ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu MediaTek

    Salaam wadau. Naomba kujuzwa na yeyote kuhusiana na hizi Chipset za MediaTek, haswa ubora wake na kwa nini bidhaa zilizo na Chipset hii zinadharaulika, je ni kweli MediaTek ni hovyo au ni maoni tu ya mkumbo? Mfano simu za Tecno,Itel na Infinix ni mbovu na kiwango chake ni cha chini sababu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mo Dewji nakupasulia huu Ukweli ambao GSM wa Yanga SC nae naomba auchukue juu ya Uwekezaji Simba na Yanga

    GENTAMIYCINE nilidhani ukiwa Tajiri basi hata na Uwezo wako wa Kufikiri nao unakuwa ni wa Kitajiri ( nikimaanisha ni mkubwa ) kumbe hali ni tofauti kabisa. Matajiri Mohammed Ghullum Dewji wa Simba SC na Gharib Said Mohammed wa Yanga SC kwa Historia Kubwa ya Simba na Yanga hasa katika Siasa za...
  3. JamiiForums Tanzania Tusidanganyane hakuna anayependa kubaki Tanzania Pre Season, ukweli ni kwamba hatuna Pesa

    Ukija na Hoja kuwa mbona kwa Misimu miwili walioenda Pre Season nje ya nchi hawajawa Mabingwa na aliyebaki Tanzania kawa Bingwa nami nitakuuliza mbona miaka minne nyuma aliyekuwa Bingwa mara Nne mfululizo ( huku Wewe na Timu yako Mkijitafuta ) alienda Pre Season Nje ya nchi na Wewe uliyebakia...
  4. JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli: Show ya Burna Boy( NYC) imejazwa na wanaija

    Kwa wale tulio bahatika kutembea tembea duniani tunajua wanaija wapo wengi sana kila mahali.. Jijini New York, kitongozi cha "the bronx" ni kama Lagos ndogo, wanaija wamejaa kibao.. hata ukisikia sauti za back ground wanao sing along na Burna Boy kwenye hiyo show yake unasikia lafudhi za...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba kwasasa haieleweki huu Mungano wa Tanganyika na Zanzibari ni kwa faida ya nani

    Je ni kwa faida ya wazanzibari maana they are offering lesser if any than what they're gaining . Kumbuka hawa jamaa wana inchi yao, wizara zote, board yao mokopo chuo kikuu, rais wao, wana kila kitu kama serikali. It is very likely kwenye huu Mungano zanzibari wamechangia jina tu "zanzibari "...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote wa sadaka kupelekwa Vatican?

    Habari wana JF kama kichwa hapo juu kinavyojieleza. Leo kuna rafiki yangu mmoja nimemsikia akisema kuwa kuna sadaka wanazo changia kanisani (Kanisa Katoliki) zinaenda Vatikani. (Yeye ni mkatoliki) Hili kwangu ndio kwanza nalisikia kwa huyu rafiki yangu, sikutaka kumbishia kwakua mimi sio...
  7. JamiiForums Tanzania Tunaweza mlaumu sana Rais Samia kwa hili, lakini hii nchi iliharibiwa sana na watangulizi wake, ni ile tu ukweli hausemwi

    Wakuu umofia kwenu. Niende moja kwa moja kwenye Mada... Nianze na lawama kwa watu wa serikali, na hasa kina Msigwa, kukwepa wajibu wao wa kusema ukweli, badala yake wanalipa hela nyingi wapiga porojo( nazungumzia hili la DP world) Tanzania nchi yetu kwa bahati mbaya sana ni nchi yenye...
  8. JamiiForums Tanzania Chama cha walimu, ukweli ni upi?

    Nimekuwa muumini sana wa kusoma magazeti kila siku kujua yanayojili ijapokuwa nilichobaini waandishi wengi ni wanafki wakubwa walioamua kuiacha kalamu yao na kufuata upepo wa kisiasa! Habari zao ni za kutabirika na za mezani zaidi kuliko za kuzitafuta na kwa sasa ni za kumpamba mtawala aliyeko...
  9. JamiiForums Tanzania Mikataba haikuanza leo, ni miaka mingi kabla hata ya kuzaliwa kristo, angalia mkataba huu kati ya Israel na Lebanon ndio utaujuwa ukweli

    MKATABA WA KALE WA KIUCHUMI KATI YA ISRAEL NA LEBANON U SAWA NA MKATABA WA BANDARI KATI YA TANZANIA NA DUBAI? Mkataba wa kwanza wa kimataifa kurekodiwa katika Biblia ni Mkataba wa kiuchumi baina ya Israeli na Lebanon uliosaniwa mwaka c. 950 BK (miaka 2973 iliyopita). Mkataba ule ulihusu Lebanon...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli hatutaki kusema kuhusu Sure Boy

