uhuru

  1. JamiiForums Tanzania Utangulizi: Historia ya Wanawake Waliopigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/J8X9FbMZMNI?si=4DR2OCqAO2aLQFAd
  2. JamiiForums Tanzania Toka nakua na mpaka sasa sioni faida ya Mwenge wa Uhuru

    Kwa vyovyote vile nitakuwa wa mwisho na wakwanza kuajua faida za mwenge. Sioni faida wala umhimu wa huu mwenge kuwepo, mwenge umekuwa na karaha pale unapoenda sehemu yeyote. Kuna siku nimeitwa na mkuu wa Wilaya, wilaya flani akisema nitoe mchango wa mwenge nikamwambia mwenge unabajeti yake...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha uhuru wa kiimani ni namna dini yenye waumini wengi inavyoweza kuishi na wanaoamini dini tofauti, ni neema tumezaliwa nchi iliyojaa wakristo

    Kipimo cha ubora wa dini ni namna unavyoweza kuishi na wanaoamini dini tofauti na yako. Kama jirani yako anaabudu ng'ombe na hakubagui wala kukunyanyasa wewe unayemuabudu Jehova au Allah hakika huyo ni jirani mwema na bora zaidi ya wale wanaohubiri amani na upendo huku wanalazimisha sheria za...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kesho itakuwa kipimo tosha kwa uhuru wa vyombo vya habari nchini

    Habari iliyochapishwa katika magazeti ya Uingereza kuhusu uhusika wa kampuni ya Tigo katika mipango ya kuondoa uhai wa Lissu na mkutano wa Lissu na wanahabari leo, utakuwa mtihani mkubwa kwa magazeti ya kesho. Serikali itakapozuia habari hiyo isitokee kwenye magazeti itakuwa imejivua nguo na...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Wanoishabikia CCM ni wale wanaolipwa na CCM, wasitutoe nje ya mstari wa kupigania haki, uhuru na amani ya Taifa letu.

    Ukiangalia wengi wa wale wanaoishabikia CCM ni wale wanaolipwa au kufaidika kibinafsi na uwepo wa CCM. Labda ni viongozi, au wazazi na ndugu zao ni viongozi au wanufaika wa CCM kwa namna moja au nyingine. Ni wakati mzuri sasa wa kuondokana na CCM na mfumo waliokwisha kuujenga kwa miaka zaidi ya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru wamulika miradi ya maendeleo - Kibondo

    Jimbo la Muhambwe limepokea Mwenge wa Uhuru kutoka Halmashauri ya Kasulu Vijijini katika Uwanja wa Shule ya Msingi Busunzu 'B' ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa mbio za Mwenge wa Uhuru zinazoendelea nchini. Katika Jimbo la Muhambwe, Mwenge wa Uhuru umezindua Miradi ya Maji, Madarasa, Bweni na...
  7. JamiiForums Tanzania Kituo cha Demokrasia (TCD) na Wadau wanajadili Tathimini ya Hali ya Demokrasia nchini, leo 19/09/2024

    https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Tukio...
  8. JamiiForums Tanzania Uhuru wa kiuchumi

    Tukumbushane na tusisahau kuwa uhuru wa kifedha unaepusha fedheha isiyo ya lazima inayotokana na ukosefu wa fedha. #financialfreedom
  9. F

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya kimataifa vyatahadharisha kuwa Tanzania yaweza kurudi kwenye uvunjifu wa haki na uhuru wa kujieleza

    Vyombo vya habari vya kimataifa kutoka Africa na nje ya bara la Africa vimeonesha wasiwasi kuwa Tanzania inaweza kurudi nyuma katika masuala ya haki, uhuru wa kujieleza na demokrasia. Hayo yamesemwa kufuatia hotuba ya rais Samia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Haya Kampuni ya Mafuta ya STABEX ni ya Rais Ruto na ya Rubis ya Rais Mstaafu Uhuru je, ile ya Lake Oil mahala fulani ni ya nani?

