ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakuu, kuna ukweli wowote kuhusu tetesi za kufutwa kwa Sera ya Elimu Bila Malipo/Bila Ada?

    Habari, Nimeona kwenye Group la shule ya sekondari X Mkuu wa shule akiwaambia wazazi kuwa wajiandae mwakani hakutokuwa na Elimu bila malipo yaani wajiandae kulipia ada na michango mingine ndani ya shule Je, kuna yeyote mwenye taarifa rasmi au ushahidi kutoka wizara ya elimu kama kuna mpango...
  2. Ukweli Mchungu:kwa Siku hizi Vyeti Havikupi Kazi, Tafuteni Connections

    Wakuu, habari za wakati huu. Leo nataka niwaambie ukweli mchungu ambao vijana wengi wanaomaliza vyuo hawataki kuusikia, lakini ndio uhalisia wa soko la ajira kwa sasa. Siku hizi mambo yamebadilika sana. Kelele za "Nasoma UDSM chuo bora Afrika Mashariki" au "Nimepata First Class au Upper Second"...
  3. C

    Pius Lukaga amsifu Godbless Lema kwa uwazi na ukweli

    Mjumbe wa kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya CCM wilaya ya mbogwe mkoani Geita, Pius Lukaga amesema mjumbe wa kamati kuu ya chama cha demokrsiaa na manedeleo (CHADEMA), Godbless Lema amekuwa muwazi kwa kukiri jinsi ccm ilivyoumizwa na chama hicho. Lukaga amesema ukweli wa lema umetoa picha...
  4. C

    Boniphace Mwabukusi: Ukweli, haki na uwajibikaji ndio vitaliponya Taifa

    Wazungu wa Afrika kusini tulikuwa hatuwapingi kwa rangi yao, tulikuwa tunawapinga kwa ubaguzi wao hatuwezi kuwa na Makaburu hapa, halafu tukawaheshimu kwa sababu ni weusi ni makaburu." Mwl.JK NYERERE. Tumefika katika nafasi ambayo ,tunavuruga chaguzi zetu bila aibu,tunatumia risasi za moto...
  5. Wanawake mashetani na katili hawawaambii Watoto kuhusu Baba zao halisi. Wanaficha Ukweli

    WANAWAKE MASHETANI NA KATILI HAWAAMBII WATOTO KUHUSU BABA ZAO HALISI. WANAWAFICHA UKWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Umefinya ufuska wako huko ukabeba mimba ya mwanaume asiye wako. Yaani asiye mumeo. Kwanza nani aliyekuambia umbebee mimba mtu ambaye hajakuoa? Ni kwamba hujitambui...
  6. R

    Heche: Huwezi kuua ukweli

    Ukweli utàbaki kuwa ukweli.
  7. Nimewaza sana ila huu ndio ukweli.

    1:Utaonekana mwerevu pale utakapo kuwa na kitu cha kuonesha, porojo za mdomoni ni sawa na mbwa koko kubweka tu. 2:hakuna mwanaume anayependa mwanamke mmoja, hakuna mwanamke anaye penda mwanaume asiye na kitu. 3:flashlights za dunia hii, zipo kukusherehekesha, ila kama huna plan ya maisha...
  8. Unajuwa kwa nini serikali ya CCm inatumia nguvu kuficha ukweli October 29 .Sita sahau na ni ngumu kufutika akilini.

    Kitu ambacho kina nisuta jinsi watu walizikwa wakiwa hai,wengine waliitaji matibabu ila walishikiliwa na kuunganishwa kama marehemu. Hii kazi mungu ni samahee
  9. Huu ndio ukweli

    Huu ndio ukweli asilimia 100% wamama ndio watunzaji wawatoto kwenye familia. Wababa wao kazi zao kubwa nikuwapiga watoto na mama na kukimbilia kwa michepuko kuwahudumia . Halafu wanaume wengi kutoa zamani wanapenda kutunzwa sana tu mwanamke anaamka asubuhi anaenda kutafuta chochote kitu ili...
  10. PostGE2025 Wakili Massawe: Ukweli ndio unaotangulia; ndio unaopelekea hayo mengine unayoyataka

    Wakili wa Mahakama Kuu Fulgence Massawe ameleza kilichotokea Oktoba 29, 2025 "Yaani ukweli ndio unaotangulia; ndio unaopelekea hayo mengine unayoyataka. Mfano, majirani zetu hapa, Kenya, [mwaka 2007] walipata changamoto inayofanana na yetu. Na changamoto yao, nikuambie, huenda haikuwa na madhara...
  11. M

    Kuna ukweli kiasi gani Zanzibar inasuka mpango wa muda mrefu wa kuendelea kushika mamlaka hata Rais ajae akija kutokea Tanganyika?

