uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ni nani anapanda mbegu ya uongo, wizi, uhuni katika Uongozi na Utawala wa Tanzania?

    Tumsikilize Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam
  2. N

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ya Mtaa Yombo Vituka, mnatuchanganya, wekeni ufafanuzi wa kiasi cha kulipa “hela ya Taka”

    Mimi ni Mkazi wa Kata ya Yombo Vituka, hapa mtaani kwetu moja ya kero kubwa ni kukosekana kwa utaratibu mzuri wa utaratibu wa kulipia malipo ya taka. Viongozi wetu wa Serikali ya Mtaa wanaweza kuona ni kitu kidogo lakini kina kera, kwanza tunapolipa tunatakiwa kulipa kwa kila chumba au kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Wapiga kura wengi zaidi Tanzania wana imani kubwa mno na wagombea uongozi wa CCM pekee

    Hali hiyo hupelekea CCM madhubuti, kupata ushindi wa kishindo kwenye chaguzi zote huru, za haki na za wazi na kisha kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana. CCM hutumia dhamana na fursa hiyo ya uongozi vizuri sana na kwa weledi mkubwa mno, kuwafanyia waTanzania...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Demokrasia imekomaa sana nchini, kata yangu ina wagombea uongozi wa kijiji wa CCM pekee

    Asante sana vijiji vyote vitano kwa namna mnavyokiamini na kukikubali Chama Cha Mapinduzi. Shukran sana kwa kuamua kuongozwa na vongozi makini na waaminifu wa CCM. Ni kitongoji kimoja pekee ndio kina mgombea dhaifu sana kutoka upinzani, hata hivyo nampongeza kwa ujasiri aliokuanao licha ya...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kuanguka na kusimama kwa safari ya uongozi kwa wanawake wenye ulemavu waliofanikiwa Zanzinzibar

    Msanii maarufu wa kimataifa Stevie Wonder mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka Nchini Marekani mwenye ulemavu wa macho ambaye pia ni mjumbe wa amani wa Umoja wa Mataifa, ameweza kusikika akisema."Mtu kuwa na matatizo ya kuona haina maana kwamba hawezi kuona matatizo tunayopaswa kuyatatua...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Barwan Salum: Walemavu watolewe hofu na wahamasishwe kuwania nafasi za uongozi

    Tanzania ni taifa ambalo katika miaka kadhaa nyuma lilikumbwa na mauaji makubwa ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) haswa kipindi cha uchaguzi kilipokuwa kinakaribia. Licha ya matukio hayo mwaka 2010, historia iliandikwa na Barwan Salum baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Lindi...
  7. JamiiForums Tanzania Halima Mdee, Dorothy Semu, na Dkt. Dorothy Gwajima ni baadhi ya mifano Bora ya Wanawake kwenye Siasa na Uongozi

    Halima Mdee Alikuwa Mbunge wa Kawe kuanzia 2010 hadi 2020 (CHADEMA) akiwa miongoni mwa Wanawake wachache walioweza kuingia Bungeni kwa kupitia vyama vya Upinzani. Aliwahi pia kuwa mwenyekiti wa BAWACHA Dorothy Semu Mwaka 2020 aliteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti Bara na Chama cha ACT-Wazalendo...
  8. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba mlifanyie hili kazi

    Picha hii inaonyesha tangazo kuhusu kifo cha Majidi Mpemba, ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la klabu ya Simba. Inaelezwa kuwa amefariki tarehe 19 Oktoba 2024 kutokana na msongo wa mawazo (presha) baada ya tukio la Yanga kupewa goli batili na Simba kunyimwa penalti mbili wazi na za halali...
  9. JamiiForums Tanzania Simba na Taifa Stars: Changamoto na Nini Kifanyike Kuleta Mabadiliko ya kweli

    Kama wewe ni shabiki wa mpira wa ndani na nje, ni rahisi kugundua tatizo kubwa linaloikabili timu ya Simba, ambalo pia linaathiri timu yetu ya taifa, Taifa Stars. Shida kuu iko kwenye safu ya ushambuliaji—kimsingi, Simba haina makali mbele. Kazi kubwa inafanywa vizuri sana kutoka nyuma hadi...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Ushahidi Mungu alimbariki Yakubu na kizazi chake kuwa miongoni mwa watu wema , waliokakabidhiwa ukuhani, kitabu , uongozi na neema kubwa

