ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ni nini? Ukweli kuhusu maendeleo ya vitu na maendeleo ya watu

    Waungwana, Kwanza nikiri kuwa mimi sio mtaalamu wa uchumi Ila ninafahamu kuhusu maendeleo. Suala la maendeleo linatafsirika tofauti kutokana na mitazamo tofauti. Hapa karibuni pamekuwa na kelele sana kuwa watanzania wanataka maendeleo yao (maendeleo ya watu) na siyo maendeleo.ya vitu. Uzi huu...
  2. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania GE2020 TBC ni pasua kichwa na wala hawaaminiki, Wamechakachua matangazo mbashara ya NCCR na CHAUMMA

    Wameona Mbatia anatema cheche wamekata matangazo na kutupeleka kwa rungwe Hivi wataacha lini huu uhuni? Hakuna anaetaka kumsifia jiwe tena nchi hii Update Rungwe kwanza kuongelea juu ya ulafi wa serikali kutoza Jodi maiti wamekata na huko Hawa majamaa hawaaminiki kabisa I
  3. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Ukweli tunaotakiwa kuujua: Rais atakayekuwa hana wabunge wa kutosha Bungeni hataweza kuleta au kufanya mabadiliko yoyote na Urais wake hautadumu

    Utawala wa nchi yetu na nchi zote za kidemokrasia ni utawala wa sheria. Na sheria hizo tunazitunga wenyewe wananchi kupitia wawakilishi wetu kwenye bunge letu. Sisi ndiyo tunaoamua nchi yetu tuiendeshe namna gani kupitia sheria tutakazozitunga au kuzibadilisha kupitia wawakilishi wetu (wabunge)...
  4. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukweli Watanzania wengi wameondolewa tabasamu, Nimeona kwenye Kampeni za CCM

    Nafuatilia sana kampeni haswa za mgombea uraisi kwa CCM, nimeona ukweli was utafuti uliotoka na hitimisho kuwa Tanzania ni moja ya mataifa ambayo watu wake hawana furaha. Angalia:- - Utaona watu wanaohudhuria mikutano ya mgombea wa CCM wengi hawashangalii, wananafanya mambo kwa kulazimishwa...
  5. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hebu tujadili ukweli wa mambo haya kuhusu idadi ya wapiga kura Uchaguzi 2020

    Mwaka 2015 kulikuwa na wapiga kura milioni 16. Leo tunaabiwa Kuna wapiga kura milioni 29, yaani nyongeza ya wapiga kura milioni 13 ndani ya kipindi cha miaka mitano. IDADI YA WAPIGA KURA: Toka tupate uhuru, mpaka wakati wa uchaguzi uliopita idadi yawatu ilikuwa milioni 56, wapiga kura milioni...
  6. Carleen

    JamiiForums Tanzania Ukweli unauma ndiyo, ila unaponya

    Hi guys, Nipo tu hapa najiuliza ni kwanini asilimia kubwa ya wengi wetu hatupendi kuambiwa ukweli?? Ukitaka ugombane na mtu sahii njia rahisi ni 'pesa' na 'kumchana' Yaani kumuambia mtu ukweli kuna uhusiano gani na chuki? Maana the moment umemchana tu mtu kuwa amezingua kwenye issue flani...
  7. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: CCM haijawahi kufuata Ilani yake wala katiba ya nchi kwa miaka 5

    Wasalaam, Naomba niweke wazi ukweli halisi bila ushabiki wa kisiasa chama chetu cha mapinduzi mwaka 2015 walikuja na ilani nzuri na ya kupendeza Wakati wa kampeni, baada ya kushinda uchaguzi bwana yule alitupilia mbali ilani ile na kifanya jinsi alivyoona yeye inafaa na jinsi alivyotaka yeye...
  8. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nitaondoka madarakani kwa mujibu wa Kanuni na Katiba ya CCM na Katiba Nchi

    Aman iwe nanyi wakuu Rais Magufuli amedai kuwa licha ya mashinikizo mengi kutoka kila pande lakini yeye ataondoka madarakani kwa mujibu wa katiba ya CCM na nchi wala hataongeza miaka maana kazi ya Urais ni ngumu sana. Amedai kuna watanzania wengi tu ndani ya CCM wenye kuweza kuongoza nchi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM imefanya uhuni wa kuengua baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani. Uhuni huu umepitwa na wakati

    CCM imefanya uhuni wa kuengua baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani. Uhuni huu umepitwa na wakati. Wananchi kupitia vyama vyao vya siasa, wamechoka na uhuni huu. Kwa wale ambao tunajua jinsi ambavyo mataifa mengi barani Africa yaliingia kwenye matatizo mazito sana, tuwaomba washauri wa Rais...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Madereva / Waendesha 'Magari' hii 'Kitu' nimeisikia sana tu 'Kijiweni School' je, ina Ukweli wowote ule labda?

