ujenzi

  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Mkataba wa Bandari unafanana kila kitu na mkataba wa ujenzi wa Mlimani City

    Ukienda pale Dar es Salaam kuna sehemu inaitwa Mlimani City, na wengine wakienda Dar es Salaam na kama hawajafika Mlimani City wanahisi hawajafika Dar es Salaam. Wakati tunaijenga Mlimani City tuliambiwa tunakiuza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kumbe tulichukua eneo dogo na kumpa mwekezaji...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mafundi ujenzi Morogoro

    Habarini mafundi mlioko Morogoro naomba mje inbox na gharama za kunijenege nyumba ifuatayo kutoka msingi hadi boma. Master 1, vyumba viwili kimojawapo ni self, dining, jiko na store kiwanaj ni tambalale
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Bwawa La Nyerere wafikia asilimia 90, uzalishaji kuanza mwezi Juni 2024

    WAZIRI wa Nishati, January Makamba ameeleza kuwa Ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHPP) umefikia asimilia 90 huku shughuli ya kufunga mitambo ya kufua umeme pamoja na nyumba yake ikiwa imefikia asilimia 70 Akizungumza wakati akiongoza viongozi wa Baraza la Jumuiya ya...
  4. E

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi ujenzi wa ghala la kisasa ulivyosababisha majonzi makubwa kwa wanakijiji

    Ni majonzi makubwa yamekighubika kijiji kizima cha Mukalinze.Wanakijiji wote, wanaume na wanawake ni kama tumepoteza sababu ya kuyafurahia maisha kwa pigo lilokipiga na kukijeruhi vibaya kijiji chetu hiki kikongwe. Kama sasa hivi akifika mgeni ghafla hapa kijijini kwetu,anaweza kufikiria...
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wekeni mambo wazi, ujenzi wa Ikulu Chamwino ni kazi nzuri ya hayati Magufuli, angekuwepo hata bandari ingeendelezwa na JKT bila DP World

    Miundo mbinu ya bandari ni cranes, na kuwa na gati za kisasa. Hili halihitaji mwarabu kupewa kwa nguvu hata JKT wangepata utalaamu kutoka China wqngefunga cranes za kisasa na kuwezesha ufanisi. Hii ya Ikulu Chamwino msitie Chumvi za uongo aliyepambana ni hayati. Vinginevyo wangejenga hata...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tangazo la fursa ya mkopo nafuu - ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imedhamiria kuanzisha mpango wa kuwezesha ujenzi wa vituo vipya vidogo vya mafuta (petroli na dizeli) vya gharama nafuu maeneo ya vijijini ili kuondoa madhara yatokanayo na njia zisizo salama. Wakala unakaribisha waomabaji wenye vigezo kuomba...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Milioni 500 Kumaliza Ujenzi Kituo cha Afya Madilu - Jimbo la Ludewa

    MILIONI 500 KUMALIZIA UJENZI KITUO CHA AFYA MADILU Mbunge wa jimbo la Ludewa Joseph Kamonga amesema nwaka huu serikali inatoa kiasi cha sh. Mil. 500 kwaajili ya umaliziaji ujenzi wa kituo cha afya cha kata ya Madilu ambacho wananchi wamejenga kwa asilimia 80 kwa kuchangishana fedha kwa kipindi...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Ofisi za CCM Kata ya Igunga

    📍 Igunga, Tabora Video/clip Muonekano wa Ofisi za Kata za Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye Jimbo la Igunga zinajozengwa kwa mashirikiano ya Mbunge Mhe. Nicholaus George Ngassa na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM). Ahadi ya Mbunge kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 ni kuhakikisha Kata Kumi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kama bajeti imetengwa, nini kinachelewesha ujenzi Barabara ya Kimara – Bonyokwa?

    Kumekuwa na kilio cha muda mrefu kuhusiana na ubovu wa Barabara ya Kimara – Bonyokwa, kumekuwa na ahadi nyingi lakini utekelezaji unasuasua. Tunafahamu juhudi za viongozi zinazofanywa, lakini tunashangaa nini hasa kinazuia ujenzi wake kutofanyika wakati tuliambia bajeti yake imetengwa katika...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Gulamali Atoa Mifuko 700 ya Simenti Ujenzi wa Shule na Zahanati

    MBUNGE GULAMALI ATOA MIFUKO 700 YA SIMENTI UJENZI WA SHULE NA ZAHANATI JIMBO LA MANONGA Mbunge wa Jimbo Manonga Wilaya ya Igunga, Mhe. Seif Khamis Gulamali ameendelea na ziara yake katika Vijiji vya Kata ya Uswaya na kutoa Mifuko 700 ya Simenti kwaajili ya kusaidia ujenzi wa Shule za Msingi na...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kisiwa cha Rukuba Kimekamilisha Ujenzi wa Kituo cha Afya

