ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kheri yake huyu kasema jambo la ukweli na la maana

  2. JamiiForums Tanzania Ukweli uwe mtamu kusema japo ni mchungu sana, kwa sasa CCM inabebwa na dola kama Chama Tawala ila kwa ndani imeshajifia

    Wakuu habari? Ni matumaini yangu kuwa mko poa sana katika harakati zetu za watu weusi kutafuta rizki ya kila siku.Wanasema hatuwezi kuacha kujihusisha na Siasa sababu Siasa ndiyo ina mstakabali wa maisha yetu,kwa siku za hivi karibuni yaani kuanzia 17.3.2021 hadi sasa nimekuwa nikifatilia vyama...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Zelensky wa Ukraine anaweza kuitumbukiza dunia kwenye janga la vita kuu ya dunia

    Rais Zelensky wa Ukraine ni mtu hatari sana!! Yuko tayari kuiingiza dunia kwenye vita kuu ya dunia ili mradi tu afanikiwe kuziingiza nchi zingine moja kwa moja zipigane na Urusi. Amekuwa akitafuta upenyo wa kufanya hivyo tangu mwanzo kabisa wa vita vya ukraine. Anaona haitoshi kupewa silaha na...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Je, hii fursa ya Economy Driver plan 2.0 ni ya ukweli au matapeli?

    Habar nfugu zangu humu JF Napenda niwaulize mwezi uliopita nilihudhuria seminar ya hii Project ya Economy Driver ambayo wana program ya Miliki maisha yako. Project nilikua ofisini Majengo Sokoni pale Dodoma alafu pia hii kampuni inadili na Afya na uchumi pia wana ofisi mikoa mbalimbali pale...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zelensky anafurahia majeshi yake kuingia Kherson: Ukweli ni kwamba hawajaukomboa lakini Urusi imeamua kuuachia

    Rais Zelensky wa UKraine na mataifa ya magharibi kwa ujumla wanashangilia sana majeshi ya ukraine kuingia kwenye mji wa kherson wakidai wameukomboa. Lakini ukweli ni kwamba hawajaukomboa ila majeshi ya urusi yalitangaza kitambo kuwa yatauachia mji huo. Kwanza Ukraine wal;ikuwa hawaamini kama...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuna la kujifunza hapa. Hapi anapiga kilimo cha ukweli sio kilimo cha selfie. Vijana wa CCM wapo makini, wamefundwa

    Maana wanatambua kuwa uongozi ni dhamana na hiyo dhamana ikiondoka basi unatakiwa uwe makini Hiki sio kilimo cha selfie
  7. JamiiForums Tanzania Fahamu ukweli wa yote yanayokutokea hapa Duniani

    Hapa duniani kuna kitu kinaitwa  nature ambacho ndio kinaamua all fates and destinies. Ukiangalia katika science theories utagundua ya kwamba kila kitu kinajirudia na kwamba kila kitu kilifanyika in the past. Hivyo kila kinachokutokea sasa ni kutokana na matendo yako ya nyuma. Ulishawahi...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nani ndio super power wa ukweli ukanda wa maziwa makuu kudhibiti mikwara ya Rwanda na Congo

    Siku zote panapofuka moshi ujue kuna moto hivyo kila jambo linalotokea huwa halikosi sababu. Kenya ameonekana kujiandaa kupekeka mamia ya wanajeshi Congo baada ya waasi kupata nguvu mashariki ya Congo na kukua kwa uhasama kati ya congo na Rwanda. Ikumbukwe mwaka 2013 Tanzania alipeleka...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli usiosemwa: Kwa Tanzania, UTAPELI ni Biashara iliyohalalishwa kabisa isipokuwa kwa wenye mamlaka tu

    Mifumo ya Tanzania kiukweli inasikitisha sana. Masuala ya UTAPELI yamehalalishwa kabisa na watu wanaofanya UTAPELI wanafanya waziwazi bila kificho na hakuna anayewagusa. Tanzania hata siku moja usikae ukafikiri labda ukiwa kama Raia wa kawaida serikaali itakulinda. Suala la kujilinda ni...
  10. JamiiForums Tanzania Wazo chokozi: Serikali ya CCM inawatesa Watanzania kwa ukweli huu

    Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 uligubikwa na sintofahamu kubwa hadi kupelekea mchakato mzima kugubikwa na ukengemaji wa kuwaengua wagombea wa vyama mbadala na kuwapitisha wagombea wa CCM kwa nguvu ya kupita bila kupingwa Mwaka wa Uchaguzi Mkuu 2020 ndiyo ulikuwa kilele cha janga la...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Zitto hana chama, chama ni cha Wapemba na wafuasi wa Maalimu Seif