    ABUBAKAR Salum ‘Sure Boy’. Fundi mmoja wa mpira kuwahi kutokea nchini. Sio huyu wa sasa anayecheza pale Yanga, hapana, huyu ni baba yake mzazi. Ndiye mwenye jina halisi la Sure Boy. Alipewa jina hilo kutokana na kazi yake njema uwanjani. Alikuwa na kasi kubwa uwanjani. Akipiga krosi na pasi...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto akiongea kuhusu kuwa na taasisi ya kiafrika ya kifedha mbele ya Rais wa Ufaransa

    Rais wa Kenya ndugu Ruto akimpa makavu bwana Emmanuel rais wa Ufaransa.
  12. JamiiForums Tanzania Watu wenye fizi za rangi nyeusi wana roho mbaya

    Watu wa zamani walikuwa na uwezo wa kuusoma miwili wa mwanadamu kama walivyo weza kusoma hali ya hewa ya nchi na tabia nchi kwa ujumla. Mfano (hii nina uhakika mayo kwa asilimia mia kwa sababu nimei-experience) wanawake wanaotoka jasho kwenye pua huwa wana mapenzi na upendo wa ukweli ni...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake, wapi tunakosea kuwaandaa wakati wa tendo?

    1) Huwa tunakosea wapi kwenye kuwaandaa katika swala zima la kuelekea katika kufanya mapenzi? 2) Nyie mnapenda tuwe tunawaandaaje, na nini hamkipendi tukifanye tunapowaandaa? Yale maneno ya pembeni muyaache, semeni ukweli watu tuache ujuaji.
  14. JamiiForums Tanzania EWURA tuambieni ukweli ni upi kuhusu upungufu wa mafuta ya petrol wiki ijayo

    Mod usifute huu uzi na upaste kama ulivyo andikwa kigogo media Kiburi cha rushwa ,uhuni na ujeuri wa EWURA na waziri wa nishati wafikisha mgogoro wa upungufu wa mafuta ngazi za juu serikalini, chanzo chetu ndani ya EWURA kinatujulisha asubuhi na mapema leo hii. Baada ya kuona nchi inaingia...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali: Walimu sasa kufanya mtihani wa kupima uwezo kabla ya kuajiriwa

    Ule mtazamo kuwa taaluma ya ualimu ni chaguo la mwisho baada ya kukosa fursa nyingine unakaribia ukingoni, baada ya Serikali kutangaza utaratibu mpya katika ajira za taaluma hiyo. Utaratibu huo, kwa mujibu wa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda utahusisha, ili uajiriwe...
  16. JamiiForums Tanzania Kombe la kwanza kuja hapa kwetu Tanzania ni CAF Shirikisho, CAF Mabingwa bado hatuwezi, Yanga na Simba wajiengue mapema kwenye mabingwa

    Nelly alishawai kuimba Nini kinahitajika kuwa namba moja Wa pili sio mshindi Wa tatu hakuna anaemkumbuka Ukiwa namba moja Watakaa na kuiandika hata wakichukia Basi ndivyo ilivyo na kwenye haya mashindano ya caf interclubs (mabingwa na shirikisho). Kwa level ya timu zetu hizi ni ndoto kuja...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 Jinsi Hayati Magufuli alivyouvuruga

    Kumekuwa na shutuma nyingi sana za kumshutumu Magufuli kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020 lakini watowa lawama wote ukiwauliza alivurugaje au aliiba vipi kura hakuna atakayekupa jibu. Sasa leo nimewiwa kuwaondowa gizani, kama mtakakumbuka Magufuli aliwaita maafisa watendaji wote wa Kata Tanzania...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Tuseme tu ukweli, Dkt. Slaa kadiri anavyozeeka anazidi kuvurugika

    Yule Dkt. Slaa 'mtabe' wa kujenga hoja sio Dkt. Slaa huyu anayepuyanga tu bila hoja. Na hapa ndio tunakumbushwa juu ya kuchana na baadhi ya mambo umri ukikutupa mkono, balozi dkt. Slaa kaamua kukataa dhana hii ya wahenga. Kauli ya kusema Waziri Mkuu sio halali kwa sababu mahakama ilibatilisha...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli hausemwi. Kilimo cha Parachichi ni kigumu sana na pesa yake ni ndogo

    Nimefanya kilimo cha parachichi kwa miaka nane sasa, nilichokiona ni haya; 1. Kilimo kina mzunguko wake ni mdogo parachichi huzaa kidogo kidogo kadri miaka inavyoenda, unatumia million 10 unapata million mbili...
  20. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ni kuwa JKT inazalisha mafisadi na watu wanaochukia nchi yao badala ya wazalendo

    Hii habari ya JKT Tanzania Nyerere aliiga China kwa Mao. Mao alivuruga kila kitu, watu wakatolewa mashuleni, kwamba haina maana na kupelekwa "JKT." Kigezo cha kuingia chuo kikuu kikawa si ufaulu shuleni bali bidii ya mtu na utii huko JKT. Watu walioenda kule JKT walikutana na mambo ya ajabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…