usa

  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Baada ya USA kuipa kisogo Tanzania baada ya matukio ya Oktoba 29. Urusi ya Putin inaweza kuwa msaada?

    Naona kuna dalili kubwa kuwa taifa letu lina hali mbaya sana maana Usa na mataifa ya magharibi wamelitupa. Kukimbila kuwa karibu na Urusi kunaweza kuwa msaada kwa taifa hili ambalo mpaka sasa limechafuka dunia nzima kwa kuwa na serikali ambayo inatuhumiwa kuua watu ili ibaki madarakani? Pia...
  2. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USA Government Deploys Ebola Specialists To Kenya

    The U.S. Public Health Service Commissioned Corps is deploying a team of highly trained officers to Kenya to support the care, monitoring, and quarantine of American citizens departing the Democratic Republic of the Congo as part of a coordinated interagency effort with the State Department and...
  3. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Section No 5 kwenye muswada wa Maseneta wa Marekani ni msiba mzito kwa CCM na Serikali yake

    Ukisoma hiki kifungu namba 5 kwenye huu mswaada ambao kiuhalisia lazima baadhi ya viongozi wataingia kwenye shida hii kubwa Nimejiuliza Sana mwenyewe kuwa kwanini serikali omepaniki Sana nikaja kugundua kilichomo ndani ya hii bill ni jeneza kabisa Kwa CCM... Ebu soma hapa utapata jibu MAREKANI...
  4. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Baada ya Marekani, Mataifa ya Ulaya na Canada wanafuata

    Kwa nchi zinazojali utu, huwezi kushilikiana na serikali katili ya CCM. Kwa sasa ipi tofauti ya CCM na vikundi vya kigaidi kama Hamas, ISS, na Boko Haram. Maana wote wanaua,wote wanateka,wote wanalawiti, wote hawafati demokrasia. Kama ilivyotokea Zimbabwe, haiwezekani US akupige Pini then UK...
  5. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Picha: Polisi USA VS Polisi wa Tanzania

    Kushoto ni Polisi wa New York wakiwa darasani kujifunza mbinu za kukabiliana na majanga mbalimbali. Kulia ni Polisi wa Tanzania wakiwa kwenye maonyesho ya namna walivyo wakakamavu na wanaweza kubeba pikipiki na kukimbia nazo
  6. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha wachezaji 26 cha Uingereza ( England ) Chini ya Thomas Tuchel kuelekea kombe la Dunia 2026 ( USA , Mexico , Canada )

    Tayari mkufuzi Tuchel kataja majina ya wachezaji watakao wakilisha Taifa la Uingereza ( England ) kwenye mashindano ya Kombe la Dunia Kikosi hiki kimepokelewa kwa mitazamo tofauti na wapenzi wa soka ulimwenguni ( mashabiki ) kukosekana kwa Wharton toka Cyrstal Palace , Levi Colwill toka...
  7. R

    JamiiForums Tanzania My worry is rhis ; Mafwele does not need going to the USA

    Haya Mafwele hayamashitui maana hana haja ya kwenda Marekeni! Hivyo Pompeo you need to do more than maneno
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe USA mdabwada, Iran ameshinda?

    Nilitegemea within a week or so, Iran awe " amekufa". Mpaka leo anadunda tena kwa kishindo cha ushindi! Kumbe USA ni maneno tu hana ubavu wa kupigana Vita! I stand to be corrected!
  9. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Balozi Mteule wa USA Tanzania: Tanzania bado ni mshirika muhimu wa Marekani

    Balozi mteule wa Marekani nchini Tanzania, William Trachman, amesema pamoja na changamoto zilizojitokeza baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, bado Tanzania inaendelea kuwa mshirika muhimu wa Marekani katika biashara, usalama na maendeleo ya kikanda. Katika hotuba yake mbele ya Kamati ya Seneti ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Chancellor wa Ujerumani awalipua USA,asema Taifa la USA limedhalilishwa na Iran kwenye vita na Trump na uongozi wake wamekosa mipango

    Taifa zima la marekani limedhalilishwa na uongozi wa Iran tena haswa hao wanaoitwa Irgcc.:-Chancellor Merz -Wa Iran wananguvu ambayo haikutarajiwa na waMarekani hawana mipango ya kweli ya kushawishi hata kwenye negotiations. -Kwahali ya sasa sioni marekani kama wana mipango au maono ya...
  11. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Jeshi la anga la USA limeishambulia meli ya Korea kasikazini ikiwa na askari 13,000 kuelekea Urusi?