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeweka nukuu za aya mbili kwa lugha ya kiswahili na kiingereza kwa ajili ya rejea yenu. ✓Tulimbariki kwa Isaka kama mwana na Yakobo kama mjukuu, kama fadhila ya ziada, tukiwafanya wote kuwa waadilifu. Na tukawafanya viongozi kwa kuongoa kwa amri yetu, na tukawapa...
  11. JamiiForums Tanzania Hamisi Kigwangalla: Siasa na Uongozi ni Vita, niliomba kujiuzulu mara mbili, bila kulindana mnajikuta mnamalizana

    Kumbe Hamisi Kigwangalla aliwahi kuandika barua za kujiuzulu Uwaziri mara mbili akiwa Wizara ya Maliasili, akidai sababu ni vitu vya kipuuzi na masuala ya umbeya. Barua ya kwanza ilichanwa mbele yake, na ya pili hajui iliishia wapi, lakini hakuondolewa baada ya vikao kadhaa. "Mimi nimewahi...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini uongozi wa Chadema hawajatuma muwakilishi wa kitaifa katika kumbukizi ya kifo cha Hayati Mwalimu Nyerere? Wana chuki naye kiasi hiki

    Chadema haijatuma muwakilishi yoyote wa ngazi ya kitaifa, hii ni chuki iliyokithiri kwa Hayati J. K. Nyerere.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kinara wa ODM, Raila Odinga Amezindua uongozi mpya wa chama hicho

    Raila Odinga ametoka kwenye uongozi wa chama cha ODM naona ni maandalizi ya kwenda AU hapo February 2025. Je ikitokea amekosa uenyikiti wa AU atarudi kwenye nafasi yake ya Kiongozi wa ODM au atabaki kama mshauri na mzee wa chama ? Salamu kwenu watu wa Sayansi ya Siasa.
  14. JamiiForums Tanzania Mwakifwamba aonya Wanachama CCM, Hatuna mpango wa kugawana uongozi na mtu yeyote, labda itokee bahati mbaya tu

    Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Simon Mwakifwamba, ametoa onyo kali kwa wanachama wa CCM ambao watakuwa kikwazo cha ushindi wa chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Amesema chama hakitasita kwenda nao jumla jumla wale watakaozuia kufanikisha malengo ya kushinda, kwani...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini vyama vya siasa nchini havina succesion plan kutoka rika moja hadi rika jingine?

    Kwanini hawafanyi kama wanavyofanya CCM, kuwaandaa vijana wao wa jinsia zote, na kuwapa fursa na nafasi tofauti tofauti za uongozi hata baada ya kuhudumu katika jumuiya za urika wao wa awali? Maskini ya Mungu, vijana wengi kwa mfano upinzani, wanaishia tu kwenye idara zao za nyakati za ujana...
  16. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Rais Samia wazidi kumulikwa kimataifa: Deutsche Welle

    Naona Tanzania inazidi kujizolea sifa mbaya kimataifa. Sasa ni zamu ya DW. Yasikilize/ yatazame mahojiano ya Tundu Lissu. Serikali ya Tanzania imesitisha shughuli za mtandaoni za gazeti moja kuu. Hii ni baada ya kutoa matangazo ya kibiashara yaliyomhusisha rais na kurejelea utekaji nyara na...
  17. JamiiForums Tanzania Kutokana na kauli ya Rais Samia, kuwataka viongozi waige mfano wa uongozi wa Sokoine. Swali la kujiuliza ni viongozi wangapi wa sasa ni waadilifu?

    Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia aambiwe kwenye uongozi kuna Wajibu na Uwajibikaji

    Kumekuchaje wanajamvi? Wakati tukisubiria hukumu ya akina Nyundo Mjeda na wenzake dhidi ya Binti wa Yombo, hebu tumkumbushe mama kitu kimoja cha msingi maana huenda hajui. Kwenye uongozi kuna mambo 2 ya msingi ambayo kwa kiongozi yeyote yule hata mjumbe wa nyumba 10 huwa hayakwepeki. Mambo...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Ni hatari kuacha watu wengi kufuatilia Siasa na Uongozi wa Nchi! Wazindike kwa burudani kama Mipira n.k

    Kenya Kila mtu ni mwanasiasa, anajua Katiba na anaweza kuchambua Financial Bills na kumpinga Rais na Serikali yake muda wowote tena kwa hoja thabiti. Nenda Jacaranda kwenye Bunge la Mtaani la akina Nuru Okanga uone hoja zao.Bunge la Tulia Ackson linasubiri! Kenya kwenye burudani kama mpira na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…