Wakuu naombeni mnisaidie hivi mtu unashindaje vita ndani ya nafsi?
Mimi Nahisi imenishinda? Kuna vitu vimetokea maishani na siwezi kuvisahau, Kuna watu wameniumiza na siwezi kusamehe, hasa hasa kujisamehe mwenyewe.
Naona wwngine wakipitia magumu Zaid yangu ila wanakuwa Sawa na maish...
1. Kilimo cha kutupa maendeleo kinahitaji uwekezaji mkubwa wa pesa na sio hiki kilimo cha jembe la mkono na kutegemea mvua.
2. Ongezeko la wawekezaji kwenye pombe kali na kamari unatugharimu nguvukazi na maadili. Kodi kubwa ziongezwe huko ili kuwakatisha tamaa wawekezaji kwenye hayo mambo ya...
Wanawake Ukiwanyima Tu pesa Kauli Inayofuata Ni "Wanaume Wote Ni Mbwa" Hii kauli Ilitokana Na Mapenzi Watu wanajiua Kisa mapenzi Laiti haya Mapenzi yangekuwa mtihani wa taifa wengi tungekuwa tunarudia darasa kila mwaka Na ndio maana wanakwambiya Mapenzi Hayana Mwenyewe.
Wengine wakati Tumeingia...
Natanguliza samahani kwa nitakaye mkwaza.
Labda tu niwambie Tanzania kuna kitu hamjui kuhusu mtu anayeitwa mnyarwanda wale watu hata wakae miaka mia kwenu hawatawahi kuwa watanzania hata siku moja wale siku zote nchi yao iko damuni wanakaa wa sababu hawana namna sasa hivi mmewakaribisha kila...
Kama ambavyo tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025 ilivyofeli nayo hii tume mpya itafeli kwa sababu uongo lazime ufeli sehemu ambapo ukweli unajulikana.
Tunajua ukweli kwamba mambo yote haya kama maandamano yamesababishwa na wahuni kuwa madarakani kwahiyo chochote mtakachokifanya kitafeli...
Kwa level ya Taifa, ukimpa mwananchi umeme, barabara, huduma za afya, maji safi, elimu bora nk, unampa uwezo wa kukuhoji utendaji wa serikali, ila Ukimwacha na njaa, unakuwa umempa kazi moja tu, kupambana kesho ale asife.
Hii ina apply pia kwa maboss wetu maofisini. Wengi sana wanafanya maksudi...
WARIOBA NI MTU WA HOVYO SANA...
Kuna muda tunajizuia sana kuongea juu ya huyu mzee lakini tunashindwa kabisa kwa kuwa ana mambo ya hovyo sana na amezanza huu uhovyo muda mrefu sana..
Jose yeye kila kitu kinachofanywa na serikali ni makosa na lazima awe na mawazo tofauti na kukosoa na...
TUSIPOJITUMA TUTATUMWA: Ukweli Mchungu Kuhusu Mustakabali wa Afrika.
Kuna jambo la kutisha linaloendelea sasa hivi: Vijana wa Kitanzania na Waafrika kwa ujumla wanalegezwa taratibu na mambo yasiyo na tija. Kamari, uraibu wa michezo bila uzalishaji, na anasa za muda mfupi zimekuwa kipaumbele...
Kenya imeamka na reality check mob sana baada ya Ethics and AntiCorruption Commission (EACC) kutoa survey mpya ya 2025 na findings zake ni eyeopening kabisa.
Kulingana na report, wanawake na watu single ndio wanatoa bribes mara nyingi zaidi kuliko wanaume au wale wako kwa ndoa. Why? Simple wao...
Nauliza kwa dhati kabisa
Nauliza swali ambalo wengi wanaogopa kuliuliza waziwazi…
Hivi hawa machawa wa CCM wanaishi nchi hii hii tunayoiishi sisi, au wanaishi kwenye dunia yao?
Kwa sababu ukweli hauhitaji kupakwa rangi,
Maisha yamekuwa magumu kupindukia
Vijana hawana ajira
Wananchi wanalia...
Hivi sasa kinachoendelea huko mitandaoni ni kelele kwamba Mheshimiwa flani kaachana na mke wake baada ya DNA kuonyesha mtoto si wa kwake,
Hakuna chanzo rasmi kilichothibithisha kwa uhakika kama hii ni habari ya kweli au porojo za mitandaoni, lakini ukweli mchungu ambao haupingiki, kuna wanaume...
Acha nianze:
Maisha hayana huruma - unaweza kufanya kila kitu kwa ubora na kama inavyotakiwa na bado ukafeli.
Ukimya ni jibu - jifunze kunyamaza na kucontrol hisia zako, itakupunguzia matatizo mengi ambayo si ya lazima.
Watu watakuja na kuondoka kwenye maisha yako, ni mzunguko wa asili...
Leo kuna kijana anataka kwenda south Africa kutafuta maisha alinipigia na yupo mkoa fulani siwezi kutaja.
Kwa tafiti zangu za kuzurura na kutembea sana ila kule sasa sio pakutafuta maisha kwa mtu ambaye shule huna, unakwenda kwa kutumia viza za miezi,huna kibari cha kazi.
Waliofaidi ni wale...
Kila siku tunasema humu. Kwa tulipofikia ni sisi Watanganyika kuamua kujikomboa tu. Na hiki ndicho kilichobaki na suluhisho pekee mbele yetu.
Kama kuna mtu aliyekuwa anadhani kuwa Samia anaumizwa na vifo vya Watanganyika basi ajue anakosea sana.
Kama kuna mtu alikuwa anadhani kuwa Samia...
1. School Won’t Make You Rich — But School Is NOT a Scam
Shule haikubuniwa kukufanya uwe tajiri.
Shule ilibuniwa kukufanya uwe mtu wa kawaida mwenye nidhamu, uwezo wa kusoma, kuandika na kufikiri.
Kufanikiwa ni kazi ya skills, mtaji wa mawazo, na maamuzi ya kiuchumi, sio tu cheti.
Cheti ni...
Ni huzuni kuu inayotanda mitaani. Machozi yanayodondoka kwenye nyuso za mama waliopoteza watoto wao, kelele za huzuni za ndugu wanaojaribu kuelewa kwa nini wale waliokuwa wakidai haki leo wamelala milele. Tanzania, nchi iliyojulikana kwa amani na utulivu, leo inajikuta ikitikiswa na maswali...
Habarini,
Tofauti na kichwa cha habari, katika pitapita zangu TikTok nlikutana na account ya jamaa mmoja mtanzania, anajiita Dr Julian sio mwanamziki wala sio muigizaji, hapost maisha expensive, ila aloo hiyo idadi ya wadada wanao-andika thirst comments kwenye picha za huyo mkaka , na...
Ninasimamia ninachoamini na ninaamini watanzania hawapo tayari kwa maandamano yasiyo na mwisho na Hilo ndilo linafanya maandamano yanayoratibiwa kufanyika OKTOBA 29 kukosa hoja ya ushawishi na utekelezaji na kuyapuuza.
Huu ndio ukweli mchungu wa OKTOBA 29 :
Kwanza , watu wataamka mapema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.