Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini bila kujua ni kama "imequalify" Ripoti ya Ex Jaji Mkuu Mstaafu,Mzee Chande.
RIPOTI ilisema kuwa "Mapinduzi" ya Oct 29 yalipangwa na na kufadhiliwa na makundi ya watu fulani fulani.MAJAMAA wakatumia miezi kadhaa kuikanusa kwa nguvu kubwa na ndipo hapo...