ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Juhudi kubwa zinafanywa kumgombanisha Lissu na Mbowe. Hamtafanikiwa. Ukweli hi huu

    Lissu yupo kwa vile Mbowe yupo and not the other way round! Kama si Mbowe kutokewa na Mungu kuwa msiende Muhimbili, Lisu ingelikuwa historia. Hivyo Lisu is because Mbowe was. Hivyo ujinga wenu utagonga mwamba
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mawakili (legal advocates) tendeni haki kwa wateja wenu, wambieni ukweli wa mashauri yao

    Bahati nzuri siku hizi unaweza kuingia kwenye TANZLII and other law websites za nchi zote duniani ukasoma kesi zilizoamriwa. Kuna kesi unaona kabisa kuwa huyu Advocate ilibidi amshauri mteja kuwa hatutoboi maana sheria iko wazi , kuwa hii ni uphill battle due to time limitation, ITAKUBANA...
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli Usemwe: Tatizo la Simba SC lilianzia hapa

    Watu wengi wanazunguka zunguka lakini mikosi kwa simba ilianzia hapa kwa kumkejeli mungu. Lakini wangekua na msimu bora sana mwaka huu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kusema Ukweli Rais Samia amemzidi mbali sana Hayati Dr. Magufuli

    Kwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao. Si hivyo tu hata majaji wetu wa mahakama wanapumua sasahivi. Wanalala kwa amani bila simanzi ya kubambikia mtanzania mwenzao...
  5. JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli: Wimbo wa Bakanja wa Fally Ipupa ni timeless, vibe lake halitakuja kuchuja

    Sina mengi.. Hii ngoma nadhan jamaa alizindika sana kabla ya kutunga na kuitoa, ngoma haipotezi radha, sio kama miziki baadhi ukishasikiliza miaka miwili mitatu ile excitement inatoka, lakini nikisikia hata hapa Bakanja inapigwa lazima ni-feel amani kabisa na kutingisha kichwa polepole. Long...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli ndani yake

  7. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli wa kuzimika kwa taa za uwanja wa Benjamin Mkapa

    Inasikitisha sana wakuu
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli lazima usemwe, Tunahitaji Muungano wa Serikali 1 tu

    Kati ya vitu vinavyofanya sisi waafrika tuendelee kuwa maskini ni kutotumia akili zetu vizuri na pia kupenda sana madaraka/ vyeo. Nimefuatilia kwa muda sasa kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na nilichogundua ni kuwa wale wengi wanaotaka Zanzibar iwe na Serikali au Tanganyika iwe na...
  10. B

    JamiiForums Tanzania The story of my life: Ukweli mchungu baada ya kugundua mtoto tulie naye hakuwa mtoto wangu

    Habari zenu wana jamii forum Leo naomba niwaletee kisa cha ukweli kilichotokea miaka kama 9-10 iliyopita wakati wa kuhangaika na Maisha, naomba nikiri mimi sio mtu wa kupost sana mara Nyingi ni mtu wa kusoma tu content za watu. Mtaniwia radhi kwa uandishi mbovu mana sio mtaalamu sana wa...
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA Wafanyakazi Wawili wa Ofisi ya CAG wafariki dunia

    Taarifa kamili hii hapa. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Bw. Charles E. Kichere anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Geofrey Lawrence Makonyu, Mkaguzi Kitengo cha Walipa Kodi Wakubwa ambae amefariki akiwa Yaounde nchini Cameroon akiwa katika majukumu ya kikazi. Marehemu...
  12. JamiiForums Tanzania Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari

    Kuna taarifa za ndani juu ya ajali ya Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange kupata ajali ambapo inadaiwa ameumia sana. UPDATE Jioni hii makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefika hospitali ya mkoa Dodoma maarufu kama General hospital kumjulia hali naibu waziri wa TAMISEMI (afya) Dk...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli huu uwafikie viongozi wote wa Afrika

    Wandugu kumbe Africa bado tuna viongozi wenye akili.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Historia ya Yesu siyo halisi ilibuniwa na watu tofauti tofauti

    Story ya Yesu Mathayo anataja vizazi 26 Kati ya Yesu na Daudi, Luka hutaja vizazi 41. Mathayo anaanza kwa mtoto wa Daudi Solomon, wakati Luka anaanza kwa mtoto wa Daudi Nathan. Mathayo anasema Babu yake Yesu anaitwa Yakobo wakati Luka anasema babu yake Yesu Ni Heli. Cha kushangaza zaidi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Zama za kufungwa goli nyingi kwa Simba na timu za waarabu tumezizika rasmi. Kumwembe ukubali ukweli huu

    "Mchambuzi" wa soka Kumwembe ambaye hana historia ya kucheza soka kwa kiwango hata cha kati alisema: "Hata kama Simba itashinda goli 3-0 hapa kwa Mkapa, bado haitoweza kusonga mbele” Naamini hiyo kauli hatokuja kuirudia tena maana zama za kupigwa nyingi tumezizika rasmi na jumla!!
  16. JamiiForums Tanzania Friday Fun Fact

    Kwenye maisha hasa ya mahusiano hakuna demu mkali, na ukiona demu ni mkali ujue sio wako. Pia hakuna asiye mwongo we chagua mtu ambaye utavumilia uongo wake. Kwaheri.😂😂😂😂😂
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Nandy anamuogopa sana Zuchu

    Juzi kati hapa tumeona Nandy akiwashambulia Wasafi media akiwatuhumu mambo ya kitoto yasiyo na kichwa wala miguu. Wote tunajua Nandy hajawai toa ushirikiano kwa Wasafi media akiombwa interview au kumshirikisha kwa namna yoyote anachomoa. Lengo kutengeneza kitu kwa mashabiki kuwa anabaniwa ili...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Biblia Ni ya ukweli kihistoria?

    Wanahistoria wa Misri na Israel kutokana na kuchimbua mabaki na kufuatilia michoro na vinginevyo wamekuta kwamba hamna uhalisia wowote kuhusu story za waisraeli kuwa watumwa Misri, kutembea jangwani miaka 40 na kupigana Vita dhidi ya miji 30 na zaidi. Ina maanisha kuwa hizi story hazina ukweli...
  19. JamiiForums Tanzania Ujue ukweli kuhusu NASA

    Heshima kwenu wote humu ndani. Leo napenda kushare na ninyi hii siri. Je wajua kua NASA, ni taasisi ya siri ya kijeshi ya jeshi la Marekani, ambayo serikali ya Marekani ime-invest millions of dollars ili kufanya majaribio ya makombora ya masafa ya mbali yaani ICBM, Inter Continental Balistic...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kuwa Masanja ana uzoefu na mkali kuliko Maulid na Hando

    Kwenye sekta ya habari labda Masanja hajafanya sana, lakini sote tukikumbuka enzi ya ze comedy tutakumbuka Masanja ndo alikuwa msoma habari mkubwa na alivutia mamilioni ya watanzania kuliko Maulid ama Hando ambavyo wamewahi kufanya Kwa wakati wote. Masanja kwenye magazeti akichanganya na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…