usa

  1. A

    JamiiForums Tanzania Saud Arabia na Qatar Zimemruhusu Iran Apige Base Za USA Kwenye Ardhi zao

    Habari ndio hio ya mjini fresh kabisa Saud Arabia, Qatar, na inasemekana pia Iran atapiga base iliopo UAE, Oman, Kuwait Warabu wameisha choka na ujinga wa USA wamewapa green light Iran wapige base ya USA kwenye nchi zao kama USA akishambulia Iran. Safari hi USA kaukalia wacha awe anatafuta...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo katiba mpya: Lazima kuwe na Bunge la Senate kama Kenya na USA

    Mapendekezo katiba mpya: Lazima kuwe na Bunge la Senate kama Kenya na USA. Idadi ya wabunge ipunguzwe na iendane na idadi ya watu. Kila mkoa uwe na maseta wawili tu. Senate vilevile itasaidia kwa wale watakao laumu wana wabunge wachache.
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Gen. Muhoozi Kainerugaba deletes posts accusing USA aiding Bobi wine.

    Gen. Muhoozi Kainerugaba Ugandans army chief and son of President Museveni apologized to the United States after accusing them of plotting to smuggle opposition leader Bobi wine out of the country. “I want to apologize to our great friends the United States for my earlier tweets that I have...
  4. A

    JamiiForums Tanzania USA kakimbia baada ya kupewa Warning na Iran

    Kelele za Trump oh dunia itaona majabu katika hi week kweli tumeona kweli, bada ya Iran kumwambia tunafanya exercise carries zote zipelekwe 500 Miles ama kama zitabaki zita tandikwa hatutanii ikabidi USA wakimbie.
  5. JamiiForums Tanzania Iran yaipa onyo USA!!!

    Iran imesema shambulio lolote kutoka USA litajibiwa vikali bila kupepesa macho. https://x.com/cnnipr/status/2016201365224108519?s=20 Tehran limewekwa bango linaonyesha Machumachuma ya USA yakizamishwa. Kazi kwa Trump sasa, ashupaze shingo.
  6. JamiiForums Tanzania ice-USA, mwenye uelewa, sijaelewa!

    bado sijaelewa hivi hawa ice ambao wako kwenye news kila mahali tatizo liko wapi? kwa nini stress hizi zoote na maandamano ya kuwapinga, je, wanaonea watu au tatizo ni nini? nilifikiri labda wanafanya control ya watu ambao wako nchini USA illegally au kwa maneno mengine hawakupswa kuwepo USA...
  7. JamiiForums Tanzania Trump aionya Iran dhidi ya kuua waandamanaji, asema USA itashambulia

    Ayatollah ameonywa athubutu kuua hao waandamanaji, atashushiwa mavitu na kuwahishwa kule kwa mabikira, aache watu waikomboe nchi yao kutoka kwa uzombi wa dini. ======================================= Trump warns Ayatollah ‘we will start shooting if you do’ as Iran rocked by another night of...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tujiulize Kwanini ndugu zetu wa Kenya hawapo kwenye kuzuiwa na USA!!

    Hapo chini hakuna majirani na ndugu zetu wa Kenya kwasababu wenyewe wana katiba, HAKI, demokrasia hivyo pamoja na kwamba ni majirani na ndugu zetu hawamo. Vilevile Kenya walipewa $1.6B kwenye Afya Nigeria, Angola, Senegal, Tanzania, Gabon, Benin, Mali, Burkina Faso, Niger, South Sudan, Chad...
  9. JamiiForums Tanzania Kiduku wa Korea kaskazini kwenye pigo za wanaume USA ama Israel huingia chimbo kijificha

    Rais korea kaskazini ni comedian Sana Mambo yakishaharibika yeye huingia kwenye mahandaki na masigara yake hatoki hadi Hali itulie🤣🤣 Israel alivokuwa anamshughulikia Iran alikauka Kama hayupo duniani😁 Sasa hivi rafiki yake maduro wa Venezuela anakaangwa na USA kenyewe hakana habari...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Je USA inaweza kuishi peke yake akitengwa na dunia nzima? Maana anachokifanya sasa ni wendawazimu

    1. Amevamia Venezuela 2. Ameua binti huko kwake kwa kutumia askari wa immigration 3. Anataka kuitwaa Greenland kwa nguvu 4. Anawaza kuivamia Columbia 5. Kote alikosulujisha ameshindwa..Rwanda na Congo; Thailand na Cambodia; Israel na Palestine etc etc 6. Amejitoa mashirika mengi ya kimataifa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: USA inaweza ”kuzichapa" Russia na China ikizuka vita kugombea Venezuela?

