ukweli mchungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The right hand

    JamiiForums Tanzania Wanaume leo nawapa ukweli mchungu: Hakuna mwanamke asiye na mchepuko

    Huyo mwanamke unaemuamini sana, unampenda sana na anakupenda sana huyo huyo lazima anae mchepuko wake. (Ukibisha haibadili ukweli) kiasili mwanamke sio mtiifu ni muasi ndio maana unaona Eva alimuasi Mungu, kama mwanamke alimuasi Mungu wewe ni nani asikuasi ?! Huyo huyo ambae haujawahi kumkuta...
  2. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Enyi Makanisa ya kilokole mwanamke akipata mimba kabla ya ndoa msimtenge mnachochea abortion acheni wazae nyinyi siyo Mungu

    Wachungaji wa Makanisa ya kilokole punguzeni mashariti acheni kuwatenga mwanamke wanaopata mimba kabla ya ndoa, hii inapelekea ongezeko la utoaji wa mimba. Na ninyi wanawake mchungaji siyo Mungu ni binadamu kama binadamu wengine acheni kujieleza Kila kitu kwa wachungaji au mnalogwa? ...ongeeni...
  3. Damaso

    JamiiForums Tanzania Suala la Udini Vyuoni na Ukweli Mchungu

    Hivi majuzi kumekuwa na minong’ono chini kwa chini kwenye korido za wasomi na mitandao ya kijamii. Watu wanahoji: "Kwanini teuzi za Makamu Wakuu wa Vyuo Vikuu (Vice Chancellors) hapa nchini zimekaa mrengo fulani wa kiimani? Mbona pale SUZA pamejaa kanzu , na kule SAUT kumejaa mapadre na...
  4. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu wengi tunaopigia kelele ufisadi, wizi , rushwa. Ni kwamba hatuko kwenye hizo position ndo maana kelele ni Nyingi.

    Huu ndo ukweli mchungu watanzania 90% tuna toka kwenye familia zilizo jaa umaskini wa kupindukia. Ndugu zetu vijijini wanaogelea kwenye umaskini wa kutisha ndo maana zikitokea chance watu wanazitumia vizuri hakuna tuzo ya Utesekaji bora ...
  5. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu mwanaume, machozi yako na hisia zako havitathaminiwa popote

    Ni lini machozi ya mwanaume yaliwahi kuthaminiwa? Ni mwanaume gani anahisi au anawaza kuwa tegemezi? Hivi unajua ,unathaminiwa na kuhurumiwa ukiwa mtoto tu,lakini baada ya hapo lazima ustruggle? Hivi mnajua mwanaume hupaswi kudeka,kuringa wala kutaka kuonewa huruma? Iko...
  6. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Vita Vikuu vya Nafsi Yangu

    Wakuu naombeni mnisaidie hivi mtu unashindaje vita ndani ya nafsi? Mimi Nahisi imenishinda? Kuna vitu vimetokea maishani na siwezi kuvisahau, Kuna watu wameniumiza na siwezi kusamehe, hasa hasa kujisamehe mwenyewe. Naona wwngine wakipitia magumu Zaid yangu ila wanakuwa Sawa na maish...
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 ambayo tunapaswa kujiambia kama ukweli mchungu kisha kufanyia kazi

    1. Kilimo cha kutupa maendeleo kinahitaji uwekezaji mkubwa wa pesa na sio hiki kilimo cha jembe la mkono na kutegemea mvua. 2. Ongezeko la wawekezaji kwenye pombe kali na kamari unatugharimu nguvukazi na maadili. Kodi kubwa ziongezwe huko ili kuwakatisha tamaa wawekezaji kwenye hayo mambo ya...
  8. bless on

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu wa Mapenzi: Kutoka Dopamine Hadi Machungu

    Wanawake Ukiwanyima Tu pesa Kauli Inayofuata Ni "Wanaume Wote Ni Mbwa" Hii kauli Ilitokana Na Mapenzi Watu wanajiua Kisa mapenzi Laiti haya Mapenzi yangekuwa mtihani wa taifa wengi tungekuwa tunarudia darasa kila mwaka Na ndio maana wanakwambiya Mapenzi Hayana Mwenyewe. Wengine wakati Tumeingia...
  9. Niwaheri

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu Kuhusu Wanyarwanda Tanzania

    Natanguliza samahani kwa nitakaye mkwaza. Labda tu niwambie Tanzania kuna kitu hamjui kuhusu mtu anayeitwa mnyarwanda wale watu hata wakae miaka mia kwenu hawatawahi kuwa watanzania hata siku moja wale siku zote nchi yao iko damuni wanakaa wa sababu hawana namna sasa hivi mmewakaribisha kila...
  10. passioner255

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kama ya Chande ilivyofeli ndivyo hii Tume mpya itafeli

    Kama ambavyo tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025 ilivyofeli nayo hii tume mpya itafeli kwa sababu uongo lazime ufeli sehemu ambapo ukweli unajulikana. Tunajua ukweli kwamba mambo yote haya kama maandamano yamesababishwa na wahuni kuwa madarakani kwahiyo chochote mtakachokifanya kitafeli...
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Kwa watumishi wa Serikalini, Waajiri wetu wengi hawataki tuufikie Utajiri, wanataka tufikirie Survival tu!