    ACT - Wazalendo haina wanachama wala jengo la ofisi inalomiliki Bara. ACT inategemea nguvu ya wanachama kutoka Zanzibar wengi wakiwa ni wale waliokuwa wafuasi wa CUF- Maalimu Seif. ACT -Wazalendo haina Jengo la Chama kwa maana ya umiliki, jengo walilopewa na Maalimu Seif Foundation ni lile...
  12. JamiiForums Tanzania Eng Hersi aambiwe ukweli Yanga kuna wachezaji mizigo

    Mchezaji Kama Bigirmana, Makambo na Kisinda sio wachezaji wa kucheza Yanga Naomba dirisha dogo Hawa wachezaji waondoke haraka ni takataka Lomalisa watu wanamponda lakini kwangu Mimi ndiye beki Bora namba 3 akiaminiwa na kupewa mechi Football ni namba mpaka sasa ana assist mbili ni beki gani...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna mtu anaponesha kwa maji mkuranga anaitwa sokwe je huyu mtu ana ukweli kiasi Gani

    Kuna habari ya mtu mmoja ambaye yupo mkuranga anaponesha watu kwa kutumia maji je ina ukweli kiasi gani
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ambao mashabiki wa Simba hawataki kuukubali

    Kwa sasa mna timu ya kawaida sana, Tshabalala, Kapombe, Bocco, Nyoni na Mkude siyo wa miaka minne nyuma, Chama aliyerudi kutoka Morocco siyo yule alieondoka, pengo la Muqquison bado halijazibwa, wachezaji wenu wa kigeni ukiwatoa Innonga karibia wengine wote ni overrated. Usajili wenu ya...
  15. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu

    Tumia fursa hii kueleza lililoko moyoni mwako, iwe ni kwenye wigo wa siasa, michezo, dini, mapenzi na lolote lile. Nafasi ni yako. Usimkashifu rais ni hatari kwa uhuru wako kitaa. Ukitaka kupendwa nyumbani, usikosoe, sifia kila kitu, hata ukiona buibui kachafua nyumba kwa utandu wake, weee...
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu uwekezaji wa Mo Dewji Simba ndiyo huu

    Kwanza suala la uwekezaji na umiliki wa hisa ni suala la kitaalamu na lina misingi yake, Simba hawaifuati. Mkutano Mkuu wa Simba uliridhia Mo kupewa 49% ya hisa za Simba. Ukototozi wa thamani ya klabu umefanyika? Bado. Wanachama wa Simba wanamiliki 51% ya hisa za Simba, kwani simba thamani yake...
  17. JamiiForums Tanzania Wadogo na rafiki zangu njooni hapa tuambiane ukweli

    Unajua miaka ya nyuma mambo kwa asilimia kubwa hayakuwa hivi yalivyo. Mimi nakumbuka kipindi hicho cha nyuma hata kupata watoto wazuri ilikuwa tunatumia mbinu za kiume hasa. Kama ni mikoani huko ilikuwa wakati mwingine inabidi ukimbize binti kwenye vichaka na uwe na utaalam wa kumpigwa "Ngwala"...
  18. JamiiForums Tanzania Huu hapa ukweli kuhusu majini (eneo ambalo wanapatikana kwa wingi jijini Dar es Salaam)

    Katika ulimwengu wa roho, Dar es salaam ni jiji ambalo wanaishi binadamu na majini. Majini ni nini? In my personal opinion which is based upon my personal understanding of the spiritual world, majini ni viumbe ambao kwa ujumla wao wapo more advanced in technology kuliko binadamu kwa ujumla...
  19. JamiiForums Tanzania Haya CHADEMA njooni Tusemezane. Wala haina haja ya kupapasana mgongoni Ukweli ni Upi?

    Karibuni weekend nadhani ipo njema kabisa. Sasa ,mimi nimewaita kwa issue moja tu muhimu. Msikasirike sisi watu wenye Ubara ndani yetu huwa hatujui kuuma uma maneno. Nyie Watanzania wenzangu inakuaje mpaka sasa Zaidi ya Miaka 15 hamwoni haja ya kujenga Ofisi ya Makao Makuu?Mnaogopa nini? Ni...
  20. JamiiForums Tanzania Niliposema suala hili alilozungumza Kikwete, nilitengwa na kutukanwa sana. Huu ndiyo ukweli kuhusu Yanga

    Mechi zetu NBC L tunashinda kwa michongo; kwa kuwahonga Marefa na wachezaji wa timu pinzani. Hili hapa analisema Kikwete kuwa, tunashinda kwa njia ambazo hazitusaidii kwenye mashindano ambayo hatuna mtu wa kuongea naye. Tunapohonga timu nyingine ziikamie Simba, tunawanoa Simba zaidi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…