ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hayati Lyatonga Mrema angetuambia ukweli juu ya waliohongwa huko Dubai. Alikuwa super spy Mzalendo wa kweli

    Ushahidi wa kimazingira. Circumstantial evidence ni kuwa huu mkataba mbovu kuna watu wamekula rushwa. Taifa letu linahitaji mashushushu kama hayati Lyatonda Mrema. Leo hii tungejua kila mtu namna alivyohongwa na kuisaliti Tanganyika.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Uongo wa kisiasa hauwezi kuficha ukweli kwamba China na Afrika zinatafuta maendeleo pamoja

    Hivi karibuni, mashirika ya Umoja wa Mataifa yametoa onyo tena kuhusu hatari ya baadhi ya nchi zinazoendelea kushindwa kulipa madeni, nyingi zikiwa ni za Afrika. Hivyo baadhi ya vyombo vya habari vya Marekani vinachukua fursa hiyo kurudia tena kile kinachoitwa “mtego wa madeni”. Mathalan...
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu sana: Ndugu yenu akiwa kwenye " naturally life threatening situation" msimuombe Mungu amuepushe na kifo bali mapenzi yake yatimie

    Kwa sababu most of the time inakuwaga ni Mungu mwenyewe ndio anataka kumtoa mhusika kwenye maisha yenu. Hata yule mtu wa kwenye biblia ambae siku zake za kufa zilikuwa zimefika ila akamuomba Mungu amuongezee miaka ya kuishi Mungu akamuongezea miaka 15 alifanya mambo mengi...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo acha kuchukia juu ya ukweli anaousema Lissu, hayati JPM asingefanya huu uozo. Muache aende Chato kueleza ukweli

    Hii nini unaropoka kama mtoto bhana 👇
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Nasema "alitaka kumuua" kwa sababu ukiangalia yale matundu ya risasi upande wake wa gari utajua kuwa hawa watu hawakutaka kumtishia tu. Walidhamiria kumuua. Niungane na Watanzania wenzangu kumuombea Tundu Lissu dua/sala ili apone kikamilifu, Amin. Nimejiuliza maswali mengi kuhusu shambulio...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nay wa Mitego na Ukweli mchungu dhidi ya serikali ya Rais Samia na CCM yao

    Msanii huyu huenda akatekwa ama akafanyiwa figisu kubwa, ukweli daima amekua sauti ya walalahoi kwa muda mrefu, hata enzi za Magufuli hakufunga mdomo, alipaza sauti. Ney wa Mitego, amerudi tena na ukweli mchungu, mtegee sikio kwa dakika 5 ameongea mengi ambayo hakuna kiongozi atafurahia maana...
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania PhD za ukweli zinatetemeshwa mchana kweupe, Msukuma(PhD) na Babu Tale(PhD) jitokezeni mumtetee msomi mwenzenu

    Proffessor Maruma ametetemeshwa na wasomi wenziwe huko duniani hadi anasikitisha. Amelowa! Na Tanzania kiuchumi tunapigwa kisawasawa, tumepambana na Economic Hit Men. Wasomi wengine mlioko Tanzania , Msukuma PhD, Babu Tale(PhD) hebu mjitokeze mkamwage razi huko duniani, pengine ninyi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tunazunguka mbuyu hatutaki kusema ukweli

    Salamu wanajamvi! Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, sisi watanzania ni wanafiki tuna hangaika kuzunguka mbuyu wakati ukweli wote uko bayana. Hapo tuna fail. Rais wa 42, wa Marekani Bill Clinton kwa kosa la kutembea na mwanamke Monica Lewinsky, mrembo wa miaka 21 ndani ya ikulu ya...
  9. Meko Junior

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tusidanganyane, hakuna litakalochochea utawala bora wala uwajibikaji. Tumeharibu tuwaambie ukweli

    1.Tukumbuke Miaka ya kwanza baada ya uhuru wa Tanganyika chini ya uongozi wa Julius Nyerere yalikuwa na changamoto na mafanikio katika suala la uwajibikaji na utawala bora. Hapa ni muhtasari wa kipindi hicho: Uwajibikaji na Utawala Bora: Nyerere alijitahidi kuweka misingi ya uwajibikaji...
  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe jezi za Yanga ni mbaya

    Misimu miwili nyuma Yanga walikuwa na jezi nzuri sana hila hizi za msimu huu ni mbayaaaa.
  11. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Poleni watumishi wa umma uyo ndio mama anaupiga mwingi hakuna ongezeko la mshahara

    Poleni sana tena sana endeleni kunywa mchuzi nyama mtazikuta chini
  12. K

    JamiiForums Tanzania Upinzani unawavunja moyo Watanzania. Hili la bandari halitapita Bure bila kuleta ufa Kwa upinzani watanzania wakiujua ukweli wa adui yao wa maendeleo

    Wapinzani wanatumia ujinga wa watu kujieneza. Wanatambua nchi hii wenye uelewa wa mambo ni wachache na hao wachache wapo kimya Kwa sababu hawataki kuonekana ni wanasiasa. Kuhusu hili la bandari, ni uthibitisho tosha kundi la wasio na uelewa linaburuzwa na kukokotwa bila kujijua. Wanatumia mbinu...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wanapenda kusifiwa na sio kuambiwa ukweli?

