upumbavu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipenzi Changu

    Hizi sio siasa,bali ni ufitini na upumbavu wa kinyaa

    Unaacha kueneza sera na itikadi ya chama chako, unaeneza chuki na kuthibitisha huko hamtumii akili kabisa. Hata ile heshima ndogo mnayopewa kwa sababu ya nafasi zetu mnaipuuza. Mmfunge kwa hila baba wa watu halafu bado mumfitinishe.
  2. Sifi Leo

    Ccm acheni upumbavu aliyekufa leo ni mwaccm mwenzenu ingawa alidai yeye ni wa Nyerere sio wenu nyie matapeli toeni pole tu kwa familia ya Lissu mbona.

    Mbona Lissu alimpa pole Samia hata alipokuwa jera? Nawakumbusha tu alute ni mwanaccm mkongwe jamani toeni pole .
  3. R

    Lema: Kuna upumbavu ulisemwa nikaambiwa nisiite press, leo nilisema kuliko niahirishe nitaahirisha kuishi

    Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Novemba 1, 2026, Mwanasiasa mkongwe na Kada wa CHADEMA, Godbless Lema ameeleza kuwa aliamua kuendelea na mkutano huo licha ya kushauriwa na baadhi ya watu kuahirisha hadi baada ya tarehe sita ambapo itatolewa hukumu ya mwenyekiti wao.
  4. min -me

    Acha upumbavu wa kuiga .

    Ukisikia mimi na lewa kila siku, acha upumbavu wa kuiiga. wewe ulikia wapi kuna binadamu hapungikiwi na pesa yeye pombe tu😆😆 Utafeli hizo,figo maini sisi tutabaki tukiwacheka tu 😆😆😆😆😆
  5. Hekima ni Mwalimu

    Usimtoe mpumbavu katika upumbavu wake

    Kuna watu ni wapumbavu hawafundishiki yaani kujaribu kuwafundisha ni sawa na kuzungumza na upepo. Mpumbavu anaweza akajua njia sahihi ya kufanya jambo fulani lakini yeye akafanya kwa kuongozwa na hisia zake . Mpumbavu hushikilia alicho kiamini kwa akili zake . Bila kuwa na evidence kutoka...
  6. Yoda

    Wauza migahawa acheni upumbavu, hakuna chai bila majani ya chai.

    Huwa napatwa na hasira sana nikiagiza chai halafu naletewa maji ya moto ya viungo sijui ya tangawizi, mdalasini, hiliki, lemon grass, majani ya mapera n.k ndio ninywe kama chai. Chai lazima iwe na majani ya chai ( tea leaves-Camellia sinensis), hivyo vingine ni vikorombwezo tu na sio chai.
  7. Nyani Ngabu

    CHADEMA wakija kukubali huu upumbavu ndo utakuwa mwisho wao

    1. Samia ni muuaji. Hakuna aliyemchagua awe Rais. Yeye na hilo genge lake analotawala nalo ni haramu. Nchimbi naye alikuwa haramu. Ndejembi naye ni haramu. Kwa sasa nchi haina uongozi ulio halali na uliopewa ridhaa ya kuongoza na wananchi. Watu wanaomuita huyo Samia ‘Rais’ wanakera sana na ni...
  8. prida

    Naamini katika wilaya yangu yote ni mimi pekee nisiyeamini huu UPUMBAVU.

    Juzi kati nilitembelea watoto yatima sehemu fulani maporini huko na nikiwa huko nilihisi kung'atwa na kitu then kurudi home wakati naoga nikaona pale mahali pamevimba.Na palivimba na kuwasha sana kwa kama wiki nzima huku dawa nilizopewa hospitali kutosaidia kit. Tukiwa kitandani shemu wenu...
  9. Zack Abdul

    Harakati ni kupambania yale ambayo yanaonekana hayako sawa

    HARAKATI siku zote huwa zina lengo la kupambania yale ambayo tunadhani hayako sawa kwenye jamii na yale ambayo tunadhani yalitakiwa kufanywa kwa mtazamo mwingine kabisa na huwa zinakuwa na lengo la kuikumbusha serikali au watawala juu ya mambo fulani fulani. HARAKATI haiwezi kugeuzwa kuwa ni...
  10. Anana_

    Tabia ya wapenzi kuvujisha faragha baada ya kuachana ni akili au upumbavu?

