uhuru

  1. Bams

    JamiiForums Tanzania Donald Trump Kumpa Uhuru Netanyahu Dhidi ya Iran

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CIA, amesema kwamba anatarajia serikali ya Donald Trump, tofauti na Setikali ya Biden, itampa Netanyahu uhuru wote dhidi ya Iran, yaani Israel iamue wakati gani wa kuishambulia Iran, iishambulie Iran kwa namna gani, na ishambulie maeneo gani. Ikumbukwe kuwa utawala...
  2. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Hakuna nchi iliyopata uhuru ki-ligend kama Haiti (saint-Domingue)

    Haiti ndo nchi iliyopata uhuru kimafia kuliko nchi yeyote duniani na mara nyingi huwezi sikia watu au hata mashuleni ikifundishwa Haiti ilikua inajulikana kama saint-Domingue (sandoming inavyotamkwa kifaransa) lilikua ni koloni la ufaransa ambalo ililichukua kutoka kwa wakoloni wahispania...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Generali Ulimwengu: Miaka 60 baada ya uhuru tuna rais mfalme hawajibiki kwa mamlaka yoyote

    Nimemsikia akiongea mahali mchambuzi huyu wa mambo ya kisiasa anasema Tanzania ina Rais jina tu lakini kiuhalisia mamlaka ya rais wa Tanzania ni ya kifalme. Sii Baraza la mawaziri wala bunge lenye mamlaka ya kumfanya chochote rais wa Tanzania. Kwa maana hiyo rais yuko juu ya Sheria
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya TANU: Umoja na Mshikamano Kauli Mbiu ya Wananchi Uhuru na Umoja

  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mufti Sheikh Hassan bin Ameir (1880 - 1979) Mchango Wake Katika Uasisi wa TANU na Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/WdiQykUgOys?si=fcaPooTUouxWutKI
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la lugha kwa waandishi wa habari; Gazeti la Guardian la IPP Media ladokeza kwamba Joseph Kabila, Kikwete, Uhuru Kenyata hawapo tena duniani!

    Katika makala yake kuonyesha muda mrefu ambao Raisi Yoweri Museveni wa Uganda amekaa madarakani, gazeti la Guardian limeandika kwa namna ya kuonyesha watu kadhaa waliokuwa maraisi hawapo tena duniani, wakati bado wako hai! Haya ndiyo waliyosema Guardian. Museveni surpasses 18 EAC counterparts...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Hofu Inavyotawala Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    Daily News 12 October 1988 Ilibakia kidogo Daily News wakatae kuchapa kumbukumbu hiyo hapo juu ya miaka 20 ya kifo cha Abdul Sykes. Reginald Mhango ambae sasa ni marehemu, aliyekuwa mhariri wa Daily News alisema hawezi kuchapa kumbukumbu ya Abdul Sykes mpaka apewe ruhusa kutoka Dodoma. Maneno...
  8. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Usikute Yeye Ni Ndumilakuwili: Mapenzi ya Kijanja au Kuingizwa Chaka?

    Mwanaume au mwanamke wako anapokufanyia vituko vya kushangaza, kama ku-mute simu akilala au kubadilisha password mara kwa mara, unajua kuna mambo. Hivi unadhani ni sawa kuingia kwenye mahusiano ya kutomwamini mtu? Au kuna uwezekano kwamba huyu mtu wako ni mdumilakuwili? Karibu hapa tujadili...
  9. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Happy Birth Day Uhuru Kenyatta

    Im wishing you a wonderful moment at your 63 years birth day
  10. ward41

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya Afrika tulipa uhuru kirahisi, Palestine wanakwama wapi?

    Vuguvugu la Uhuru barani Africa lilianza baada ya ww2. Mwishoni mwa miaka ya 50s, tayari baadhi ya mataifa yakaanza kupata Uhuru tena kwa njia rahisi sana. By 1980, tayari karibia mataifa yote yalikuwa huru Nchi za Asia na Latin America, ni Hivyohivyo. Kwa utajili wa Africa, wazungu...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Taasisi za kushughulika na bidhaa feki zinakula rushwa au haziwezi kazi? Kuna bidhaa feki nyingi Mtaani na expired zinauzwa kwa uhuru bila hofu

    Yani hakuna kash kash za kukamata wauzaji wa bidhaa feki, viwanda bubu vina operate kwa uhuru. Taasisi za kupambana na bidhaa feki ni kama hazipo, Je ni Rushwa ? Hawawezi kazi ?? Na kuna michezo mipya imeanza bidhaa zilizoharibika zinazotupwa dampo zinarudi mtaani, mchele ulio expire na...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Uhuru wa Watumwa

    Na James Mbotela. MUHTASARI WA MAISHA YA MWANDISHI Mwandishi wa kitabu hiki, ni mzaliwa wa Frere Town, Kisauni, Mombasa. Baba yake ni Myao, akiitwa Mbotela ambaye alikuwa mmoja wa vijana wale waliookolewa baharini na Wazungu wa manowari za Waingereza zilizokuwa zikizuia biashara ya watumwa...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Uhuru wa Watumwa

    Unaweza kusoma na kusikiliza kitabu hiki bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Ipo playstore Na James Mbotela. MUHTASARI WA MAISHA YA MWANDISHI Mwandishi wa kitabu hiki, ni mzaliwa wa Frere Town, Kisauni, Mombasa. Baba yake ni Myao, akiitwa Mbotela ambaye alikuwa mmoja wa vijana wale...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Hii Hofu ya Historia ya TANU na Uhuru Inaletwa na Nini?

    https://youtu.be/Id8-WJc6ODY?si=9lzAbgoq1Vq3Fzcd
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Kikwete azindua zoezi la kupandisha Mwenge wa uhuru mlima Kilimanjaro kama ilivyoelekezwa na rais Samia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Tanzania inapeleka mwenge wa uhuru juu ya mlima Kilimanjaro ili kuitangazia dunia kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni imara na pia itaendelea kulinda Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Juhudi kubwa zilizotumiwa na hayati Nyerere kupigania uhuru wa nchi zingine ulitusababishia umasikini mkubwa Watanzania

    Hivi angejikita kupambania nchi yake kwa muda wa miaka 24 aliyotawala tungekuwa wap? Lakini watu wanabaki kusifia upande mmoja wa shilingi. Huku wakisahau upande mwingine. Kwa ujumla aliacha nchi ikiwa masikini na hata tuliowasaidia kupata uhuru wanatucheka.
  17. Wambandwa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI? Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza. Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Murtaza Mangungu: Inakuwaje Timu Iliyoongozwa na Malofa Ikapigania Uhuru?

    Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu, anasema kwamba historia inadhihirisha tofauti kati ya timu za soka, akitaja Simba kuwa na wachezaji wenye akili huku akieleza kuwa timu iliyoongozwa na Malofa wanawezaje kusaidia mapambano makubwa katika kuleta uhuru. "Tumesoma vitabu vya historia na klabu...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Wanawake Wazalendo Wapigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/wjvIkkbJBR8?si=EDswkPWPt8TR6S1P
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Utangulizi: Historia ya Wanawake Waliopigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/J8X9FbMZMNI?si=4DR2OCqAO2aLQFAd
Back
Top Bottom