    Je, ni upi uhalisia wa chapisho hili linalosambaa kwa kasi sana kwenye mitandao ya kijamii?
  12. R

    JamiiForums Tanzania NIULIZE SWALI: Hii vita ya USA, Israel vs Iran, nani mshindi?

    Mbabe ni nani? Naona kama vile Iran anawapelekesha puta hawa magwiji wa kila kitu duniani! WHO IS THE WINNER Echolima1
  13. M

    JamiiForums Tanzania Video: meli ya kivita ya USA ikionywa Iran

    https://x.com/i/status/2043323988626006518
  14. M

    JamiiForums Tanzania Washiriki 300 wa USA dhidi ya 2 wa Iran huko Pakistani

    USA Imetuma timu ya washiriki 300 wa USA dhidi ya 2 wa Iran huko Pakistani katika majadiliano ya kuacha vita.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Viza za biashara na wanafunzi kwenda USA zimesimamishwa : Sio nzuri kwa wafanyabiashara

    Viza za biashara na wanafunzi kwenda USA zimesimamishwa : Sio nzuri kwa wafanyabiashara Wakati machawa na ndugu wa Samia wakifurahia mauaji ya vijana wetu wafanyabiashara wa kimataifa hali sio nzuri maana hawawezi kwenda kuongea na wawekezaji au kampuni ubia za marekani na hii inasababisha...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Pakistan Kawauza USA na Iran Kwa Ceasefire Ya Uwongo

    Pakistani ni mshenzi sana kawapo Iran fake document kuwa America kakubali masharti yake na pia America kawapa fake document kuwa Iran kakubali masharti yake kwa hio kila mmoja akawa na proclaimed kashinda vita https://youtu.be/vi1DUuCgj9g?si=Mt26d3aatUCTQXVQ
  17. technically

    JamiiForums Tanzania Hii vita ya Marekani na Washirika wake dhidi ya Iran ndio imeonyesha siasa ni unafiki duniani kote

    Ukiziondoa nchi Kama Spain,India,Brazil na South Africa ambazo zimejitenga na uongo na unafiki wa dunia. Nchi nyingi duniani zimeonyesha unafiki na mnafiki mkuu wa hii duniani ni Marekani. Imagine nchi inayoitwa ya kidemocrasia baba wa democracy mpaka Sasa vita mwezi kafukuza majenerali 8...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Uokozi wa Afisa wa Silaha wa USA wa Ndege Iliyodunguliwa, Iran Yafanya Makosa Makubwa, na Kusababisha Vifo vya Raia

    Baada ya ndege ya Marekani F-15E kudunguliwa na Iran, na rubani na mtaalam wa silaha kutoka ndani ya ndege kabla haijadondoka chini, pande zote mbili, Iran na Marekani zilianza kuwasaka manusura. Ni Marekani ndiyo ilipata mafanikio ya awali yaliyowezesha kumwokoa rubani. Huku mtaalam wa silaha...
  19. Doto12

    JamiiForums Tanzania Hawa waandaa maudhui wa Ulaya na Marekani siwaelewi. Kama huyu wa USA

    Hawa jamaa wamekuwa mabeberu. wanaona sisi hatuna kazi za kufanya tununue MB tuangalie sarakasi.zao mtandao. Nina wablock kabisa. Wanaona sisi ni vyanzo vyao vya mapato. bora hata yule aliyejapani. Kuna mmoja sijui anaitwa kakulilo sijui mamboa anayotuma ni bery expensive nilimblick kitambo...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Vita ya USA Israel na Iran wote wameishiwa ADS imekua piga nikupige

    Ni hakika kabisa pande zote mbili katika vita hii ambayo USA akishirikiana na Israel kupigana na Iran,pande zote mbili zimeishiwa Air Defense Systems,kilichobaki hivi Sasa imekua ni piga nikupige. Ni kweli zipo chache zilizofichwa sana lkn naamini sehemu kubwa sana ya hizi ngao zimekwisha...
Back
Top Bottom