Namejaribu kuangalia tafsiri ya picha kwa kilichotokea jana.
Adam Mchomvu kavalia shirt iliyoandikwa 1961 ambayo ndo siku ya Uhuru. Naamua kumuweka kama mwananchi anayependa maudhui ya kwanini tulipata uhuru mwaka 1961.
Jukwaani yupo Emmanuel Mbasha amevalia mavazi ya kada wa CCM na kofia ya...
Wakuu naangalia Channel Ten uzinduzi wa nyimbo za kampeni kwa CCM nimeona Adam ndo host lakini kafanya kituko cha hovyo kwa kumpiga bunda Emmanuel Mbasha jukwaani hadi kuanguaka baada ya kuona Emmanuel Mbasha kazidisha masihara japo E Mbasha amezuga na Adam nae kazuga ila wameharibu.
Ni aibu...
Msanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake!
"Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya nyumbani, Polisi nyie ni masikini wenzetu tu hivyo mnapaswa kutulinda na siyo kutuwinda"
Kilichofuatia...
Nitakuwa nakupatia update. Wasanii wote Tanzania kwa moyo wa upendo walitunga nyimbo kuhusu serikali ya CCM.
Wapo katika kufanya mazoezi ya nyimbo zitakazotumika kwenye kampeni ya chama kikubwa barani Afrika CCM.
Ni vizuri kuelewa CCM wameanza kampeni zao leo katika uwanja wa uhuru kwa style ya mbwamwitu kujivalisha ngozi ya kondoo.
Baada ya kupata hisia kuwa uchaguzi wa mwaka huu wanapigwa na chini wameanza kukusanya wasanii ambao wameshawatisha na kuwaita kila kukicha kwa madai haya na yale,leo hii...
Wakuu kwema!
Siku ya uzinduzi wa kampeni, siku ambayo Mh. Tundu Antipas Lissu atatema madini adimu bila kumung'unya maneno.
Mimi binafsi nitahudhuria, umati utakaoshuhudiwa siku hiyo utakuwa mkubwa sana. Watumishi walioongopewa mishahara minono watatoroka kazini kwenda kupata tumaini...
Kwa mujibu wa Taarifa za TCRA ambazo zimenukuliwa katika mtandao maarufu wa Wikipaedia, idadi ya Watanzania wenye kumiliki vyombo vya mawasilaino kwa maana ya Simu ni milioni 43.5 kati ya wananchi milioni 53.8
Hii inamaanisha kuwa takriban asilimia 80.8 ya wananchi wanaweza kupashana habari na...
Mimi si mwanasiasa.
Mimi si mpenzi wau mfuasi wa Lissu(actually nimekuwa nikipinga mambo mengi ya Lissu na maneno yake)
Mimi ni mtanzania huru chini ya katiba ya nchi ya Tanzania.
Kinachonishangaza ni juhudi za watu fulani ndani ya serikali kukiuka uhuru wa Mtanzania wa kawaida kupata habari na...
Kati ya Jambo linaloigharimu CCm kila siku Ni kuwekeza kwa Mwenyekiti na dola kuliko kuwekeza kwa wananchi.
Wananchi kwa namna Hali ilivyo wanatambua hata ungekuwa na utajiri mkubwa kiasi gani lakini watu wakakosa Uhuru ipo siku utajiri huo utapotea.
Tunajenga vitu na ni Jambo jema ila...
Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Polepole ataongea na watanzania kupitia vyombo mbalimbali vya habari. Mkutano utafanyika ofisi ndogo ya CCM - Lumumba, Dar es Salaam. Usipange kukosa kufuatilia.
Juzi tulikuwa na NEC ilituita vyama vyote, taarifa muhimu tumepewa, kikao kilichopita...
Aliyekuwa RC wa DSM Paul MAKONDA amesema kuwa yeye ni askari aliyeko benchi, eti anamuomba CP Mambosasa akihitaji msaada yupo tayari.
Anapojiita askari alifanyia mafunzo wapi? Hiyo vita alipigana wapi na nani?
Sasa nimeelewa Marekani ilipomnyima na kumzuia kuingia ndani ya nchi hiyo, huyu...
Lissu amesukwa na mabeberu na fisadi ili kwa kisingizio cha kudai demokrasia awasemee fisadi na washirika wa mabeberu ili waweze kuendelea kuinyonya na kuiibia nchi.
Iko hivi..kudai kwamba hakuna haki na uhuru wa maoni ni kutaka kulazimisha maoni yasiyoendana na mpango wa taifa ukiongozwa na...
Katika ulimwengu wa sheria na mamlaka huwa kuna haki vs wajibu
Kila haki ina wajibu. Vivyo hivyo, uhuru wowote una mipaka.
Leo ntaka nilete mjadala juu ya uhuru wa habari na iwapo kama taifa tunahitaji media yetu kuwa censored. Mimi sio guru wa maswala ya media ila naamini kwamba Uhuru lazima...
TUNATARAJIA UCHAGUZI MKUU UTAKUWA WA UHURU NA HAKI, YEYOTE ATAKAYETUTIKISA TUTAMWANGUSHA KAMA PAPAI MTINI"
KATIBU MKUU CUF HAROUB MOHAMMED SHAMIS
Ameyasema hayo katika Mkutano Mkuu Maalum wa kuwachagua wagombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Urais wa Zanzibar uliyofanyika julai...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huwa ninaandika kitu kupitia safu yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye kuhimiza patriotism kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa taifa letu, kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Pia niliwahi kusisitiza humu kuwa unaweza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua...
The KGB, NATO and Post-Independence Africa (1960s-1980s): Vita Mpya vya Maslahi ya Wazungu (USSR-USA-EU) ndani ya bara la Afrika punde baada ya uhuru.
Ninakushauri uanze kwa kusoma thread hii kwanza: Patrice Lumumba University of Russia: Ngome kuu ya majasusi wa KGB ya kufunza itikadi za...
Historia ya Benjamin Mkapa
MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA
WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA
Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
bendera
chadema
habari
haki
historia
huzuni
itv
kubwa
makongoro
makongoro nyerere
maua
mkapa
musiba
mwanaharakati
nyerere
nyumbani
rais
saa
serikali
shada
sherehe
tanga
tbc
uhuru
upinzani
watoto
Rais Uhuru Kenyatta amesema Wakenya hawatakiwi kujilinganisha na mataifa yasiyo uhuru wa habari na ambayo yamekuwa hayatangazi taarifa za CoronaVirus
Amesema wananchi wanatakiwa kufurahia kuwa Serikali haifichi kitu chochote na imekuwa ikiwaambia wananchi ukweli kuhusu hali ya mlipuko huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.