uhakika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Hizi hasira za baadhi ya vijana wa Tanganyika ni wivu na chuki ya kuona kijana kama wao kapewa cheo chenye uhakika wa maisha mazuri hadi kifo

    Ni kijana mdogo tu kisiasa na kaweza kupata cheo namba 2 kikubwa nchini kinachomuhakishia uhakika wa maisha safi hata baada ya kustaafu MAFAO BAADA YA KUSTAAFU Pensheni ya kila mwezi: 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliye madarakani. Kiinua mgongo: 50% ya jumla ya mishahara yote aliyopokea...
  2. K

    Mchepuko wangu kajifungua, hana uhakika kama mtoto ni wangu au wa mumewe

    Wakuu Mimi na mchepuko wangu tuko dilemma. Kajifungua mtoto,ila hana uhakika ni wangu au wa mumewe as mtoto anafanana na yeye. Tunasolve vipi hii case wataalamu?
  3. Jidu La Mabambasi

    Nina uhakika usiotia shaka... kuwa sasa CCM ina matatizo mazito

    Kama ni kidali poo, mama Samia analo! Nchimbi huyoo kayoyoma kiaina, kaona kama ni mbwai miye naulaza! Kwa maneno ya mjini, kabwaga manyanga! Ngoma waicheze wajuvi. Kwa maneno nengine Nchimbi hana imani na mama Samia, kuwa mama Samia ana imani naye kama Makamu wa Rais. Kwa matamshi yake ya...
  4. Tlaatlaah

    Kwa hali ilivyo ndani ya CHADEMA, huenda John Heche akajiuzulu kabla ya kubanduliwa madarakani na mkutano wa baraza kuu la chadema taifa mwezi ujao..

    Kwasababu, mpaka sasa uhakika wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa John Heche kuvuliwa nyadhifa zote za uongozi ndani ya chadema taifa na Baraza kuu la chadema taifa September 15 ni 100%. Pendekezo la azimio la kumbanudua John Heche madarakani linaungwa mkono na asilimia kubwa ya wajumbe wa...
  5. M

    Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa

    Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa. T-CAMS inaleta uwazi, ufanisi na uhakika wa malipo katika sekta ya uwakala wa forodha, kwa manufaa ya mawakala, waagizaji wa mizigo na Serikali.
  6. K

    Bila katiba za kidemokrasia kwa Tanzania na Uganda uwekezaji hauna uhakika

    Bila katiba za kidemokrasia kwa Tanzania na Uganda uwekezaji hauna uhakika Tanzania haina katiba ya kueleweka na Raisi wajao wanaweza kufanya lolote kwa katiba hii ya kirojo. Uganda nao uongozi ni mtu mmoja tena anamiaka 82! na anataka kumpa mtoto wake ambaye ni mwanajeshi fake na mapepe sana...
  7. Eli Cohen

    Kama wewe ni muuzaji wa jerseys na una hii jersey, pliz check me

    2003/2005 edition
  8. Financial Analyst

    Hivi tuna uhakika kuwa hawa watoto wa late 2000s na 2010s wanaujua ukimwi nje ndani. Tuendeleeni kuwakumbusha

    Hivi ukimwi sio tishio tena? Ni kweli maambukizi yameshuka au watu wanaishi nayo kishkaji kutokana na madawa? Mnakumbuka kipindi kile ndugu yako kila mtu amemkimbia kwake na mkimchungulia dirishani amebaki mifupa na macho meupe na amejikatia tamaa kusubiria kifo. Mnakumbuka kipindi kile kila...
  9. Alexido jz instagram

    Una mshauri Binti aachane na wazee, una uhakika huyo Binti ana uwezo wa kujihudumia?

    Punguzeni kihelehele, sifurahishwi na hayo mambo,mapenzi kati ya tusichana tudogo na vibabu yanashika Kasi sana, sasa una Kuta mdada sijui mmama kakoma eti hafurahishwi na hayo mahusiano. Binti anajielewa ye anajua anacho kipata Kwa huyo Mzee wee soko lako limepita unalazimisha aachane nae...
  10. E

    Toboa Kisima upate maji ya uhakika

    KWANINI VISIMA VINGI VINAKAUKA KIPINDI CHA KIANGAZI? ☀️🍂 Watu wengi wanachimba visima bila kufanya utafiti wa kina wa maji chini ya ardhi (Geological Survey). Matokeo yake, wakifika kiangazi, maji yanapungua au kukatika kabisa. Sisi tunatumia mitambo ya kisasa kupima na kubaini penye vyanzo...
  11. Roving Journalist

    TANESCO: Tumefanya ukaguzi wa miundombinu katika Jengo la Mwenge Stendi na kubaini huduma ya umeme ni ya uhakika

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limebaini kuwa huduma ya umeme katika Jengo la Kituo cha Mabasi cha Mwenge inaendelea kuwa ya uhakika baada ya kufanya ukaguzi wa miundombinu kufuatia taarifa zilizosambaa zikidai kuwepo kwa changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika eneo hilo...
  12. M

    Huyo mpenzi wako wa maisha vipi kwenye changamoto una uhakika atabaki ?

