ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wadada leo niambieni ukweli mnataka nini..?

    Maana nimeshindwa kuwaelewa huu moyo wangu mnachoufanya mnajua nyinyi tu!, na sasahivi kilichobaki mnataka tu muuchomoe huu moyo muupike supu mle na chapati!.. Niambieni mnataka nini..??
  2. JamiiForums Tanzania Uongo unaotambulika kama Ukweli: Archimedes aliweza kuunguza meli za Warumi kwa kutumia Vioo na Mwanga wa jua

    Hili lipo Historically, tunaambiwa huyu mdau (mgunduzi) alitumia mbinu za kutumia vioo na mwanga wa jua (kama vile lense inavyoweka kuchoma karatasi) na kuunguza Meli zilikuwa zinavamia..., Je kuna ukweli kwamba hilo lilitokea ? https://youtu.be/ZI3WcOTGd4o?si=l0gGUXgAPdBg9pwJ
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba mwanamke siyo ndg Yako hata kama umtunze vipi akiamua kukuacha atakuacha tu!

    Heri kwenu nyote. Wiki iliyopita Hadi Jana nilikuwa sehemu Moja kijijni katika harakati za kukusanya mpunga Kwa wakulima. Sehemu hiyo ni Geita wilaya ya Nyang'hwale msalala Kijiji Cha bumanda senta ya Zanzibar Nikiwa nikiendelea na makusanyo ya mpunga maeneo hayo kumbuka Mimi ni mzaliwa wa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuelekea dabi yanga na simba June 15,2025

    Iwapo yanga atapeleka timu uwanjani kucheza na simba yafuatayo yatatokea. Yanga watacheza Kwa nguvu na pressure kubwa na rafu nyingi kupelekea kuadhibiwa Kwa kadi za njano nyingi. Kuna uwezekano simba wakafaidika na hizo rafu na hata haitakuwa ajabu simba wakipata penati zaidi ya Moja...
  5. JamiiForums Tanzania Sio kwa Ubaya: Ndugu zetu wako nyuma sana kwenye kupambania Ukweli. Ndo mana wameizunguka Israel ila Palestina anapigwa kila siku na wao wapo tu

    Kizazi cha ndugu zetu kilichokuwa na akili kidogo ni kile cha kina Gamal Abdel Nasser aliyekuwa Rais wa Misri miaka ya 1960. Kizazi hiki ndo the Golden Generation ya hawa ndugu zetu. Pamoja na unyonge ila waliweza kusimamia kweli na kuitetea kweli. Waliisimamia Palestina dhidi ya Israel hadi...
  6. JamiiForums Tanzania Jamiiforum naomba kujua kuna ukweli gani kwa nini mada ambazo uzushi wa ccm ya serikali zinakuwa jamiicheki ila zikiwa serikali zinafutwa

    Ili jambo naomba kuuliza maana siku hizi unaweza kujaza maneno ukaishia kufutwa uzi. Mfano huu na bado mnaweka mada kudai kama uzushi
  7. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kwa wanaume wote

    1. Kuwa mwangalifu na afya yako siku zote. 2. Jiwekeze kiuchumi kwani fedha itakuwa msaada wako umri ukienda. 3. Umri ukienda sana thamani inategemea hali yako ya kifedha. 4. Umri ukishaenda hakuna atakayekuajiri. 5. Watoto ulio nao wote wapi tayari kukaa na mama yao akiwa mzee kuliko wewe...
  8. JamiiForums Tanzania Hili lina ukweli huko Sumbawanga ?

    Nataka nikanunue za masafa marefu
  9. JamiiForums Tanzania Kuna jamaa hapa kijiwen kasema kama ulikuwa hauna unafuu kabla ya 2015, umebakia hivyo hivyo had hii sasa

    Kuna jamaa hapa kijiweni kasema kama ulikuwa hauna unafuu kabla ya 2015, umebakia hivyo hivyo had hii sasa yan unaishi kwa mishe to mishe zisizoeleweka
  10. JamiiForums Tanzania Huu ni ukweli mchungu, nchi ya wanasiasa matajiri kuliko wafanyabiashara

    Hakuna nchi inayoweza kupiga hatua kubwa za kimaendeleo endapo SIASA zake zinalipa kuliko VIWANDA VYAKE,Katika nchi ambayo Wanasiasa ni matajiri Kuliko Wafanyabiashara na wajasiriamali, hapo ni lazima umaskini utanawiri tuu!!! Hayaa ni maoni yangu baada ya kukaa na kutafakari jinsi watu wengi...
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli unaouma kuhusu Israel huu hapa!!!