    Leo ninataka tu Kumjua huyu mwenye hii Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil mahala fulani (nimepasahau kwa sasa) kwani Stabex ni ya Rais Ruto na Rubis ni ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta.
  11. JamiiForums Tanzania Siasa ilileta uhuru na amani kwa Tanzania na Siasa itaondoa uhuru na amani kwa nchi ya Tanzania

    Salamu, Napata wakati mgumu sana nikiwaza juu ya kuuawa kwa Rtd Officer, Ally Mohammed Kibao, natafakari sana na sijaweza kuwa sawa kuhusu kifo cha huyu mtu muhimu sana kwa Taifa. Nawaza ya kwamba waliomuua Ally Kibao wana leseni ya kumuua awaye yeyote yule. Mti wenye damu huzaa matunda...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA tuachieni Yanga na Simba zetu, zilipambania uhuru wetu. Ninyi mmefanikiwa tu kutuambia Abdul ni mtoto wa Rais Samia

    CHADEMA wanazionea gere Yanga na Simba ambazo katika maisha ya watanzania ni kama usiku na mchana
  13. JamiiForums Tanzania Mwanzo endelevu wa kupigania uhuru wa Tanzania kutoka kwa Mkoloni Mweusi, damu ni ishara ya Kafara ya Ushindi Wengine wasichoke kujitoa

    Ingali tupo hai damu itajibu uhai wa waliofariki,MiKONO yote michafu ya waliowezi itavunjwa na kukatwa vipande vipande na damu yao itakuwa ni sherehe kwa familia zilizoathirika na umwagaji damu wa wapendwa wao. Dunia haikuachi salama ikiwa umetenda ubaya,ipo siku Tanzania itazinduka kutoka...
  14. JamiiForums Tanzania Nangwanda Lawi sijaona Mzalendo mpigania Uhuru aliyesahaulika

    Sijali Sijaona anamzungumza baba yake. SIJALI SIJAONA ALIPOTEMBELEA MAKTABA Sijali Adam Sijaona mtoto wa Lawi Nangwanda Sijaona ametembelea Maktaba na tumejaliwa kufanya mazungumzo kuhusu baba yake. Sijali amerithi hazina kubwa sana ya nyaraka na picha adim za harakati ya kupigania uhuru wa...
  15. JamiiForums Tanzania Nini msingi wa sisi kupigania uhuru?

    Nini msingi wa sisi kupigania uhuru ? Kama uhuru wenyewe haupo ? Bora wale wazee wa kiislam wangeendelea kunywa tu kahawa na kuachana na yule kijana wa Butiama. Ingeelewaka moja kuwa tupo kwenye ukoloni wa mzungu mpaka leo. Ilikuwa haina haja yule kijana wa Butiama kupokelewa kwa mikono...
  16. I

    JamiiForums Tanzania MSAFARA WA MWENGE WA UHURU

    Swala la kufungwa kwa barabara na kusimama kwa shughuli za usafirishaji kwa masaa kadhaa wakati wa msafara wa Mwenge wa Uhuru limezua mjadala nchini Tanzania. Wakati Mwenge wa Uhuru una umuhimu wa kihistoria na kitamaduni, ukihusishwa na kampeni za kitaifa kama vile vita dhidi ya malaria, ujenzi...
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutumia VPN Katika Nchi Zenye Udhibiti Mkali wa Mitandao na Uhuru wa Kujieleza

    Katika nchi nyingi zinazokabiliwa na udikteta au udhibiti mkubwa wa mitandao, uhuru wa kujieleza na kupata taarifa unazuiwa kwa kiasi kikubwa. Serikali huweka vizuizi kwa baadhi ya tovuti, mitandao ya kijamii, na huduma mbalimbali, ikilenga kudhibiti upatikanaji wa habari na maoni huru. Hapa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia: JWTZ halina mpango wa kuvamia nchi yoyote

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Miaka ya 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Uwanja wa Uhuru Dar es salaam, leo tarehe 1 Septemba 2024. https://www.youtube.com/live/osYsFlm-yM4?si=1Cpa3zDEHIfIEkcn "Jeshi letu...
  19. R

    JamiiForums Tanzania CCM na demokrasia: Tangu uhuru Incumbent Mwenyekiti wa Chama hajawahi shindanishwa

    Mara ya mwisho CCM kumshindanisha Mwenyekiti na waombaji wengine ilikuwa 1954. ...by Tundu Lisu! johnthebaptist naomba maoni yako!
  20. JamiiForums Tanzania Uhuru ni Mendeleo,Maendeleo ni uhuru.

    Kuna Mwanazuoni mmoja anaitwa F.G.Riggs yeye aliefafanua maana ya Maendeleo(Development) kwa Dhana ya Development is Autonomous in which society are able to shape their Social,Economic and Political Enviroment(Ecology). JE,jamii nyingi za kiafrika zimeweza kufikia maendeleo?Maendeleo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…