    Kwa level ya Taifa, ukimpa mwananchi umeme, barabara, huduma za afya, maji safi, elimu bora nk, unampa uwezo wa kukuhoji utendaji wa serikali, ila Ukimwacha na njaa, unakuwa umempa kazi moja tu, kupambana kesho ale asife. Hii ina apply pia kwa maboss wetu maofisini. Wengi sana wanafanya maksudi...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Picha ya Msiba Wako: Ukweli Mchungu

    Siku moja bila kujua utapiga picha ambayo itakuja kutumika kwenye msiba wako.
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Ukweli Mchungu wa 'Nongwa' Zake

    WARIOBA NI MTU WA HOVYO SANA... Kuna muda tunajizuia sana kuongea juu ya huyu mzee lakini tunashindwa kabisa kwa kuwa ana mambo ya hovyo sana na amezanza huu uhovyo muda mrefu sana.. Jose yeye kila kitu kinachofanywa na serikali ni makosa na lazima awe na mawazo tofauti na kukosoa na...
  14. Am the One

    JamiiForums Tanzania TUSIPOJITUMA TUTATUMWA: Ukweli Mchungu Kuhusu Mustakabali wa Afrika

    TUSIPOJITUMA TUTATUMWA: Ukweli Mchungu Kuhusu Mustakabali wa Afrika. Kuna jambo la kutisha linaloendelea sasa hivi: Vijana wa Kitanzania na Waafrika kwa ujumla wanalegezwa taratibu na mambo yasiyo na tija. Kamari, uraibu wa michezo bila uzalishaji, na anasa za muda mfupi zimekuwa kipaumbele...
  15. O

    JamiiForums Kenya “Je, ndoa ni leseni ya ridhaa ya milele? Ukweli mchungu kuhusu ubakaji ndani ya ndoa ambao jamii inakataa kukubali.”

    Kwa ndoa Kuna ubakaji unakubaliana
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake na singles wanabeba mzigo wa rushwa Kenya EACC Survey yafichua ukweli mchungu

    Kenya imeamka na reality check mob sana baada ya Ethics and AntiCorruption Commission (EACC) kutoa survey mpya ya 2025 na findings zake ni eyeopening kabisa. Kulingana na report, wanawake na watu single ndio wanatoa bribes mara nyingi zaidi kuliko wanaume au wale wako kwa ndoa. Why? Simple wao...
  17. east36

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Machawa wa CCM na uhalisia wa maisha ya mtanzania

    Nauliza kwa dhati kabisa Nauliza swali ambalo wengi wanaogopa kuliuliza waziwazi… Hivi hawa machawa wa CCM wanaishi nchi hii hii tunayoiishi sisi, au wanaishi kwenye dunia yao? Kwa sababu ukweli hauhitaji kupakwa rangi, Maisha yamekuwa magumu kupindukia Vijana hawana ajira Wananchi wanalia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nje ya tetesi za Mheshimiwa kuachana na mke wake baada ya DNA kuonyesha mtoto si wake, ukweli mchungu wanaume wengi tunakuza watoto wasio wetu

    Hivi sasa kinachoendelea huko mitandaoni ni kelele kwamba Mheshimiwa flani kaachana na mke wake baada ya DNA kuonyesha mtoto si wa kwake, Hakuna chanzo rasmi kilichothibithisha kwa uhakika kama hii ni habari ya kweli au porojo za mitandaoni, lakini ukweli mchungu ambao haupingiki, kuna wanaume...
  19. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

    Acha nianze:

 Maisha hayana huruma - unaweza kufanya kila kitu kwa ubora na kama inavyotakiwa na bado ukafeli. Ukimya ni jibu - jifunze kunyamaza na kucontrol hisia zako, itakupunguzia matatizo mengi ambayo si ya lazima. Watu watakuja na kuondoka kwenye maisha yako, ni mzunguko wa asili...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukweli mchungu ila vijana wanaokwenda South Africa bora wakabaki hapa

    Leo kuna kijana anataka kwenda south Africa kutafuta maisha alinipigia na yupo mkoa fulani siwezi kutaja. Kwa tafiti zangu za kuzurura na kutembea sana ila kule sasa sio pakutafuta maisha kwa mtu ambaye shule huna, unakwenda kwa kutumia viza za miezi,huna kibari cha kazi. Waliofaidi ni wale...
Back
Top Bottom