    Wape wape vidonge vyao wakimeza wasimeze Shauli yao!!!! https://x.com/fcjoriginal/status/1913388970823803060?s=61
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukweli mchungu: Waliokataliwa sio CHAUMMA, bali ni CCM

    Ukitafakari kwa kina, utagundua huu ndio ukweli . Mwanza hawajaikaa CHAUMMA, bali wameikataa CCM inayotuhumiwa kuifadhili CHAUMMA ili kiwe chama kikuu cha upinzani badala ya CHADEMA. Hasara ya CHAUMMA ni kupoteza hata ile imani kidogo watanzania waliokuwa nayo juu ya chama hiki. Somo...
  13. JamiiForums Tanzania Uzalendo vs ukweli. Nachagua ukweli

    Mbunge Musukuma alisikika akiunguruma Hatuna chochote cha kujifunza kutoka Kenya! Waakenya tunawazidi kwa kila kitu: akili, siasa ....! Kwa Musukuma kudai ana akili kubwa.....ni kichekesho cha mwaka huu. Wakenya walidukua saiti yake mtandaoni wakakuta alifeli la saba, tena la Tanzania! Ikawa...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watu wa Mbeya tuambieni ukweli, huyu ni wa kwenu kweli au mlisingiziwa? Mbona hafanani na nyie?

    Tunamjua Mwakyembe alisimama imara kuwapinga Mafisadi kina Lowassa na Rostam Tunamjua Mwandosya, alimpiga spana Jiwe na kuweka msimamo dhidi yake pamoja na Jiwe kumbananisha sana Tunamjua Sugu, pamoja na urafiki wake na Samia ila kasimama imara kusambaza No Reforms No Election Tunamjua Mdude...
  15. JamiiForums Tanzania Raisi Samia Suluhu Hassani alikosea sana kumjibu askofu Gwajima kwani aliongea ukweli ambao serikali ilitakiwa ifanyie kazi na simaneno yale

    Gwajima tunanfahamu ni mtu ambaye hajakurupuka kutoa taarifa ya utekaji kwani swala hilo linapigiwa kelele na watanzania wote, kitendo cha raisi kumdhalulisha gwajima mbele ya umma huku akijuwa mambo aliyoyaongea yalitakiwa yafanyiwe kazi na serikali ni dhahiri sasa watekaji raisi mwenyewe...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Abbas: Ukweli kufuniliwa kesho kanisani

    Watu wanaalikwa kanisani kwa Gwajima kuujua ukweli kuhusu elimu ya ABBAS. Mwana kulitafuta, mwana kulipana. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nacheka, lakini naogopa
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu, gazeti la Mwananchi la leo. Hili ni swali, hizi tuhuma za wanaharakati wa jirani kutendewa ndivyo sivyo, ni zinatuchafua kwelikweli kitaifa na kimataifa!. Swali je ni Tanzania tunachafuliwa kwa tuhuma za uongo?, au tuhuma hizo ni kweli, sisi ni Wachafu? na...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi hili jambo lina ukweli?

    Eti wakuu Kuna ukweli kwamba mwanamke akikupenda sana wewe mwanaume basi lazima atakuzalia watoto wanaofanana na wewe copyright?
  19. H

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni dini mpya

    Viongozi wote wa Kiafrika wakubali wakaungana na kusimama katika mshikamano watafanikiwa kuwakomboa watu wao wanaoishi katika umaskini. Waafrika wote wanahitaji kuungana tena na kuacha kuruhusu Magharibi kudhibiti utajiri wa Afrika. Viingozi wa Afrika yote mnahitaji ka kudhibiti utajiri wa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Nampenda Rais wangu mana huwa anaongea ukweli. Hatakagi kuongea fix ili kuwafurahisha watu kama mtangulizi wake.

    Samia is real an icon of this particular country and world at large. She speaks her mind truthfully with no lies to make people happy even if they are not happy During the magufuli's regime the government was run on fixes and proxies such that no one was allowed to query even though there...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…