    Salaam JF tuwe makini hili linaweza kumkuta yoyote. Kumekua na tabia ya baadhi wapenzi baada ya kuachana huvujisha faragha zao kama voice, picha au video walizoshiriki wakati wa mahaba motomoto na kuzua taharuki. Uenda usababishwa na mihemko, hasira au kukomoana. Nini kifanyie kukemea hii...
  11. Titicomb

    Ujasiri: Maliyamungu wa Uganda, Ukimya wa watu wema huruhusu upumbavu kukua

    Nimekutana na bandiko moja la hadithi ya Idd Amin na ujasiri wa Maliyamungu(Maliyamungu) nikamkumbuka shujaa Humphrey Polepole na ushujaa wa kanisa Katoliki. Andiko limeandikwa kwa kiingereza nikatafsiri kwa kiswahili kwa msaada wa Chatgp. Soma hapo chini :- Wanasema hofu huwafanya hata...
  12. Chizi Maarifa

    Tusipojitambua sisi sote tutanyakuliwa. Tunashabikia kiama na anguko letu

    Kuna makundi yamejigawa. 1. Urusi 2. China 3. Amerika Miafrika inadhani adui wa Marekani ni rafiki yao. Na hivyo hivyo kwa Mchina na Mrusi. Tulimuunga mkono Russia kuivamia Ukraine. Inakuja Marekani na Green land Inakuja China na Taiwan. Wakimaliza watahitaji rasilimali vitu na hapo ndo...
  13. Genius Man

    Kuwapangia wabunge nini cha kuongea Bungeni (wasifie tu) ni ujinga na upumbavu

    kuwapangia wabunge nini cha kuongea bungeni wasifie tu ni kinyume cha sheria na hakina msingi wowote ni ujinga na upumbavu. Nimesikia wabunge wanapangiwa cha kuongeea bungeni tena huongei mpaka uwe kwenye list kama watoto wa shule ya maingi. suala hili linalivua nguo taifa zima kwa ujumla na...
  14. ngara23

    Ni upumbavu mtu mweusi kuishi tamaduni za kiarabu

    1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, salamaleko alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake, Hivi ukisema Asante Mungu utakufa? 2. Mgogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu? Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu...
  15. Lord Denning

    Kwa kiwango cha Upumbavu kilichopo kwa wana CCM sasa, ni lazima litokee jambo zito dhidi yao kuwafanya Wajifunze maana ya Utawala Bora.

    Nimetoka kuangalia video fupi ya ugomvi baina ya Mbunge Msukuma na Mtu aliyeelezewa kama Muwekezaji. Katika video ile ukimsikiliza kwa makini msukuma na yale mazungumzo yake na yule anayeitwa muwekezaji utaelewa mambo yafuatayo; 1. Msukuma anaamini yeye ni sehemu ya Serikali na Serikali ndo...
  16. Genius Man

    Hatuuchukulii utekaji na mauaji kama vitisho bali ni upumbavu na ujinga unaofanywa na watu wasio na akili

    Hatuuchukulii utekaji na mauwaji kama vitisho bali ni upumbavu na ujinga unaofanywa na watu wasio na akili kwa vile huna akili.
  17. Genius Man

    viongozi wa kiafrika tunapaswa kuiga nchi zilizo endelea tuache ujinga na upumbavu

    viongozi wa kiafrika tunapaswa kuiga nchi zilizo endelea tuache ujinga na upumbavu
  18. THE BIG SHOW

    Kama waumini kupeleka malalamiko yao Vatican ni ulofa, njaa na upumbavu, kwanini Kanisa Katoliki linahangaika kujisafisha?

    Friends and Our Enemies, Kanisa Katoliki kupitia kiongozi wao Ruwaichi limeingia kwenye vita kali ya maneno na majibizano na waumini wake mara baada ya waumini hao kuandaa maandiko na kuyapeleka VATICAN ambako ni makao makuu ya kanisa hilo kuwashitaki viongozi wa kanisa hilo wa hapa nchini kwa...
  19. F

    Hili la kutokuhojiwa ushindi wa rais mahakamani, ni upumbavu mkubwa. Trump alipelekwa mahakamani, Olmert wa Israel, Sarkozy, Park Gen-hye, soon Bibi"

    Hawa viongozi wa Tanzania wanajifanya miungu mtu, eti hata waibe vipi hawawezi kushtakiwa mahakmani,, na matokeo hayawezi kupingwa mahakamani! Huo ni upumbavu mkubwa unaorudisha demokrasia nyuma na kuwafanya marais wa Tanzania sawa na miungu. Mahakamani ni mahali pa kutafuta haki, sasa...
  20. H

    Kinachohitajikiwa ni Haki, Kinachoitwa Maridhiano ni Upuuzi Unaotakiwa Kupuuzwa

    KUna jambo la kushangaza sana, wauaji na wadhulumaji haki, baada ya kuua watu kwa maelfu, kutrka watu, kuendelea kubambikia watu keshi, baada ya kudhulumu haki, eti wanasema wataanzisha maridhiano. Tuwakatalie hawa watu wapuuzi na upuuzi wao. Watanzania hawahitaji maridhiano, bali wanahitaji...
Back
Top Bottom