    Salama Ijumaa hii? Kusifiwa ni jambo zuri, hasa ukipewa sifa ikiwa umefanya kitu kizuri. Inakupa hamasa ya kufanya vizuri zaidi. Shida inakuja ukiambiwa kinyume. Yaani mtu akikuchana ukweli unakasirika, unafura na kumuona tu hafai. Tena ukiambiwa ukweli na mtu aliyekuwa anakusifia kila siku...
  14. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Sababu za kukamatwa kwa Wakili Peter Madeleka

    Mnamo mwaka 2020 Wakili Peter Madeleka alikamatwa na kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi no. 40 (Economic case no 40/2020) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha. Katika kesi hiyo alishtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kughushi (forgery) kinyume na Sheria ya Mwenendo wa Adhabu (Penal Code)...
  15. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Kuna umri ukifika kukaa kwa ndugu mwenye familia si uungwana hata kama ni kaka au dada, mpishe tafuta shughuli uende kwako!

    Kuna umri unafika kwenda kwa ndugu iwe ni kwajili ya kumjulia hali unarudi kwako, umeenda mkoa wake kikazi kakuhost ukae kwake ukimaliza unarudi kwako, unaumwa kakupeleka kwake akuuguze ukipona tafta shughuli nenda kwako Ndugu yako kashaanza maisha ya familia ni vema umpishe, Haya ni mambo...
  16. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Rais Samia hupendwi na Wananchi wengi

    Kuna sehemu wananchi umewakosea. Tafakari! Toka uanze kazi ni mikoa 2 tu sijatembelea nayo ni Kagera na Kigoma. Mikoa mingine yote nimefika na kujaribu kufanya utafiti wa kawaida. Hali ni mbaya, Siandiki kwa ubaya lakini ndiyo Hali halisi. Wengi wanakuongelea kwenye mtazamo hasi. Hata kwenye...
  17. bezos2019

    JamiiForums Tanzania Shetani huvaa Prada, ulaghai ufanikiwao umechanganywa na ukweli

    Asilimia kubwa ya wanaopinga mkataba (IGA) Hawapingi mkataba (IGA) wa bandari, kwakua ili kupinga mkataba, ni lazima uanze na sheria zitakazo ongoza mkataba kwanza, kabla ya yaliyomo, kwakua yaliyomo ni lazima yafuate sheria. Hii ni kama tu unataka kupinga kwa nia njema ya taifa. Usipofanya...
  18. fundi radio

    JamiiForums Tanzania SoC03 Takwimu za wizara ya afya (Malaria, ukimwi) ziwe zenye ukweli wenye mashiko na rahisi kupatikana

    UTANGULIZI. Kipindi , Rais akiwa Hayati B.Mkapa alijitahidi sana kwenye kuboresha Taasisi, mashirika, wizara za Serikali zifanye kazi Kwa ufanisi Kwa kuwaweka watu makini na wenye ujuzi unao stahili kwenye vitengo mbalimbali vya Serikali. Moja ya sera yake kubwa ilikuwa ni UKWELI NA UWAZI...
  19. President of China

    JamiiForums Tanzania Ukulu ya Gamboshi - (Ufalme chini ya Ardhi)

    Nimawasalimia wana JF wote. Leo nimeona niweze kuelezea mambo muhimu sana ya nchi niliyoweza kuyapata miaka ya 90s. Miaka hiyo nilitokea kumpenda mtoto mmoja wa kike jina lake akiitwa Misoji. Kusema kweli mwanamke huyo sitamsahau katika maisha yangu. Yeye ndiye aliyenifundisha mambo mengi sana...
  20. Gushleviv

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu MediaTek

    Salaam wadau. Naomba kujuzwa na yeyote kuhusiana na hizi Chipset za MediaTek, haswa ubora wake na kwa nini bidhaa zilizo na Chipset hii zinadharaulika, je ni kweli MediaTek ni hovyo au ni maoni tu ya mkumbo? Mfano simu za Tecno,Itel na Infinix ni mbovu na kiwango chake ni cha chini sababu ya...
Back
Top Bottom