Kuna wakati inabidi ukweli uwe wazi ili upate amani ya Moyo.
Mimi Nusratt Mohamed, Nimechoka kuwa muuzaji.
Nimechoka na hii kazi,
Nimechoka kuwa dada poa,
Nimechoka kudhalilika kwenye jamii,
Nimechoka kunyooshewa vidole mtaani,
Nimechoka kuingiliwa na kila aina ya dhakari.
Inafikia mahali...