Wakuu naombeni mnisaidie hivi mtu unashindaje vita ndani ya nafsi?
Mimi Nahisi imenishinda? Kuna vitu vimetokea maishani na siwezi kuvisahau, Kuna watu wameniumiza na siwezi kusamehe, hasa hasa kujisamehe mwenyewe.
Naona wwngine wakipitia magumu Zaid yangu ila wanakuwa Sawa na maish...