    China na Russia wana maslahi makubwa Venezuela. Wana biashara ya mafuta. Leo USA amekamata meli za Russia. Suppose China na Russia wanaamua kuingia kwenye vita na USA, nani atatoka mshindi! Denmark anaimudu maana anataka kuinyakua Greenland for security reasons!
  12. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Greenland kwa USA, CHINA na RUSSIA. Mwaka huu tutegemee migogoro mingi mikubwa

    Lengo la Marekani (USA) kutaka kudhibiti au kuwa na ushawishi juu ya Greenland halimaanishi tu “kuitwaa ardhi”, bali linahusiana na maslahi makubwa ya kimkakati, kiusalama na kiuchumi. Kwa ufupi, sababu kuu ni hizi: 1. Usalama wa Kijeshi (Military & National Security) Greenland iko katikati ya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Inashangaza kuona China anayeikalia Taiwan na Russia aliyevamia Ukraine anailaumu USA kuivamia Venezuela

    Russia imeivamia Ukraine, inaua watu, uchumi etc etc China "inaikalia" Taiwan kinyume na matakwa ya wananchi wa Taiwan. Leo wanatoka na matamko ya kuilaani USA. Moral authority hawana kuisema USA!
  14. JamiiForums Tanzania Hivi mnafahamu baada USA kumkamata raisi wa Venezuela kulikuwa na ajenda ambao walijitokeza wakiwa upande wa CCM na account zao,Haya angalia na hii

    Huu mtandao wa propaganda ambao unatumika sana CCM ulipoona delta force imemkamata raisi wa Venezuela nao wakaja kwa njia hii . Kama walikuwa wameona hiyo ndo habari mbona ya Venezuela wajaweka. Hili group la CCM lina amrisha sana .
  15. JamiiForums Tanzania Yanayojiri Venezuela na Duniani baada ya Kunyakuliwa Nicolas Maduro. Russia, China na USA

    Venezuela ilikuwa ikitizamwa kwa macho ya matamanio na mataifa haya makubwa ya RUSSIA, CHINA na USA. Kwa muda mrefu. USA amewahi kuinyakua makusudi akijua kama angechelewa wenzake wangefaidika nayo.
  16. JamiiForums Tanzania Utekaji wa USA kwa maditekta utafanya maditekta wengine walale sehemu zisizojulikana.

    Ile misheni mpaka maduro anakamatwa ni kwamba walijua ramani ya jengo mpaka stoo ya kuweka chawa wakiwa wanawaponda wapinzani. Kwa kiwango kile lazima kibadilishe mshituo wa mbinu nyengine kwa maditekta sasa katika makazi. Kuna mmoja tokea October 29 aliyofanya usije shangaa kumkuta nyumbani...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Marekani ina independent Judiciary, Je mahakama ikimuachia huru Maduro, what will follow from Trump?

    Just to think beyond borders! Suppose Maduro mahakama imemuachia huru, hana hatia je Trump atamruhusu kurudi Venezuela? Nini Trump atafanya?
  18. JamiiForums Tanzania Trump ametumia saa mbili tu kukifanya kitu kilichomshinda Putin kwa miaka 3

    Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!! Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi. Imagine unakuja kukamatwa...
  19. JamiiForums Tanzania Tafakuri: Mambo 10 ya kujifunza baada ya USA kumnyakua rais Maduro wa Venezuela

    VIDEO: Wananchi wa Venezuela wakishangilia anguko la Maduro na genge lake madarakani Great Thinkers, nawakaribisha tuchambue tukio la kukamatwa rais Nicholaus Mafuro wa Venezuela Marekani akikutaka atakunyakua tu hata kama Uwe na Ulinzi mkali kiasi gani, yeye atakutwaa tu akikutaka. Ushirika...
  20. JamiiForums Tanzania USA na ISRAEL ni nchi bora katika "ACTIONABLE INTELLIGENCE" , ingawa naishi kadumbwi chini chini ila naona fahari kuishabikia US/ISRAEL.

    Wanajitahidi sana katika utulivu wa dunia angalau, Simaanishi wao ni perfect ila anagalau kwa miendendo yao usalama na haki zinafanyika duniani ebu jaribu kufikiria dunia ilio chini ya urusi, uchina, uturuki, qatar na iran🤢🤮
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…