    KISIWA CHA RUKUBA KIMEKAMILISHA UJENZI WA KITUO CHA AFYA Kisiwa cha Rukuba kiko ndani ya Kata ya Etaro yenye vijiji vinne (Busamba, Etaro, Mmahare na Kisiwa cha Rukuba). Kisiwa hiki cha Musoma Vijijini kina Shule ya Msingi yenye vyumba vya madarasa vya kutosha ikiwepo ziada ya vyumba viwili...
  12. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa daraja la simiyu (m 150) pamoja na barabara za maingilio yenye urefu wa kilometa 3

    Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa daraja la simiyu (m 150) pamoja na barabara za maingilio yenye urefu wa kilometa 3.
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS imesaini mkataba wa Ujenzi wa Daraja la Simiyu lenye urefu wa mita 150 na barabara za Maingiliano zenye urefu wa km 3 kwa kiwango cha lami

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia TANROADS imesaini mkataba wa Ujenzi wa Daraja la Simiyu lenye urefu wa mita 150 na barabara za Maingiliano zenye urefu wa km 3 kwa kiwango cha lami kwa gharama ya shilingi bilioni 48.788. Akizungumza kwenye hafla fupi ya utiaji saini mkataba...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Sijamuelewa Naibu Katibu Mkuu ujenzi na usafirishaji kuhusu DP World

    Jana Jumatatu katika dakika 45 ya mahojiano kuhusu DP World kati ya Naibu Katibu Mkuu Ujenzi na Usafirishaji na Ndugu Mzinga kwa kweli sikumuelewa alichokuwa anaeleza Naibu Katibu Mkuu kuhusu DP World. Hakuwa amejitayarisha na maelezo yake yalikuwa below standard. Kwa mahojiano yenye umuhimu...
  15. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Barabara ya Segerea-Bonyokwa-Kimara waanza baada ya kulalamikiwa kwa muda mrefu

    Habari wakuu, Hii barabara kuanzia Segerea-Bonyokwa mpaka Kimara kwa sisi wakazi wa maeneo hayo ilikuwa kero kubwa sana sababu kutokana na ubovu wake hasa kipindi cha mvua. Hii barabara imekuwa ikilalamikiwa miaka na miaka lakini serikali ilikuwa imeziba masikio lakini sasa kilio kimewafikia...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama akabidhiwa Kipande cha Sehemu ya ujenzi wa uwanja wa Mashujaa

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama, amekabidhiwa kipande cha sehemu ya ujenzi wa uwanja wa mashujaa, katika Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma mapema Julai 2, 2023. Ujenzi huo unaotekelezwa na kampuni ya SUMA...
  17. L

    JamiiForums Tanzania CPC yaongoza ujenzi wa jumuiya ya China na Afrika yenye mustakabali wa pamoja

    Tarehe 1 Julai mwaka huu ni kumbukumbu ya miaka 102 tangu kuanzishwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC. Katika kipindi cha karne iliyopita, CPC kimewaongoza Wachina kufikia maendeleo ya kihistoria, na kuiendeleza China, iliyokuwa maskini na dhaifu, kuwa nchi ya pili kwa uchumi mkubwa...
  18. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Kwa saini yako kwenye mkataba wa DP World, Waziri wa Ujenzi na uchukuzi bado upo madarakani kweli?

    Najiuliza tu, ni kweli wewe waziri wa Ujenzi ulisaini ule mkataba ukiwa na akili timamu? Nini hasa ilikuwa dhamira yako? Nani alikuwa nyuma yako? Wewe na waliokuwa nyuma yako mnajisikiaje kwasasa? Je, ni Mtanzania yupi mwenye akili timamu anaweza kukuamini wewe kwasasa? Huoni aibu kwani? Na...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Mwenge waliopisha ujenzi wa Stendi wadai wametupwa na Manispaa ya Kinondoni

    Baadhi ya Wafanyabiashara waliopisha mradi wa ujenzi wa Kituo cha Mabasi Mwenge (Mwenge Bus Terminal) na kudai kuwa waliahidiwa kupewa kipaumbele baada ya mradi kukamilika, mambo hayajaenda kama walivyotarajia. Wamedai kuwa ahadi hiyo ilitolewa Mwaka 2019 baada ya Mkandarasi Mshauri kukabidhi...
  20. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna usawa Ujenzi wa Majengo ya Shule, Kati ya Tanganyika na Zanzibar?

    Majuzi kati hapo nilifika kisiwani Unguja nilishangaa sana kupita huku na huko katika pilika pilika za maisha. MADA; Ukweli Zanzibar pamoja na sensa iliyopita kuonyesha kuwa na watu 1,8mil ambao kwa muktadha wa wingi wa watu na waliopo Tanganyika ni chini ya mkoa wa Manyara yenye watu 1.9mil...
Back
Top Bottom