    Biashara ikiyumba hadi kufirisika Ukifukuzwa kazi Kupatwa changamoto kubwa za afya au ulemavu Kufungwa Jela n.k.
  13. sonofobia

    Je, uhakika ya Ibrah ndio ni wimbo bora wa 2026 AU unabebwa na upepo tu?

    Nimekuwa nikisikia watu wengi wakisema Uhakika ya Ibrah ndiyo wimbo bora wa mwaka 2026. Sawa, nakubali unafanya vizuri sana. Wimbo unachezwa kila mahali: bodaboda, kwenye mabajaji, mitandaoni, kwenye sherehe na hata WhatsApp status. Hilo halina ubishi. Lakini nina swali moja: Je, umaarufu wa...
  14. E

    Malecela: Hili la maridhiano sijalielewa

    Waziri Mkuu mstaafu, John Samuel Malecela amesema kwa muktadha wa kisiasa hajaelewa falsafa ya maridhiano ina maana gani na kwa hali ya sasa inapaswa kuwa kati ya pande zipi. Ameyasema hayo Juni 1, 2026 katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na kituo cha televisheni cha ITV.
  15. P

    Ni uhakika kwamba waliotekwa karibu wote tayari wamekufa

    Nimetaarifiwa rasmi kuwa karibu watu wote waliotekwa wamkwishakufa, kutokana na mateso, kuugua kwa sabababu ya majeraha wakati wa kutekwa kwao na pia wengine wawili walikufa kutokana na sonona ya huko walipohifadhiwa. Haya yote yamefanyika ili baadhi ya watu waendelee kupata haya: 1. Misafara...
  16. Foffana

    Uzi: Je, una uhakika una 'Vidonda vya Tumbo'? Prof. Janabi atoa ufafanuzi muhimu!

    Mara nyingi mtaani, watu wengi wamekuwa wakijigundua wenyewe au kuambiwa na watu wasio wataalamu kuwa wana 'vidonda vya tumbo' pindi wanapohisi maumivu au kuunguliwa na asidi tumboni. Lakini, je, hii ni sahihi kitabibu? 🤔 Prof. Mohamed Janabi, Mkurugenzi wa JKCI, anasisitiza jambo moja muhimu...
  17. M

    Ningerudi upya kufanya maamuzi ya ujenzi nikiwa na usafiri wa uhakika, ningejenga km 20 nje ya jiji au manispaa kwenye mji mdogo, utulivu ni wa muhimu

    Post hii haihusu DSM, inahusu majiji mengine na manispaa za mikoani, Ukiishi Dar lazima tu ujifunze ku-adapt maisha ya mjini, hata ukijenga kilometa 40 nje utajikuta kwenye miji mikubwa kama kibaha Kama ningerudi upya kufanya maamuzi ya ujenzi, nikiwa na usafiri wa uhakika, ningejenga kilometa...
  18. M

    Chalamila: Rais angesema kila mtu arudishiwe kodi yake aliyolipa nina uhakika ambao wangerudishiwa ni wachache

    Huyu Chalamila hajui hata namna kodi zinavyokusanywa yeye anadhani kodi ni ile inayolipwa direct tu, debe tupu --- Chalamila amesema kuwa wanaosema miradi inajengwa kwa kodi zetu watambue kuwa kodi peke yake haiwezi kujenga ila inahitaji akili ya Rais katika kutafuta funds na anadai aliwahi...
  19. BabaMorgan

    Mtandaoni kila mtu daktari, Figo Figo mna uhakika?

    Kupima kwenu kwa macho kunawaponza mzungu sio mjinga kuweka vipimo sio kila homa ni malaria
  20. Waufukweni

    Waziri Ndejembi: Nchi yetu imeendelea kuwa na uhakika wa upatikanaji wa Mafuta

    Akiwasilisha Makadirio ya mapato na Matumizi ya Wizara kwa mwaka 2026/2027 Bungeni Dododma leo Aprili 22, 2026, Waziri wa Nishati nchini, Deogratius John Ndejembi amesema; "Nchi yetu pia imeendelea kuwa na uhakika wa upatikanaji wa bidhaa ya mafuta ya petroli; yaani petroli, dizeli, mafuta ya...
Back
Top Bottom