    Kuna ukweli kiasi gani katika madai kwamba Zanzibar inaweka mfumo wa kisiasa na kiutawala ndani ya Tanganyika unaoweza kuiwezesha kuendelea kushikilia mamlaka kwa miongo kadhaa ijayo, hata pale ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakapokuwa anatoka Tanganyika? Je, huu ni mkakati wa...
  12. Subscribe hii Post: Kwa Makundi ya CAF yalivyo, ukweli mchyngy ni kwamba hakuna Timu hata Moja ya Tanzania itaingia robo fainali.

    Ukweli mchungu ni kwamba sio Yanga,Simba Wala Azam wayavuka makundi licha ya kujifariji,makundi yamewakalia vibaya sana. My Take Ambae hataki kukutana na vigogo akashiriki Kagame CUP
  13. Ujue Ukweli wa Majemadari wa Vita Vya Maji Maji Walionyongwa na Wajerumani

    https://vt.tiktok.com/ZSgbboFu8/
  14. O

    Ila sasa kwanini picha imechorwa hii

    Ukubwa wa makalio hauhusiani na uwezo wa kufikiri, akili au tabia ya mwanamke. Ubongo upo kichwani, na ukubwa wa matako hauonyeshi kiwango cha akili ya mwanamke. Kama ukiilenga tabia badala ya maumbile, Basi ni kweli wanawake wengi wenye matako makubwa wanajivunia mwonekano wa nje kiasi cha...
  15. K

    Kutoka Madhabahuni hadi Kwenye Ukweli: Kwanini Siamini Tena Dini Tulizoletewa

    Utangulizi: Malezi Yangu na Mwanzo wa Shaka Nimezaliwa na kulelewa katika mazingira ya Kikristo yenye misingi thabiti. Tangu utotoni, nilikuwa muumini mzuri, mfuatiliaji wa mafundisho, na mtoto niliyebahatika kusoma katika shule za misheni. Huko ndiko nilikolishwa Biblia kwa mara ya kwanza...
  16. O

    Mambo yanayoweza chochea UPATIKANAJI WA UTI

    MOD UKITAKA KUBADILI CHOCHOTE SEMA NAMI BWANA NASIKIA ACHA UJUAJI. MADA Wakati wa tendo la ndoa, msuguano ukizidi unaweza kusogeza bakteria kutoka kwenye ngozi au eneo la haja kubwa ya ke kuelekea kwenye tundu la mkojo la me na ke simulitaneously, na bakteria hao wanapoingia kwenye njia ya...
  17. Huu ndo ukweli Mchungu kuhusu Watanzania

    Watanzania hawajafunzwa namna bora ya ku reason na kuja na judgements zao wenyewe.. Yaani ndo maana hata kwenye siasa ni rahisi sana kuwashika, maana hawafanyi logic, wanafata nani anasema sana. Wabongo wengi ni kama kondoo, all it takes ni atokee kondoo mmoja mjanja aanzishe safari na wote...
  18. Ukweli mchungu: Je, ni kila mtu anayestahili kusaidiwa?

    Katika jamii zetu, tumefundishwa kusaidiana tunapokuwa na uwezo. Lakini kuna swali ambalo watu wengi hawapendi kulijadili: Je, ni kila mtu anapaswa kusaidiwa? Wapo watu wanaosaidiwa mara nyingi lakini hawajifunzi kujitegemea. Wengine wanapewa mitaji, wanaharibu, kisha wanarudi kuomba msaada...
  19. Ukweli ni ngao ya taifa: Kukemea upotoshaji na taarifa za uongo

    Katika ulimwengu wa sasa wa maendeleo makubwa ya teknolojia na mitandao ya kijamii, uwezo wa kusambaza taarifa umekuwa mkubwa na wa haraka kuliko wakati wowote katika historia ya mwanadamu. Hata hivyo, uhuru huu mkubwa unakuja na wajibu mzito wa kimaadili na kizalendo. Kusambaza taarifa za...
  20. Huyu dada kaongea ukweli japo Lugha Ina ukakasi.Ukiolewa na Mwanaume Maskini Tulia Ukileta ujuaji kwenye Mali zake utachinjwa kama kuku.

    Sikiliza video kamaili hapa https://www.instagram.com/reel/DekdWJCik8d/?xtok=MXQycG1hZXY1azQ4dA==
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…