadi kule mlimani...
Unazinduka katikati ya usiku wa manane.
Huwezi kusogeza kiungo hata kimoja. Kifua chako unahisi kizito sana, kama kuna kitu kikubwa kimekukaa. Unajaribu kupiga kelele lakini sauti haitoki. Unahisi uwepo wa kiumbe fulani chumbani kwako kitu ambacho hakipaswi kuwepo hapo.
Muda mfupi baadaye...
Wakazi wa Kongowe na Misugusugu, Kibaha, tumekuwa tukikabiliwa na changamoto ya harufu kali inayotoka katika kiwanda cha pombe kilichopo Misugusugu.
Harufu hiyo hujitokeza zaidi kati ya saa 7 na saa 9 usiku, wakati ambapo wananchi wengi wanakuwa wamepumzika. Hali hii inatukosesha utulivu na...
Anonymous
Thread
harufu
harufu mbaya
mbaya
nyakati
usikuusiku wa manane
Tanzania ina mambo ya kushangaza sana wazee. Hivi unaanzaje kutoa mtonyo wa milioni moja kwa usiku mmoja tu kulala na demu kwa kisingizio ni A class? Dem anaejiuza ambaye pengine jana alikuwa na mteja mwingine, na kesho yake ana wateja wawili
Maneno ya Askofu
"Haki huinua taifa... Taifa lolote ili liendelee linahitaji kutenda haki. Na mtenda haki wa kwanza anaitwa Rais wa nchi, huyo ndiye 'right maker' wa haki."
"Taifa limetenda dhambi mbaya. Yaani tuko kwenye dhambi mbaya. Mungu anasema, 'Haki huinua taifa'... Lazima asimame kwa...
Wakuu kwema,
Nimefungua biblia leo nime kutana na ukurasa huu moja kwa moja basi nikaona ndio ukurasa ambao nilipaswa kuusoma kwa leo na nikaona ni share
ujumbe wake ulikuwa sio wa kawaida ulikuwa ni mkali sana wenye tumaini na maonyo.
vijana someni biblia
Danieli 12:2-7
2 Tena, wengi wa hao...
USIKU HUU NIMEKAA KIMYA, LAKINI NDANI NINA KELELE NYINGI SANA.
Sina mzuka wa kitu chochote leo. Hata jambo la kawaida kabisa kama kupata chakula cha usiku limekuwa jambo kubwa kwangu. Nimekaa tu nikitazama maisha, nikijiuliza nimefika hapa kwa sababu gani na kesho nitainukaje.
Kuna muda mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.