    Kwamba eti ukiwa unaendesha Gari, umebeba Watu/ Abiria na uko mwendo mkali sana ( bati kinoma ) kisha ukaona Mtu anakatisha mbele yako iwe kwa Miguu au akiwa katika Baiskeli au Pikipiki 'Sheria' inakuruhusu kuwa kuliko 'Kujihatarishia' Maisha yako na ya wale 'uliowabeba' basi 'uwagonge' na...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtani wangu Tundu Lissu pokea huu 'Ukweli' wangu japo najua hujaambiwa na unaweza ukawauma Wakupendao

    UTANGULIZI Sijawahi hata Siku moja kuficha Hisia zangu za 'Kukukubali' sana hasa kwa aina ya 'Misimamo' yako thabiti, uwezo wa Kufikiri ( Akili ) na pia Kuchambua mambo 'Kiumakini' kabisa. Na hapa nisikufiche si Mimi tu ambaye ni mwana CCM nakiri na kulisema hili ila nina uhakika hata wana CCM...
  12. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lengo ni kuwapata viongozi au lengo ni usahihi wa kujaza fomu?

    Tanzania ni Taifa la ajabu sana sijawahi kuona. Dunia inatushangaa na vizazi vijavyo vitakuja kutushangaa. Hivi lengo ni kuwapata viongozi au lengo ni usahihi wa kujaza FOMU? Kwanini imekua ni kama mtihani fulani hivi kwamba mtu akikosea kujaza FOMU anaondolewa kwenye nafasi ya kugombea? Kwa...
  13. Mao Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kwaheri vita dhidi ya rushwa, Kwaheri Siasa safi, kwaheri Ukweli

    Asalam, Mbiu zilipigwa, Kelele zilisikika, Wazalenda wakasema Sasa huu Ni mkuki wa mwisho kwa Adui Rushwa. Msamiati wa kukata ukatamalaki, Mwenezi Polepole akafoka, kila alipopita akaonekana mbabe, mwenye nguvu, kuliko Hata Katibu Mkuu Kakurwa Bashiru. Watia nia walimuogopa, alionekana Hana...
  14. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Ukweli kabisa maisha ni magumu

    Kuficha kusema ukweli ni ujinga na unafki. Ndani ya miaka hii 5 maisha yamekuwa magumu kupita kiasi kwa sababu ya serikali ya CCM. Wao wamehodhi madaraka wanalipana mishahara mizuri na marupurupu na kupandishana vyeo tu, pesa hakuna wamewabana watumishi wa umma hawawaongezei mishahara na...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nadhani Tundu Lissu anamsaidia Rais Magufuli. Anasema ukweli ambao wana-CCM, wasaidizi, na washauri, wanaogopa kumwambia Magufuli

    Vitisho anavyopokea Tundu Lissu vinatoka kwa wasaidizi wa Rais Magufuli ambao wameshindwa kumwambia bosi wao ukweli. Wanamdanganya Rais Magufuli kuwa anatukanwa, lakini ukweli ni kwamba Tundu Lissu anasema mambo ambayo yalitakiwa yasemwe na washauri na wasaidizi wa Rais Magufuli. Rais Magufuli...
  16. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Tundu Lissu ni balaa, anajua kuwasilisha ujumbe kwa hadhira, anajua kukera kwa kukupiga na ukweli

    Sijui Polepole wa CCM na wafuasi wake LB7 wa mitandaoni wanaweza kuja na majibu gani katika hoja hizi hapa. Watu sasa ndiyo wanaanza kupata na kuona ukweli wa upande wa pili wa shilingi wa CCM na Magufuli wao. Hiki ndicho kilichokuwa kinazuiwa na kufichwa na watawala ili wananchi wasielewe...
  17. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM hatuupendi ukweli, tusione ajabu mgombea wetu akashindwa vibaya uchaguzi huu

    Mara nyingi nimekua nikisema kuwa sisi wana CCM tumekua waoga sana wa kuusema ukweli, ipo siku tutakua kwa aibu maana tukiendelea kutegemea Polisi kama alivyowahi kutuambia Rais mstaafu awamu ya 4 Dr JK. Hivi vyombo kuna wakati vitaamua kusimamia sheria ya nchi bila kuonea mtu, siku wakichoka...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa mafuriko ya Lissu wafichuka, ni watoa rushwa CCM wanahaha kwa kuwatuma wafuasi wao

    Hatimaye siri imefichuka baada Katibu itikadi na uenezi CCM, kuwatisha wabunge washindi wa kura za maoni, sasa wabunge hao waibuka na janjajanja wasikatwe. Mbinu inayotumiwa na mafisadi wa CCM walionunua wajumbe, ni kuwatuma wafuasi wao katika misafara ya Tundu Lissu anayesaka wadhamini...
  19. eric emanuel

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu tusua mapenee

    Kwa anaejua jinsi promoshen ya tusua mapene inavyo fanya kazi naomben ushaurii Nikweli hizo ela wanatoa au!?
  20. eric emanuel

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhus tusua mapene

    Kwa anaejua jinsi promoshen ya tusua mapene inavyo fanya kazi naomben ushaurii Nikweli hizo ela wanatoa au!?
Back
Top Bottom